klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,140
hehehe nimepona hafla, lakini hela ya cafe iko ukingoni bana! hii serikali ya CCM hiiDeskmate anaumwa?
hehehe nimepona hafla, lakini hela ya cafe iko ukingoni bana! hii serikali ya CCM hiiDeskmate anaumwa?
Lol....... shemeji bana, sawa nitakusalimiabye shemeji. Msalimie sweetlady.
Hakikisha deskmate anabaki salama bila kubuguziwaKweli ni mhimu sana mana afya isije ikadhoofika
Lol....... shemeji bana, sawa nitakusalimia
Kama ni ya offer yoyote tu naskuma
Kwani deskmate unaenda wapi? au ni kile kifafa chaki kimeshtuka ghafla? Si ndio nije na wewe nikuuguze?Hakikisha deskmate anabaki salama bila kubuguziwa
Kweli kuniacha na Excellent ni salama?uisijali,nitakuwa naye kwa ukaribu mkubwa sana
utanisalimia au utamsalimia? Shemeji kukaa shekoslo nini nini sijui kunakufanya usahau lugha.
hii njemba jinsi ilivosimama ni ushahidi tosha kwamba binadam tunatokana na nyani kwenye evolushenmpige hata sound bhana,mjini sometimes tunaishi kwa madeni
Acha nichukue boda boda jibabaKaribu hapa Nyamachabes - Tegeta Nyaishozi upate Eagle Lager - Kuna Bendi ya Mapacha Watatu - Kalala Junior, e.t.c wanapiga na nyomi ya kufa mtu mtu!
Kwani deskmate unaenda wapi? au ni kile kifafa chaki kimeshtuka ghafla? Si ndio nije na wewe nikuuguze?
Nimemuona ... Nimesha mjibu pale pale, sijui ananitfutia nini, tena kama anabarua ya posa mkononi. Ila jamani ndio hivo? mi simtaki wa hivo bwana!hehehe deskmate nawahi press confrence lakini hapo juu nimedanganya hela ya cafe imeisha. Halaf tembelea hapa kuna jamaa anakutafuta kutoka nairobi
https://www.jamiiforums.com/love-connect/203602-namtafuta-mwali.html
Nilisema sio salama, na sasa ushahidi huu hapa. Deskmate umeona hii?usiogope,chochote unachopata kwake kwangu utapata maradufu
Amesha ondoka hata hivo. Haya, nambie sasa utafanya nini zaidi yake? yeye alikwambia anafanya nini kwani?sasa mbona unaniharibia kwa deskmate wako
Alisema atanipa penseli nimchongee...mi nitakufanyia makubwa,kwani yeye alikuambia atakufanyia nini
Nikufanyie? we njoo tufanye wote. na wewe ni mwanafunzi wa shule ya Faiza Foxy?hehehehehehe basi mi nitakupa daftari unifanyie h/work