g waungwana nadhani kulikua na maswali mawili ya msingi. Kaisha fukuzwa kazi? Pia kesi iliishaje? Pliiz kama kuna mtu ana dits aziweke hapa, hata mi ningependa kujua whats goin on bout his case. Gracias
kama ni hivyo mbona akina Mramba na Yona waliendelea kuhudhuria BUNGENI? au wao hawakuwa watumishi wa UMMA?Kwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma, mfanyakazi anapo shitakiwa mahakamani anasimamishwa kazi(sio kufukuzwa) hadi kesi yake itakapo kwisha tolewa hukumu, akifungwa na kazi basi,akishinda anaendelea
Kama nitakuwa sahihi alishafukuzwa kazi,kwani kinachotakiwa ni kumuondoa kabisa kwenye mawazo ya watu,kumbuka kuwa tbc1 inatawaliwa na mafisadi.
kama ni hivyo mbona akina Mramba na Yona waliendelea kuhudhuria BUNGENI? au wao hawakuwa watumishi wa UMMA?
Kama nitakuwa sahihi alishafukuzwa kazi,kwani kinachotakiwa ni kumuondoa kabisa kwenye mawazo ya watu,kumbuka kuwa tbc1 inatawaliwa na mafisadi.
Mimi nijuavyo TBC1 na TBC ni mali ya watanzania wote hivyo serikali ambayo inawakilisha wananchi ndiyo inasimamia shughuli zote kwa niaba yetu sisi Watanzania. Sasa ukisema inamilikiwa na mafisadi 100% sikuelewi kwani tuliiuza lini?You are very right. Mafisadi wanamiliki 100% of TBC1
Huo ndiyo ukweli, akishinda analipwa stahili zake lakini akishindwa inakuwa imekula kwake. Kwa sasa amepisha uchunguzi na kesi yake hukumu ipo karibu ipo tayari nadhani ilishapangiwa tarehe ya kusomwa.Kwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma, mfanyakazi anapo shitakiwa mahakamani anasimamishwa kazi(sio kufukuzwa) hadi kesi yake itakapo kwisha tolewa hukumu, akifungwa na kazi basi,akishinda anaendelea
Aliwafuata mafisadi akifikiri kapata kumbe kapatikana. Sasa kwishney. Hivyo ndivyo ccm huwafanya wote wanaokuwa na kiherehere cha kupinga ulaji wao. Uwakenulia meno kumbe huwa ni chambo tu. Mwisho yanawakuta yaliyomkuta. aliyataka mwenyewe na kuyafuata mwenyewe huko TBC