Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Wanajamvi naomba msaada wa kisaikolojia kila siku ni ugomvi na mwenza wangu eti kisa kwanini naangalia sana makalio ya wadada.
Jana amenianzishia tifu la ajabu barabaran baada ya kumuangalia sana dada aliyepita mbele yetu na kusababisha kukoswa kugongwa na gari. Ukweli ni kwamba yule dada alikuwa amefungasha vizuri kwa nyuma na hata alipokuwa akitembea alikuwa ana vibrate kwa nyuma me sikuwa na jinsi nikamwangalia ndo ikaleta shida. Nifanyeje ili niepukane na Ugomvi wa kila siku japo nimeshakuwa addicted.