JF members mhudhurie ndoa yangu...

Ha ha ha Genekai hujanywa dawa ya Babu maana ukinywa ile dawa no bia, no wine, no whisky no pombe at all milele.

Ila kwa maalim nadhani ni soda tu

no mama sijanywa dawa ya babu ila seriously situmii ulevi wowote. Nilitaka kujua kama ni chai au kahawa!
 
Labda aje nazo kichwani...hapo ni non-alcohol...juice ...maji...
Ila ngoja nisiwape utamu ...wahusika wenyewe wakimaliza ntawajuza...ila msikose jamani!!!
Utambulisho ni muhimu!

Michango ni kama twakuuzia!
Hapo utakunywa maji...soda aina zote...non-alcohol...juice aina kwa aina...usisahau mlo swaaafiii...sijui ungependelea nini kati ya hivyo?
Usijali mkuu situmii kinywaji chochote chenye kilevi so hapo ni nyumbani, Ntakuja mkuu ratiba ikiruhusu, tarehe na muda ni muhimu!
 
habari yenu JF!
Nimekua nafuatilia mambo mengi humu utaona wengi wetu tunapeana salam za upendo na tuna-enjoy sana.
Sasa nikikaribia ndoa yangu nawaalikeni mhudhurie...inshaallah ntaweka eneo maalum kwa members wa JF.
Msiniache jamani...kama mnavyochangia threads zangu pia mhudhurue!
I love uuuuuuu!

mmh!
Huwa nakuimagine ni mtu mzima, una mke tayari na watoto.
Ahsante kwa mwaliko.
 
Wenyewe tunajiogopa wenyewe je iweje tukusanywe kwenye harusi na ktk meza moja kumeandikwa JF member!!!!!kwanza watu lazima waikimbie hiyo meza!!wakiangalia nani anaenda kukaa mpaka harusi inaisha hutakuta kakaa mtu!!!!
 
Aoe yeye halafu tumchangie na chukia tabia ya kuchangia....
Mkuu umenifurahisha kweli!! Kuna mmoja aliniletea card ya mchango yenye kiwango cha kuchangia! Nikamuuliza 'yaani mpendane nyie halafu muwatwange fine wengine?' Jamaa kila akiniona huwa anacheka sana japo wakati ule hakunielewa!
 
Mkuu umenifurahisha kweli!! Kuna mmoja aliniletea kard ya mchango yenye kiwango cha kuchangia! Nikamuuliza 'yaani mpendane nyie halafu muwatwange fine wengine?' Jamaa kila akiniona huwa anacheka sana japo wakati ule hakunielewa!

Teh teh teh!
Unanuimiza mbavvvvuuu zaaanguuu mmmmiiie!
Haya bana! Kwangu uje tu na mpendwa wako!!!!
 
Namwonea wivu mdada unayetarajia kufunga naye ndoa, natamani sana siku flani nije na sredi kama hii.
 
Wenyewe tunajiogopa wenyewe je iweje tukusanywe kwenye harusi na ktk meza moja kumeandikwa JF member!!!!!kwanza watu lazima waikimbie hiyo meza!!wakiangalia nani anaenda kukaa mpaka harusi inaisha hutakuta kakaa mtu!!!!
KK unawatisha wenzio bana!!
Meza zitakua nyingi pia naamini members ni wengi watahudhuria...na hadi muda huu nimepokea order za membres kama watatu wao wapewe kazi kutokana na uzoefu wao!
Hili linanipa raha zaidi.
Hofu nlionayo nawaomba mawasiliano yao bado hawajanipa!
Isije ikawa siku yenyewe wakaniweka kwa kapu!.
Usikose KK.
 
hongera sana mkuu...!

kila la heri

nakutakia maisha mema ya ndoa

tupatie mwongozo tuje tukuunge mkono
 
mmh!
Huwa nakuimagine ni mtu mzima, una mke tayari na watoto.
Ahsante kwa mwaliko.
Ni kweli ni mtu mzima mamii
...kwa mujibu wa sheria za Tz m/ke utu uzima anaanzia miaka 12 kama sijasahau.
M/me anaanzia miaka 15 kama sijakosea. Lakini tumezoea kusikia mtu mzima huanzia miaka 18. So nipo mtu mzima sijui naww Husninyo?
Tena naww bibie usikose jamani!!.
 
Namwonea wivu mdada unayetarajia kufunga naye ndoa, natamani sana siku flani nije na sredi kama hii.
Jamani!
Wivu ni mwanzo wa ugomvi?
Kwani ulipenda na ww uwe mke wangu?
Maana dini yangu inaruhusu!
Ila uupunguze huo wivu wako!
Karibu sana uhudhurie jamani!
Tusherehekee na tujuane zaidi.
 
habari yenu JF!
Nimekua nafuatilia mambo mengi humu utaona wengi wetu tunapeana salam za upendo na tuna-enjoy sana.
Sasa nikikaribia ndoa yangu nawaalikeni mhudhurie...inshaallah ntaweka eneo maalum kwa members wa JF.
Msiniache jamani...kama mnavyochangia threads zangu pia mhudhurue!
I love uuuuuuu!
huo ndo undugu kushirikiana na kushirikishana.michango pia ukihitaji mm naahidi kukuchangia,na nikiwa dar na tar zikaruhusu nitafurahi kuhudhuria.
 
Back
Top Bottom