Je wewe una tabia ya mnyama gani maapenzini?

Black widow and praying mentis . Intercouse with me is potentialy lethal...
 
mimi ata sijuwi, coz uwa nafanya gizani, ngoja leo ntawasha taa then kesho ntawambia.....................
 
Mapenzi ya mbwa baba,mwanamke mmoja wanaume sabini,hapo mwenye kisu kikali ndio anaekula nyama maloosers wote wanabaki kushangilia wouuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu..... usiku kucha.
 
Mimi ni mchanganyiko.naanza kukimbiza kama jogoo halafu romantic kama simba with time nabadilika nakuwa kama dog mambo yakikolea nafanana na nyau mwishoni kama nzi na mwisho kabisa napoteza fahamu kama nyuki.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom