JF members mhudhurie ndoa yangu...

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
habari yenu JF!
Nimekua nafuatilia mambo mengi humu utaona wengi wetu tunapeana salam za upendo na tuna-enjoy sana.
Sasa nikikaribia ndoa yangu nawaalikeni mhudhurie...inshaallah ntaweka eneo maalum kwa members wa JF.
Msiniache jamani...kama mnavyochangia threads zangu pia mhudhurue!
I love uuuuuuu!
 
tuwekee viwango vya mchango na card tutapataje!!au ni mwaliko tu wa direct bila malipo!

Mawazo ni mazuri...lakin bado naruhusu maoni yenu....japo naamin mwanzo wa michango ni kubagua wengine.
Labda mnipe michango nianzishie miradi.
 
unafikiria kufunga mwaka huu?na ni kipindi gani ili tujiandae maana kweli tunamic sana pilau la harusi!

Ndio nipo kwenye maandalizi...usikose member!
Pia si vbaya ukashiriki kwa namna yeyote hata ukinishauri ni vzuri...don't miss!
 
tupe tarehe bana mie na hamu sana na Pilau aisee sijala siku nyingi na outing sijatolewa siku nyingi.

Sababu nyingine hii ya kutoka out!!
Utaniumiza mbavu leooo!
Unajua akina dada wakitaka watolewe out...najua ni gharama itatumika...
Mavazi+viatu etc.
Hapo usipokua mkali utaambiwa HUTOKI!
 
Ustaadh!

Unafanyia harusi wapi nijiandae mapema na kambi?
 
poa nitashukuru sana kama nitapata nafasi hiyo na harusi naomba iwe kuanzia mwezi wa 7 na kuendelea maana hapo nitakua freeeeeeeeeee from sobibor
Ndio nipo kwenye maandalizi...usikose member!
Pia si vbaya ukashiriki kwa namna yeyote hata ukinishauri ni vzuri...don't miss!
 
Mh hiyo harusi unafanyia uwanja wa taifa?
Ok al de best!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom