RAFA_01
Senior Member
- Aug 10, 2022
- 104
- 169
Habari kila mmoja,
Nimekuwa nikipitia baadhi ya nyuzi za JF kwa mda sasa nimekuwa nikipata majibu ya maswali yangu, sambamba na vicheko, maana kuna members humu wana excellent sense of humour na mimi napenda utani mzuri.
Basi kusema hayo nmeamua nijiunge na huu mtandao ulio wa kipekee kwa aina yake.
Kuna watu nyuzi zao nlikuwa nasoma zilikuwa zinavutia sana na wengine comments zao ndio dah🙌🏽, nawakubali sana wenyeji zangu sitataja majina ya kuwasifia maana nsije nkasahau wengine, si unajua mgeni anatengeneza good first impression kwanza kabla ya kuwehuka😅 (just kidding).
Nipokeeni kwa mikono miwili. 🙏🏽