Je waweza?

Hahaha niambie? Unaweza kabidhi kilonga longa kwa chombo?

Mpwa tena fasta unaacha sent items zote hakuna ku-delete chochote kile najua haichukui zaidi ya masaa mawili atakurudisha mwenyewe simu yako bila wewe kuiomba
 
ridiculous.Simu yangu ni yangu na yeke yake.Ndio maana hata kwenye usajili kila mtu alisajili na kitambulisho chake.Na ukizingatia simu yangu naitumia kwa mambo ya kikazi mengi inakuwa haina maana kubadilishana
 
NN jiulize kwa nini ukisahau simu ofisi unarudi??ukisahau nyumbani unarudi??ukiisahau kwenye gari unarudi?Je simu kwanini ikipotea una swap?Ukishapata jibu swali lako litakuwa na jibu rahisi!!Kiukweli achana na mambo ya vimeo nikwamba ukiwaumezoea simu nivigumu kuwa nayo mbali! ukweli ndiyo huo.
 
Hahahahaaa unaona sasa....ndio maana nasemaga ndoa au uhusiano ni upuuzi na magirini tu. Mtakuwaje kitu kimoja halafu kila mtu awe na chake ambacho hakiguswi na mwenzake? Hakuna maana kabisa.

Mtu kama una watu wako na umeoa kwa nini hao watu usiwape namba ya mwenzio kama namba mbadala endapo hautapatikana ktk namba yako ya kila siku?

Lakini ahsanteni kwa michango yenu. Kwa kiasi fulani nimeweza kuthibitisha kile nilichokuwa nakifikiria kuwa cha kweli. Watu ni wabinafsi sana na kwa asili tuko waongo/wadanganyifu na tunailinda hali hiyo kupitia visingizio vya eti 'changu ni changu' au 'faragha'.

Ndiyo maana sitakuja kuoa. Yaani nioe halafu mke wangu awe na vyake ambavyo haviingiliki? WTF????!!!!!!
 
Anapokuja na hilo wazo yeye anakua ashajiandaa.....sasa na mimi anipe muda wa kujiandaa...

Unaona sasa....? Unaposema yeye "anakua ashajiandaa" una imply kuwa kuna kitu au vitu ambavyo anakuficha na hataki wewe ujue, au siyo? Kwa hiyo na wewe unaposema akupe "muda wa kujiandaa" una imply vivyo hivyo kuwa na wewe unacho cha kuficha. La sivyo ujiandae kwa lipi?
 
Hahahahaaa unaona sasa....ndio maana nasemaga ndoa au uhusiano ni upuuzi na magirini tu. Mtakuwaje kitu kimoja halafu kila mtu awe na chake ambacho hakiguswi na mwenzake? Hakuna maana kabisa.

Mtu kama una watu wako na umeoa kwa nini hao watu usiwape namba ya mwenzio kama namba mbadala endapo hautapatikana ktk namba yako ya kila siku?

Lakini ahsanteni kwa michango yenu. Kwa kiasi fulani nimeweza kuthibitisha kile nilichokuwa nakifikiria kuwa cha kweli. Watu ni wabinafsi sana na kwa asili tuko waongo/wadanganyifu na tunailinda hali hiyo kupitia visingizio vya eti 'changu ni changu' au 'faragha'.

Ndiyo maana sitakuja kuoa. Yaani nioe halafu mke wangu awe na vyake ambavyo haviingiliki? WTF????!!!!!!

NN in reality hivi kuna kitu kinaitwa wawili kuwa kitu kimoja? kila mtu yupo kivyake, hata pacha ingawa wametoka kwenye mfuko mmoja lakini kila mtu yupo kivyake. ndoa na mahusiano ni kama hivyo tu. tumeungana sawa, lakini haimaanishi sasa inabidi tufikirie sawa, tutende sawa, tutembee sawa n.k. ndo maana utakuta kila mtu ana marafiki zake, ana mambo yake anayoyapenda n.k.
na tena nikuambie NN ukioa mke ambaye atakuwa anataka kuingilia kila unachokifanya (kukufwatilia) nakuambia utaichoka hiyo ndoa mapema sana. Hata kama hakuna jambo lolote baya unalolifanya uhuru wako ni muhimu sana, hata kwa mkeo!!
 
Mimi nshakata shauri kuwa ndoa na mimi hatuendani. Siyawezi mimi maisha ya ndoa kwa sababu ni usanii mtupu. Na ndio maana ndoa nyingi zina migogoro kwa sababu ya kama hizo nilizozitaja hapo juu; udanganyifu, ukosefu wa imani, ubinafsi, n.k.

Na umesema mwenyewe, "uhuru wako ni muhimu sana".....kwa hiyo ili ku maintain huo uhuru niupendao kwa dhati kabisa, umuhimu wa kuoa ni upi sasa? Jibu ni hakuna!!! Nabaki mseja na uhuru wangu asilimia 100.
 
Kwangu itakuwa ngumu sio kuficha kitu la hasha ni mambo ya kazi. Simu yangu imeconnectiwa na shughuli za ofisi kwa hio kuna update nitaweza kukosa au kupigiwa na bosi kuna emergence kazini nishindwe kwa vile atakuwa nayo mama. Cha muhimu ni kupendana na kuaminiana. Infact siku hizi vicheche vina simu maalumu vinaacha ofisini kwenye droo hazifiki nyumbani kabisa.
hapo penye red haswa ndo la msingi mengine yatafuata,
 
Infact siku hizi vicheche vina simu maalumu vinaacha ofisini kwenye droo hazifiki nyumbani kabisa.

Heheheheeee duuu....unaona sasa!!! Yaani full usanii. Sasa hapo kama huyo kicheche ndo demu wa mtu jamaa yake atajuaje kama demu wake anamegwa nje?

Hakuna uaminifu kabisa. Kwa nini mtu uwe na simu maalumu inayoachwa kwenye droo ofisini kama hufanyi kitu ambacho hupaswi kufanya?
 
KWA HISANI YA NDOA YETU(JAPO SIJAFIKA HUKO)......NTAVINJA UKIMYA.... NA KUMWOMBA AWE NA VIDONGE VYA KUSHUHSA PRESHA:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:!!
Mkuu ni kweli kabisa... tena kama sie wenye watoto ndio inabidi na watoto waende kwa bibi zao kabisaaa... vitu vyote vya kioo tunafungia ndani, maana songombingo ni balaa

I find it very hard kumuachia mke wangu simu even for one hour, sijui yeye anajifeel vipi kuniachia simu, ntajaribu leo halafu tujue
 
Kwangu itakuwa ngumu sio kuficha kitu la hasha ni mambo ya kazi. Simu yangu imeconnectiwa na shughuli za ofisi kwa hio kuna update nitaweza kukosa au kupigiwa na bosi kuna emergence kazini nishindwe kwa vile atakuwa nayo mama. Cha muhimu ni kupendana na kuaminiana. Infact siku hizi vicheche vina simu maalumu vinaacha ofisini kwenye droo hazifiki nyumbani kabisa.

kwenye red, nakubaliana na wewe SS, simpi mtu simu yangu ng'o labda niisahau bahati mbaya aikute!!!
 
chloe.obrain najaribu kupiga mahesabu umesahau simu nyumbani halafu mume umemuacha nyumbani hiyo spidi ya kurudi kuifuata hiyo simu nyumbani sipati picha
 
Mkuu ni kweli kabisa... tena kama sie wenye watoto ndio inabidi na watoto waende kwa bibi zao kabisaaa... vitu vyote vya kioo tunafungia ndani, maana songombingo ni balaa

I find it very hard kumuachia mke wangu simu even for one hour, sijui yeye anajifeel vipi kuniachia simu, ntajaribu leo halafu tujue

Acid naomba utatuletea majibu tuone kama kuna drama yoyote ilitokea
 
chloe.obrain najaribu kupiga mahesabu umesahau simu nyumbani halafu mume umemuacha nyumbani hiyo spidi ya kurudi kuifuata hiyo simu nyumbani sipati picha

ha ha ha ha ha ha :becky::becky::becky::becky: we acha tu, yaani ni shaaaa......!!!! dakika sifuri halafu ukifika unajibalaguza kuuliza "habari za hapa"????? ilimradi ujue kama mambo yamewiva au la! ni noma ati.
ila hizi simu zina mambo nyie acheni tu!!
 
Ha Ha Ha unaanza kumwambia "Nilifikiri umeishaondoka, vipi hakuna aliyepiga kwenye simu yangu" Unakaa kama dakika tano hivi kuona kama kuna mabadiliko ya hali ya hewa:becky::becky:
 
kwenye red, nakubaliana na wewe SS, simpi mtu simu yangu ng'o labda niisahau bahati mbaya aikute!!!

chloe.obrain najaribu kupiga mahesabu umesahau simu nyumbani halafu mume umemuacha nyumbani hiyo spidi ya kurudi kuifuata hiyo simu nyumbani sipati picha

ha ha ha ha ha ha :becky::becky::becky::becky: we acha tu, yaani ni shaaaa......!!!! dakika sifuri halafu ukifika unajibalaguza kuuliza "habari za hapa"????? ilimradi ujue kama mambo yamewiva au la! ni noma ati.
ila hizi simu zina mambo nyie acheni tu!!

Full usanii!!!!! Kama huna la kuficha shida yote ya nini? Kwa nini ukifika kazini au popote uendako usimpigie mumeo na kumwomba akuletee hiyo simu? Na kwa nini ujibaraguze kama dhamiri yako iko safi?

Sielewi kabisa kwa nini watu wanalazimisha ndoa.
 
I find it very hard kumuachia mke wangu simu even for one hour, sijui yeye anajifeel vipi kuniachia simu, ntajaribu leo halafu tujue

But why? What's in it that you don't want your wife to see?
 
cm ni kitu personal,hata kama huna chochote cha kuficha lkn lazima tukubaliane na ukweli kwamba si yoooooooooote mnaambizana au kufanya pamoja kama wanandoa,kuna masuala mengine ni ya mashostito,familia,etc usipojihamini wewe kwanza,huwezi kumwamini mwenzio,kama kuna chochote unahisi si kizuri si ufanye uchunguzi wako au muulize mwenzio?kwann kuishi maisha ya digidigi?maisha mafupi bana kufatiiana weka shida chini tupa mikono juu alafu ba banjuuuka tu.Ya kwangu yuko huru kuichukua mda wwte yake siitaki jamani mie pressure ya nn tena ya kujitakia?
 
Simu simu simu............simuuuuuuuuuu simu.................simu...........enhee endeleeni wadau
 
Back
Top Bottom