Unaweza kusema nini kilitokea.

asakuta same

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
14,829
5,028
FACE BOOK BWANA..kwa hisani ya cheka upasuke

Mama Ajiunga Facebook Kwa Jina La *beib Loveee*
Baba Ajiunga Kwa Jina La *Pezda wa kitaa*

WOTE WAMEJIUNGA FACEBOOK KWA SIRI NA HAWAKUWEKA PICHA.

Sasa Siku Moja Baba Akaona Request *beib loveee wants to be your friend*

Mzee Akaconfirm fasta na kuzama *INBOX*

Inbox ilikua hv:-
Prezda wakitaa: karibu mrembo....

Beib lovee: thanx mtanashati....

Prezda wakitaa: unaishi wapi?....

Beib lovee: SINZA kwa wajanja(kasema ukweli)

Prezda wakitaa: nice place swt.

Beib lovee: thanx.. Wewe unaishi wapi?

Prezda wakitaa: KINONDONI(kadanganya)

Beib lovee: unakaa kwa mapedejee?

Prezda wakitaa: haaa! haaaa! Kawaida 2 mrembo....vp 2naweza 2kakutana 2kaongea zaidi mrembo?

Beib lovee: wewe 2 me nipo free.......
tabiri sasa kilichotokea walipokutana
 
Prezda:Baby waweza nipa no ya simu?
Beib: Haisumbui hii: 07xxxxxxx.nijulishe 2kutane wapi?
Prezda: meeda anex.
 
Prezda:Baby waweza nipa no ya simu?
Beib: Haisumbui hii: 07xxxxxxx.nijulishe 2kutane wapi?
Prezda: meeda anex.

prezd akasign out fasta:kupiga hakuamii maana aliona jina la mkewe,akiwa hajachukua uamuz wa kukata,mara mkewe anapokea simu,'mume wangu ndo unatoka kazn?ndo niko nyumban nakupika'
 
hahahahahaha!
prszida; wee mama nani umefuata nini hapa?
beib; nikuulize ww?
hapo kabla hawajagundua kuwa ndo vidate venyewe...
 
hahahahahaha!
prszida; wee mama nani umefuata nini hapa?
beib; nikuulize ww?
hapo kabla hawajagundua kuwa ndo vidate venyewe...
ha ha ha ha ha!.baada ya songombingo bila kujua,beib lovee akazama fcbk kumpasha prezda wa kitaa km cku imeingia mtima nyongo akakumbana na inbox toka kwa prezdaa ya kupata dharula na kuombwa wakutane cku ingine.teh teh
 
Mkuu Cheka Upasuke ni Page langu,thanks kuipaisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom