JF imekuwa ikinijibu maswali yangu mengi mpaka nimeamua kuingia mazima

RAFA_01

Senior Member
Aug 10, 2022
104
169
Habari kila mmoja,

Nimekuwa nikipitia baadhi ya nyuzi za JF kwa mda sasa nimekuwa nikipata majibu ya maswali yangu, sambamba na vicheko, maana kuna members humu wana excellent sense of humour na mimi napenda utani mzuri.

Basi kusema hayo nmeamua nijiunge na huu mtandao ulio wa kipekee kwa aina yake.

Kuna watu nyuzi zao nlikuwa nasoma zilikuwa zinavutia sana na wengine comments zao ndio dah🙌🏽, nawakubali sana wenyeji zangu sitataja majina ya kuwasifia maana nsije nkasahau wengine, si unajua mgeni anatengeneza good first impression kwanza kabla ya kuwehuka😅 (just kidding).

Nipokeeni kwa mikono miwili. 🙏🏽
 
We
Habari kila mmoja,

Nimekuwa nikipitia baadhi ya nyuzi za JF kwa mda sasa nmekuwa nikipata majibu ya maswali yangu sambamba na vicheko, maana kuna members humu wana excellent sense of humour na mm napenda utan mzuri

Basi kusema hayo nmeamua nijiunge na huu mtandao ulio wa kipekee kwa aina yake.

Kuna watu nyuzi zao nlikuwa nasoma zilikuwa zinavutia sana na wengine comments zao ndio dah🙌🏽, nawakubali sana wenyeji zangu sitataja majina ya kuwasifia maana nsije nkasahau wengine, si unajua mgeni anatengeneza good first impression kwanza kabla ya kuweuka😅 (just kidding)

Nipokeeni kwa mikono miwili 🙏🏽
Wengine tukikupokea kkwa mkono mmoja itakuwaje?
 
Habari kila mmoja,

Nimekuwa nikipitia baadhi ya nyuzi za JF kwa mda sasa nmekuwa nikipata majibu ya maswali yangu sambamba na vicheko, maana kuna members humu wana excellent sense of humour na mm napenda utan mzuri

Basi kusema hayo nmeamua nijiunge na huu mtandao ulio wa kipekee kwa aina yake.

Kuna watu nyuzi zao nlikuwa nasoma zilikuwa zinavutia sana na wengine comments zao ndio dah, nawakubali sana wenyeji zangu sitataja majina ya kuwasifia maana nsije nkasahau wengine, si unajua mgeni anatengeneza good first impression kwanza kabla ya kuweuka (just kidding)

Nipokeeni kwa mikono miwili
Huku mpk kwa miguu mzee unapokelewa karibu mjengoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom