Je wewe una tabia ya mnyama gani maapenzini?

Wadau nimekutana na hii interesting fact nikaona tu share Lolz !

HYNA: FEMALES GOT BALLS!

Female hyenas wear the pants in the family.

They’re bigger and stronger than the males.

And definitely much more aggressive. Heck,

they even got balls. Really.

A female hyena has a pseudopenis, basically

an enlarged clitoris, that they can erect at will.

To mate, the meeker male has to insert his

penis into her pseudopenis. That’s difficult for

the males, but still nothing compared to the

female having to give birth through a penis!

kizungu zungu kabisa.......

Dolphin: That’s Not His Hand.
A pair of dolphins mating (left), while a friend
swims nearby without a hint of
embarassment)

Here’s something you probably don’t know
about Flipper: he has retractable penis. And if
that’s not cool enough, here’s something else:
his penis is prehensile. And it swivels. In fact,
a male dolphin can use his penis to explore
objects just like a hand.
Male dolphins also have a very strong sex
drive. It can mate many, many times in a
day.

Dolphin: That’s Not His Hand.

A pair of dolphins mating (left), while a friend

swims nearby without a hint of

embarassment)

Here’s something you probably don’t know

about Flipper: he has retractable penis. And if

that’s not cool enough, here’s something else:

his penis is prehensile. And it swivels. In fact,

a male dolphin can use his penis to explore

objects just like a hand.

Male dolphins also have a very strong sex

drive. It can mate many, many times in a

day.

midume mingi ya jf inahamu ya ngono lakini haina nguvu

Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 82
na mtoto wake wa kiume wakazi wa kijiji
cha Nkhoiree tarafa ya Ihanja wilayani
Singida, wamenusurika kufa baada ya
kuvamiwa na nyegere na kujeruhiwa
vibaya sehemu mbalimbali za miili yao.
Mzee huyo Ikaku Jingu na mtoto wake
Julius (50),wamelazwa wodi namba tatu
katika hospitali ya mkoa iliyopo mjini
Singida.
Nyegere ambaye anadaiwa kuwa na
‘wivu wa mapenzi’ kuliko wanyama wote
chini ya jua, umbo lake linafanana la paka
na chakula chake kikuu ni asali.
Akizungumza na MblogI jana Alhamisi
kwenye hospitalini hiyo,Mzee Ikaku
amesema alikumbana na dhahama hiyo
Agosti 30 mwaka huu saa sita za usiku.
Amesema akiwa amelala peke yake
kwenye nyumba yake,alisikia kelele ya
mnyama zikitokea kwenye zizi lake na
kuamua kufungua mlango kwa lengo la
kufahamu ni mnyama gani huyo.
“Kwanza nilidhani kuwa kelele hizo ni za
fisi, lakini nilipofungua mlango, nilimwona
mnyama mdogo mwenye ukubwa
unaofanana na paka akinikimbilia kwa
kasi kubwa”alisema.
Mzee huyo, aliongeza kuwa kwa vile
alikuwa amebeba fimbo,alimpiga na
nyegere huyo hadi akaamua kurudi
nyuma. Lakini ghafla alimrudia tena na
kuanza kumparua kwa makucha na
kumuuma mikononi na miguuni.
Hata hivyo,alisema alipata nafasi
akampiga tena kwa nguvu na kukimbia na
ndipo alipopata nafasi ya kujikokota hadi
ndani ya nyumba yake ya tembe, na
kufunga mlango.
“Huyu mnyama mimi binafsi
amenishangaza sana jinsi alivyokuwa na
hasira na nguvu nyingi kiasi hicho.Baada
ya kurudi na kugundua mlango
umefungwa,alipanda juu ya nyumba
yangu ya tembe na kuanza kufukua
udongo niliouezekea pamoja na kutoa
mapawa (miti) hadi akatoboa na
kutumbukia ndani”alifafanua mzee Ikaku.
Akielezea zaidi mkasa huo Mzeehuyo
amesema baada ya kutumbukia
ndani,alipambana naye tena na
alipozidiwa nguvu,alipiga yowe la kuomba
msaada kwa mtoto wake Julius.
Mzee Ikaku alisema Julius
alipofika,akaanza kupambana naye na
kwa vile alikuwa amebeba blanketi
zito,alimshauri amfunike nyegere huyo ili
waweze kupata nafasi ya kutoroka.
Alisema nyegere huyo alipofanikiwa
kutoka kwenye blanketi hilo,alikimbilia
nyumba ya jirani lakini alishindwa kuingia
ndani kwa vile imeezekwa kwa bati.
“Nasikia usiku wa kuamkia septemba
mosi,nyegere huyo alifika nyumbani
kwangu tena na alipokosa
binadamu,alivamia kichaja
ninachohifadhia mahindi na kuyamwaga
yote chini na kisha kuyasambaza katika
eneo pana”,alisema.
Mzee Ikaku anasema tukio hilo
limemshangaza mno kwa vile kwa umri
wake huo mkubwa, hajawahi kuona wala
kusikia uvamizi mkubwa namna hiyo
kufanya na nyegere.
“Bila shaka nyegere huyu atakuwa na
kichaa,ni vema wataalam wa wanyapori
wakalifuatilia tukio hili ili kubaini iwapo
mnyama huyo mdogo ana kichaa au
laa”,alisema mzee Ikaku.

Similar Discussions

Back
Top Bottom