Jerry Muro awaanika askari kwa rushwa, nini kitatokea?

Hivi PCCB wanafanya nini mpaka Jerry Muro ndo afichue wala rushwa! hii kweli bongo darisalam.
 
hili nalo litapita kama yalivyokwisha kupita matukio mengine...!!

na MUNGU alivyo wa ajabu..!! akatupa uwezo wa kusahau...!!!

hivo muda si mrefu sisi wananzengo na huyo kamanda musika na huyo kiongozi mwema na hata bro masha, mzazi wangu manumba ukimwondoa RAIS Kikwete (ambaye hakusahau kuwa gari la wagonjwa linapaswa kupelekwa.....!!! na siyo kupelekwa.........!!!) WOTE tutasahau.......! safi sana!!

na hao masoja wataendele na biashara kama kawaida (ie, Business as usual)
 
ila piiiaaa jerry nakuhuuusiiaaaaaa
usichokeee munguuu kumuuuoombaaaaa
umewashiiikaaaaa WAKUBWA PAABYAYAAAA
inaweza kukughariiiimuuu maiishaaaaaaaaaaaa
OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOH KAMA SIIIIIIIIIIIOOOOOOOOOOOOOOOO!

true mkuu umelonga
 
Jerry amnia kwa zako juhudi mijigambire lazma rushwa ikome
Kaza buti mwana ikiwezekana pasua hadi home kwetu Same,
Hii nchi imejaa maovu mengi from now on this wont be the same,
Mizee yala rushwa utazanishia mafupa na mnyama fisi?
Natumaini hizo kesi zilizofunguliwa zitawapiga maafande mufilisi,
Hakianani mwaka huu rushwa Jeryy itokomeze mpaka wakuone we nuksi.

hii vita aiwezi peke yake he need our surpport jamani tumpe sapoti mabinamu
 
Hapo kwenye RED, una maana kuwa Jerry Murro ni muhanga na kama ndiyo wa kitu gani? Au hilo ni neno jipya. Sisi bwana tulikuwepo enzi za miaka ya 47... wakati mwingine maneno ya vijana wa dot com yanatupiga chenga!!

waanga ni wayu wanaojilipua yani kujitoa kama alivyo fanya jerry murro kuwapiga video trafiki live na kurusha hewani kwani uangalii tv mkuu
 
kazi nzuri, ila si mara ya kwanza hii. wakati yuko ITV tuliwahi kuona mambo kama haya kwenye KIPINDI MAALUM. haikutangazwa sana. why?
 
Jerry Muro anapambana na petit(petty)corruption>Thubutuni mzungumzie grande(grand)corruption-MEREMETA , RADA, EPA NYUMA YA MWAKA 2005/2006 ndege ya Rais TWIN BOT TOWERS na uozo mkubwa!utaliwa Mangi na utasingiziwa jambazi na Watanzania watasahau na kuanza stori nyingine!nawaogopa mno watanzania maana hawafuatilii mambo hadi mwisho!ok Jerry Muro Miku You have done your bit and even if you fall you can stand and be counted!DID YOU KNOW STAN KATABALO?WHERE IS HE IN HISTORY?NAMNUKUU KARL MARX.....ALL WRITTEN HISTORY IS A HISTORY OF CLASS STRUGGLES........WRITTEN BY INK OF BLOOD!
 
mh thubutu uko sasa hivi mtasikia tumpeleke tumpeleke kwenye nyumba ya milele na siajabu mzee komba akatoa singo yake.
tulikukuwa nae siku zote za mapambano
mwenzetu ndugu yetuuuuuuu jery murroooo
 
Kipindi kinaendelea TBC1, amewaonyesha 'live' askari wa Makambako - Iringa wanavyochukua rushwa na akasema hiyo ni awamu ya kwanza na watanzania wasubiri awamu ya pili, akiendelea kuwaanika wanaofanya hivi, je watamwacha aendelee kuwaumbua?

Safi sana Jerry!
Tunahitaji watu courageous kama hawa.Jeshi letu la Polisi lina shida kubwa.Ananikumbusha Anas Aremeyaw Anas alivyowaumbua wanasheria wa Ghana.
 
Back
Top Bottom