Jerry Muro, wapi alipo?

Ilumine

Senior Member
Dec 27, 2008
196
4
Hivi mwandishi huyu yupo wapi kwa sasa? au ndio ameshamalizwa na kufifishwa katika shughuli zake za uandishi? Ninapenda kujua toka kwenu wadau, nini kinaendelea.
 
Mie pia natamani sana kujua yuko wapi na anafanya nini(nini hatma yake) lakini naona amekuwa kama mshumaa katika upepo
 
Mimi pia. Na vile vyama vya waandishi etc mbona hawaneni chochote?
 
YUPO SONGEA. na kule amewekwa kwenye fani yake ya Biashara na sio utangazaji.
By the way Muro ni graduate wa BCOM na sio Mass com
 
Kilichofanyika ni halali kabisa kwani kila kitu kina ethics zake . Ndio maana hapa ma engineer tunakuwa registered erb, vile madaktari, wanasheria, wahasibu na hata waandishi.

Sasa jery alikuwa ana practice kitu asichosomea na hana taaluma nacho ni bora sasa wamuweke kwenye taaluma yake na kama anataka uandishi basi ana nafasi kubwa ya kujifunza taaluma ya uandishi kisha kupata licence ya ku practice. Ili aweze kufanya kwa ufanisi zaidi.
 
na wewe hebu acha hizo unafanya kitu roho inapenda ..wameamua tu kumnyamazisha kijana wa watu..
 
Hizi ethics zipo kwa wanyonge tu?
Mbona hatuoni ethics za Utawala bora zikifuatwa bana!!!!!!!!!
 
Muro ni muajiriwa wa TBC hivyo taratibu za kazi unapokuwa na kesi mahakamani unasimamishwa kazi hadi kesi iishe, so akishinda kesi atarudi kazini akitiwa hatiani kazi hamna.huwezi kumsikia tena katika nyanja ya habari hadi kesi iishe
 
na wewe hebu acha hizo unafanya kitu roho inapenda ..wameamua tu kumnyamazisha kijana wa watu..

Wanani wameamua kumnyamazisha? Ni yeye mwenyewe na tamaa zake za mzee fisi. Anadai rushwa kwa kutumia pingu? Inafaa ale miaka saba ili liwe fundisho kwa makanjanja wengine
 
Nilikutana naye Dar akanihoji, sijaangalia kama mahojiano hayo yalirushwa TBC1 au la!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom