JF Niokoeni: makalio ya wadada yanamkera mpenzi wangu

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Wanajamvi naomba msaada wa kisaikolojia kila siku ni ugomvi na mwenza wangu eti kisa kwanini naangalia sana makalio ya wadada.
Jana amenianzishia tifu la ajabu barabaran baada ya kumuangalia sana dada aliyepita mbele yetu na kusababisha kukoswa kugongwa na gari. Ukweli ni kwamba yule dada alikuwa amefungasha vizuri kwa nyuma na hata alipokuwa akitembea alikuwa ana vibrate kwa nyuma me sikuwa na jinsi nikamwangalia ndo ikaleta shida. Nifanyeje ili niepukane na Ugomvi wa kila siku japo nimeshakuwa addicted.
 
Mimi nilidhani makalio ya wanasiasa kumbe ugomvi wako na mkeo!! Mpe dawa za kichina na awe anakuwa mbele yako ili umwangalie yeye tu.

Mods toa hii hapa peleka kunakohusika
 
mbona huku siasa jukwaa jamani?
au umechanganyikiwa na kujiuzulu kwa muiran rostam?
 
apologize unless otherwise umefanya makusudi kupost ujinga kwenye jukwaa la masuala nyeti katika taifa
 
We una tatizo,halafu mpenzi wako anakosea namna anavyokuambia tatizo lako!Ngoja nifikirie namna ya kukushauri!
 
Inaonekana wewe upo kwenye mtandao wa TIGO ndiyo maana mke wako amekushitukia!!
 
ha ha ha bandugu waswahili wanasema ukiona wenzako wanatembea kinyume nyume na wewe jaribu kuwaiga ili muende sawa. Ni kweli ili ni jukwa la Siasa lkn hii si thread ya kwanza kuanzishwa hapa ambayo haiusian na siasa zipo nyingi tu au ndo kusema wapo wenye haki ya kufanya hivyo na wengine hawaruhusiwi. Be fair guyz.
 
Inaonekana wewe upo kwenye mtandao wa TIGO ndiyo maana mke wako amekushitukia!!
Ahaaa mkuu me nipo VODACOM hlf am just watching them then I left them. si unajua macho hayana pazia na fahari ya macho kuona kipendezeshacho.
 
ushajua tataizo ni nini,je kwanini unaendelea kuwaangalia.
Jifunze ku control mambo madogo kama hayo kama mwezio hataki uangalie sa we yanini kuangalia inye za watu?
 
kiukwel hlo ni tatzo la kila mwanaume ila linaisha kama utamkubali mpenzi wako kuwa ni waukwel hayo mengne utayachukulia ya kawaida tuu. Mana tabia hyo inakuja kutokana hujalidhika na mpenzi wako na ndo mana unakuwa na tamaa ya kila unaemuona unamtaman. Sikatai vipo vya kutazama ila co kila kitu ukiona mpaka mnafikia hatua ya kugombana nae ujuwe waz kuwa umezidisha sawa kijana jipange kwanza
 
Thanx, well noted.
 
ANAUDHI,WEWE UMEOA MPENDE MKEO HATA KAMA NI MBAYA NDIO WAKO HUYO,UNALETA NJAA ZA KIDUWANZI HAPA WEKA TINDIKALI MACHONI USIONE MAKALIO TENAalaaaaa''
Yale yale masharti ya mganga ukitaka utajiri muue mzazi wako. niliitaj ushauri wako kama hauna unaweza kunyamaza na kama thread inakukera ipotezee.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom