JF vs FACEBOOK

huku hamna swaga za ujinga wa fiesta na clouds fm, wala hamna uzushi kama ule wa global publisher
 
wenzetu wanatumia facebook kama njia ya mawasiliano kwani kwa familia moja unakuta karibu wote wanautumia huo mtandao, lakini ni tofauti na hapa kwetu unakuwa na marafiki ambao kwa akili za haraka hutarajii kama utakuja onana naye uso kwa uso.. hivyo jamii forum ni nzuri kwa maisha ya mtanzania wa kileo anayeona na mwenye fikra sahihi kuhusu hii nchi yetu kwani wachangiaji ni watanzania na sio waamerika wala japan.
 
watu wengi wanshindwa kuelewa hivi vitu kiana fb ina kurahisishia kukutana na watu kibao uliopotezana nao na jf yenyewe ina kufanya ufahamu mambo mengi ya maendeleo na vitu vinavyo kuhusu wewe so zote ni mitandao ya jamii..
<br />
<br />
FB ni mtandao wa kujamiiana
JF ni mtandao wa kijamii.
Stop beeng zuzu
 
Jamii noma, yani mimi imenipa maujanja kiasi software nyingi nilizozitabikia hata kwa kununua ambapo ishu ya credit card ilinisumbua napata kwa sasa. Big up wana jf
 
Dah! Sio siri jamani mi mwenyewe nilikuwa naingia sana Fb lakini dah! Kiukweli sijafaidika chochote zaidi ya kuona wa2 wanaangaika tu kubadilisha picha zao kila kukicha! Ila nashukuru sana nilipofanikiwa kujiunga na Jf kiukweli nilifurahi sana na nimejifunza mambo mengi sana jamani,kupeana moyo katka mambo mengi sana, nawashukuru sana wanajamii jamani Mungu awabariki sana! Sitoacha kukupenda Jf.
 
Nillikuwa addict na Facebook ila kilichonifanya niondoke huko ni mwanadada mmoja mtangazaji maarufu wa radio fulani jijini yaani huyo mdada kila siku lazima aweke picha mpya yaani kila siku ya Mungu sasa wachangiaji ni kuchangia ujinga ujinga tu kwenye hizo picha,mada za maana wala hawachangii,nikaamua niipoteeezee kabisa na sasa daah siku haipiti bila ya kuingia JF!
 
Alafu unajua nin osaba yani Jf ni bonge la utajiri wa fikra yani watu wanafikra nzito yani kiukweli hadi mimi mwenyewe uwezo wa kufikiri naona unazidi kuongezeka aliyefikiri kuanzisha hiki kitu dah! Namkubali sana!
 
Jamani atakayenilisha limbwata ya kuiacha JF siku nitakapomgundua namuua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
yah JF hapa ni mzuka sana yaaan,watu wa humu wengi ni vichwa hata ukiomba msaada unapata majibu sahii kabisa na ya kitaalam...japo nakiri kusema hapa kuna watu wana matatizo makubwa imeshindikana tu kuwa machizi but ni watata kwel kwel
 
Nipo fb na sidhani kama na mpango wa kuondoka,., ila kule kwaajili ya kuchat 2 na washkaji hamna cha maana chochote ninachopata zaidii ya hicho. Ila hapa JF,., sikufikiria kama kuna siku nitawadha kuondoka,. kuna kipindi nilikuwa na tatizo nikalianika fb,., hakuna hata mmoja aliyenipa ushauri zaidi ya lie 1,. ila ku2pia hapa peponi dah,., msaada nilioupata ni mkubwa nashindwa hata kuuelezea,. GOD BLESS JF
 
Jamani labda mi ndio mshamba kabisa. Nilijiunga na facebook tangu mwaka juzi, huko naona kumejaa ujingaujinga na usharabaro, kila mtu anakutaka. Hapa Jf sina muda mrefu lakini nina furaha na amani, napata changamoto mbalimbali, najifunza mambo mengi na yenye manufaa.

Wadada wenzangu wao wako busy na facebook, ukiwauliza wanaenjoy nini wanasema kuchat, ukiwaambia habari za JF wanasema we Ambilikile kweli (mshamba).

Sasa mshamba sijui ni mimi au wao ambao hawabenefit kitu. Jf is a place to be, thats why niko online kanzia asubuhi hadi usiku mzito.

I am the luckiest one kuwa miongoni mwa wana wa hii familia kubwa ya JAMII FORUMS

Ukitaka uhondo wa ngoma ingia ucheze. Karibu sana JE Saccos, upate burudani ya kutosha. Huko tunakutana, tunaongea, achilia mbali kuchat au kuchangia mada huku tunafanya yanayoonekana kwa macho.

Karibuni sana, ukitaka kuwa member, nitumie jina lako halisi, namba ya simu, email address kwenye namba 0757 212122 au 0655 447788.

Bienvenue!
 
Nipo fb na sidhani kama na mpango wa kuondoka,., ila kule kwaajili ya kuchat 2 na washkaji hamna cha maana chochote ninachopata zaidii ya hicho. Ila hapa JF,., sikufikiria kama kuna siku nitawadha kuondoka,. kuna kipindi nilikuwa na tatizo nikalianika fb,., hakuna hata mmoja aliyenipa ushauri zaidi ya lie 1,. ila ku2pia hapa peponi dah,., msaada nilioupata ni mkubwa nashindwa hata kuuelezea,. GOD BLESS JF

kibaya zaidi mmevamia JF na kupaharibu na utoto wenu wa fikra
 
Kule FB ulikuwa unatumia ID gani?

Hapa nimefurahi kuijua jinsia yako....siku zote nlikuwa natamani niijue jinsia yako.

Tukirudi kwenye mada....ni makosa na hatari kubwa sana kuzilinganisha FB na JF.......Vitu viwili tofauti kabisa! Ni sawa na kulinganisha JWTZ na Mgambo wa City.

sijakuelewa kidogo hapa sasa ipi mgambo ipi jwtz
 
tangu nijiunge na jf napata utajiri wa mawazo hakika hapa ni kwa walioelimika si kama fb utoto tu
 
Back
Top Bottom