Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 2,790
- 1,232
siku mbaya kwangu ni siku ambayo sijachungulia JF!Jf ipo juu sana mwana hakuna ubishi hapo.
siku mbaya kwangu ni siku ambayo sijachungulia JF!Jf ipo juu sana mwana hakuna ubishi hapo.
ukweri upi?Jf ya ukweri
Fb for funny,JF for life
Kwa kifupi FB haiwezi kulingana na JF hata kidogo mimi nina account kwenye fb lakini comment unazozikuta au post ni za kitoto zimekaakaa kingono ngono tu vijana watongozane yaani hamna cha maana nimeamua kutulia na JF yangu maana ninajaza maarifa ya kutosha na burudani pia mimi nainjoi kuwa JF kuliko FB. Nitarudi baadae kidogo
Jamani labda mi ndio mshamba kabisa. Nilijiunga na facebook tangu mwaka juzi, huko naona kumejaa ujingaujinga na usharabaro, kila mtu anakutaka. Hapa Jf sina muda mrefu lakini nina furaha na amani, napata changamoto mbalimbali, najifunza mambo mengi na yenye manufaa.
Wadada wenzangu wao wako busy na facebook, ukiwauliza wanaenjoy nini wanasema kuchat, ukiwaambia habari za JF wanasema we Ambilikile kweli (mshamba).
Sasa mshamba sijui ni mimi au wao ambao hawabenefit kitu. Jf is a place to be, thats why niko online kanzia asubuhi hadi usiku mzito.
I am the luckiest one kuwa miongoni mwa wana wa hii familia kubwa ya JAMII FORUMS