JF members mhudhurie ndoa yangu...

Jamani!
Wivu ni mwanzo wa ugomvi?
Kwani ulipenda na ww uwe mke wangu?
Maana dini yangu inaruhusu!
Ila uupunguze huo wivu wako!
Karibu sana uhudhurie jamani!
Tusherehekee na tujuane zaidi.
raha ya mapenzi ni vile visa vinavyotokana na wivu.Aksante kwa mwaliko ila nasubiri kwanza umchoke huyo ili ninunulike kirahisi
 
hongera sana mkuu...!

kila la heri

nakutakia maisha mema ya ndoa

tupatie mwongozo tuje tukuunge mkono
Ahsante member!
Muongozo ntaweka humu humu member!
Karibu sana !
Ila sijajua iwe mkoa gani?
 
raha ya mapenzi ni vile visa vinavyotokana na wivu.Aksante kwa mwaliko ila nasubiri kwanza umchoke huyo ili ninunulike kirahisi
Mhhh!
Ntamchokaje?
Nawe bado hutobadilika/kuchange hizo vission?
Haya bibie....
Umenishitua hapo pakununulika kirahisi...!
 
tuwekee picha tuiweke maombini kama mke mwema kutoka kwa bwana ...usijeingia mkenge ukalia na jf members..amhelewi kukimbilia kwa wakubwa yakilipuka
Pdidy unataka picha ya nani hapo?
Maana yupo marytina ...DA...
Tuwekee sawa mpendwa!
 
Mhhh!
Ntamchokaje?
Nawe bado hutobadilika/kuchange hizo vission?
Haya bibie....
Umenishitua hapo pakununulika kirahisi...!
labda hiyo lugha kavu sana ila namaanisha unichukue jumlajumla kuwa second wife na sio nyumba ndogo.
 
Hongera sana kaka.
Mungu akupe ndoa yenye furaha daima.
 
labda hiyo lugha kavu sana ila namaanisha unichukue jumlajumla kuwa second wife na sio nyumba ndogo.
Haya marytina !
Maana hapa unaweza haribu kila kitu!
Mhusika wa kwanza anaweza kuepo humu JF anafuatilia hizi threads...nae wivu wake ikawa tafrani nguo.....
Mkaanzian kuPM.
Si wajua mlivyo?
 
Haya marytina !
Maana hapa unaweza haribu kila kitu!
Mhusika wa kwanza anaweza kuepo humu JF anafuatilia hizi threads...nae wivu wake ikawa tafrani nguo.....
Mkaanzian kuPM.
Si wajua mlivyo?
thanks 100 times for this post hasa uliponiita kwa jina langu (usishangae hata kidogo)
Kuna mtu kaniPM KANIONESHA DHARAU flani sasa nakosa connection.
Ila sio siri kuolewa kwa siku hizi ni jambo la heri nampongeza huyo dada.
 
quote_icon.png
Originally Posted by Maalim Jumar
Haya marytina !
Maana hapa unaweza haribu kila kitu!
Mhusika wa kwanza anaweza kuepo humu JF anafuatilia hizi threads...nae wivu wake ikawa tafrani nguo.....
Mkaanzian kuPM.
Si wajua mlivyo?

thanks 100 times for this post hasa uliponiita kwa jina langu (usishangae hata kidogo)
Kuna mtu kaniPM KANIONESHA DHARAU flani sasa nakosa connection.
Ila sio siri kuolewa kwa siku hizi ni jambo la heri nampongeza huyo dada.

Noted with thanks
 
Du maalim, mi nilipoona mwaliko nikaagiza ndizi, sasa kumbe zitaharibika pilau haijulikani ni lini!
 
Back
Top Bottom