Jerry Muro awaanika askari kwa rushwa, nini kitatokea?

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=GITnkauK284[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=WwxoreBA5eI[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=CRFXr1BkCZI[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=kT_0gNfRVa0[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=sCKeopQca20[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=asWO6nWju9w[/ame]
 
Jerry Murro anachezea sharubu za simba;)!
Hawajui hawa jamaa wa Kazimzumbwi eeh?
 
tupe zile walizokuwa wanachukua rushwa yani zimekaa vizuri kweli ebu turushie hizo
 
tumuombee mdogo wetu jamani!

umri wake ni mdogo sana(28yrs),lakini AMEWEKA KUVULI KWENYE INTEREST ZA BIG-FISHES....!!

itamcost maisha kama hatakuwa mwangalifu...!
 
tumuombee mdogo wetu jamani!

umri wake ni mdogo sana(28yrs),lakini AMEWEKA KUVULI KWENYE INTEREST ZA BIG-FISHES....!!

itamcost maisha kama hatakuwa mwangalifu...!
mmmh kweli anahitaji maombezi kwakweli kwani anaweza kuwa 'wanted'
 
du haya ngoja waje kina Xpin ,Nguli ,Geoff ,radical ,kaizer kazi inaanza hapa!!
 
Back
Top Bottom