Jf ni noma

aaah mi kweli Sir God amewakutanisha tena,hata mimi ningegomba hata ila love lazima iwe maradufu bhana mana nishajua
bila kuwa makini wife wangu watamkwapua.
Hahahaha nipo serious bhana we hii ishu ipo we unadhani ndoa yangu itaweza kudumu tena?

hehehe jibaba date yako na kabakabana ndio imezua msala huu nini?
 
Afadhali mimi,yeye katumia ID mpya,mi kumpima zaidi nikaenda mpya,mpya na mpya sikagongana kumbe yeye alishagundua mpya yangu ila mi sikugundua yake,msala unaonaje?
 
hahaha! Mi ndo maana ID mpya ikinipm naipotezea mbali.
 
Kitakachotokea:

Prezidaa wa kitaa: (Anamsogelea mkewe na kumuuliza kwa ukali hivi lakini kwa sauti ya chini) We umefata nini huku?

Beib lovee: Khaak jamani, kwa siku moja moja hairuhusiwi?

Prezidaa wa kitaa: Hebu twende nyumbani uko.

Wanatoka huku prezidaa wa kitaa haishi kupepesa pepesa macho nyuma!
 
Hapo walikutana mtaani,kupotezea prezda wa kitaa anajifanya amepotezea na kuomba warudi nyumbani.

je walipofika nyumbani updates zilikwaje?
 
hehehe huu ni msala mpya. Dah!
tumeshagongana eneo la kukutana ila mpaka sasa nakomalia kuwa mwenye hiyo ID uliyemake naye appointment simfahamu na sio
mimi.anakuja juu,nikubali kuwa ndo mimi au mwanaume niwe tu mbishi halafu nimgeuzie msala.
 
hehehe uskute sku inayofuatia anatakiwa aonane na rejao pia.
 
Back
Top Bottom