Jf ni noma

Sasa si umbembeleze shemeji baada ya mstuko ulosababisha overadrenalin induction yaani nywele zote zimesmama kwa uoga
kwa huo ugonjwa wako anatakiwa awe karibu sana akupe faraja,mana mshtuko ni jambo nzito sana
 
Yaani hapa anytime naweza nikamfata Mr Ebbo, nimepata mstuko mkali sana, inabidi shemeji aniwahii tu, lakini shemeji huyu mara anauchuna
 
Hapo anatakiwa atoe first aid kit na huduma za ziada tena kwa umakini
 
Back
Top Bottom