Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,967
- 22,157
Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako.
Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF
Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa walio na ndoa
Maombi yangu kwa Mungu mwaka huu uwe mwaka wa ndoa nyingi humu JF zenye furaha
Nasisitiza vijana msiogope ndoa n changamoto hata mngeoana kwenye sayari la maana
Mtangulizeni Mungu kwa kila jamboooooo....
Wewe dada mkaka wa JF andika hii tar Dec uje kunikumbuka nakuona uko na shella ya maana
Uko na suti ya maana ukiingia kansani na msikitini kutimiza ahadi ya Mungu
Na wale mlioachika msikate tamaaa rushen majina yenu inbox naenda kufunga na kuomba Mungu awape watu sahihiiii wenginr wana majini maha...Kuyajua ushaaingia mzigoni hapo jini subhia...Aanakusubiri...Isiwe kwako ktk jina la Yesu
Nawatakia 7-7 njema..