Wa mmoja
Member
- Aug 4, 2009
- 99
- 0
teh,teh,teh......Mwanadamu una roho kubwa kama jogoo...hapo kwenye red anaonekana jinsi alivyo mpweke wa kipekee
teh,teh,teh......Mwanadamu una roho kubwa kama jogoo...hapo kwenye red anaonekana jinsi alivyo mpweke wa kipekee
Mh! Laiti ningekuwa MOD!teh,teh,teh......Mwanadamu una roho kubwa kama jogoo...
hapo kwenye red anaonekana jinsi alivyo mpweke wa kipekee
Umasikini uko wapi hapo!
Mambo ya Global Publishers haya! Udaku Udaku
Mbona unatuchanganyia habari. Maskini kwa lipi? Ni mmoja kati ya watuhumiwa aliyedai kwamba alikuwa coerced kusema kwamba walitenda kosa ili aachiwe waendelee na mlengwa wao Jerry. Kwani hilo ni jipya kwa polisi wa Bongo?
Me nilisikia imepigwa tarehe jamaa wanaendelea na uchunguzi!
Aliwafuata mafisadi akifikiri kapata kumbe kapatikana. Sasa kwishney. Hivyo ndivyo ccm huwafanya wote wanaokuwa na kiherehere cha kupinga ulaji wao. Uwakenulia meno kumbe huwa ni chambo tu. Mwisho yanawakuta yaliyomkuta. aliyataka mwenyewe na kuyafuata mwenyewe huko TBCjina na sura ya Jerry Murro si ngeni machoni na masikioni mwa watanzania
tulio wengi,hasa kwa watu wanaopenda kufatilia nchi yao kupitia vyombo vya
habari. Na kama ulikuwa mfatiliaji basi jina Jerry Murro si ngeni kwako. kwanza
alianzia ITV na baadae alihamia TBC1 ambako alikutana na maruheruhe kwenye
kazi zake mpaka kufikia kupelekwa mahakamani. Swali langu ni mbona simuoni tena
kwenye kioo cha TBC1? au ukiwa na kesi uhurusiwi kujishughulisha na mambo ya
habari tena? au ameacha kazi TBC1?. Na ile kesi yake PASUA KICHWA bado anayo
au ilishakwisha? tunamisi manews ya Jerry wa kufichua uvundo wa chini ya kapeti.
dead or alive, he did them! and in their turn, they are doing him!