Je waweza?

,How does it feel?si unajua kila mla vya wenzie na vyake ane huliwa?

Sheria za hit and run hazizungumzii kumiliki mzigo ukisha mega tayari atajiju labda kama umefrahishwa na mchezo ukaomba tena gemu nyingine ya ugenini au nyumbani ya kirafiki zaidi.
 
haina shida kumega na kuacha lkn wakati unamega na kuacha fikiria ndo dadako anafanyiwa hivyo na lijamaa au ni yule mtoto wako wa kike umpendae na kumwamini jamaa wa kwanza anamega na kusepa ,wapili nae hivyo wa 3,wa 4...........10,How does it feel?si unajua kila mla vya wenzie na vyake ane huliwa?

Hivi pearl utaacha kumega kwa sababu na dadako anaweza kumegwa??? Kumegana is a mutual benefit thing!
 
Na ndio maana nasema siku zote kama matumizi ya simu yako ni sahihi utakuwa hauna pressure pindi unapoombwa simu yako ili mwenzako aitumie mara moja na kama matumizi ya simu yako ni sahihi hata pale unapoiacha nyumbani basi kama unajua kuwa hauna wasiwasi kama mumeo yuko nyumbani utamjulisha kuwa umesahau simu yako na utamuomba aje nayo akiwa anakuja mjini kama ofisi zenu nyote ziko huko.Kuna watu wengine wakisahau simu nyumbani watapata presha za ajabu kujua ni kitu gani kinaendelea huko kwa kuwa yale anayoyafanya kwa kutumia simu yake sio sahihi ndio maana anapatwa na presha.

This one deserves a round of applause and a standing ovation both at the same time. Unimpeachable common sense!!!
 
NN kunradhi, sijasoma maoni yote bali machache ya juu.

Cha kwanza kujiuliza ni kuwa wazo kama hilo linatokea wakati gani ndani ya relationship. Kama ni miaka zaidi ya 2 mkiwa mmekaa pamoja na mnaishi pamoja hilo wala halina kwere. Maana she or he becomes your other half. Na hilo linakuwa na mantiki zaidi haswa pale mtakuwa mmefunga ndoa. Kwani mnakuwa mmekubaliana na mengi kuhusu maisha yenu na marafiki zenu na ndugu wanakuwa wanawafahamu pande zote zote.

Lakini kama ni kwenye uhusiano wa girlfriend na boyfriend tu, swala hilo ni BIG NO!! Kwanza akinijia na idea kama hiyo nitambarasa mpaka ataona aibu... Kama hatukai pamoja, kama hatuko kwenye uhusiano muda mrefu, kama haijui familia yangu yote, kama hawajui marafiki zangu wote; kwanini nimwachie mawasiliano yangu yapitie kwake?! Mjomba 'angu akipiga simu anataka tuuze shamba la bibi how the hell would she handle that and why should she know about my family business??!! Dude if you give in to that in my humblest opinion you'll be played and be simped on every now and then, since it is a clear sign of weakness on your part especially if this has not been a long term relationship. Just think what else bizarre and daring stuffs she would come up with just so to prove yourself towards her?!!
 
Kifupi simu yangu ni simu yake na hivyo hivyo ya kwake! Kwenye kuruka majoka na vishoka wangu ninamakubaliano wasinitumie sms wala kunipigia maana iko wazi niko na mke wa Kizenji na anajua Karate! Mawasiliano yote yataanzia kwangu. Kamwe no SMS, beeping, wala missing calls. Kwa maana hiyo hata akikaa na simu yangu miaka 6 atapokea simu za marafiki wa kiume ndugu na za kazini. Vishoka wangu nimewasavu kwa majina ya wanaume. John1, John2 John3........
 
Chloe dada, wapi nilipokulazimisha ufanye kama mimi? Nilichofanya mimi ni kuuliza maswali yaliyo halali kabisa. Zaidi ya hapo kila mji na makubaliano yake. Wewe na mumeo (kama umeolewa) kama mmekubaliana kutokushika simu ya/za mwenzio basi poa tu. Hakuna kinachoharibika. To each his/her own dada.

okay!!!:smile-big::playball:
 
Ndo maisha yalivyo....kwa hiyo kama dadangu akipata njemba immege tu halafu isepe...hey...mimi ntafanyaje sasa? Hayo ni maisha yake na mimi nina yangu.

Hahahaha naona Pearl anawakilisha kama yale majamaa ambayo hayataki dada zao kumegwa
 
NN kunradhi, sijasoma maoni yote bali machache ya juu.

Cha kwanza kujiuliza ni kuwa wazo kama hilo linatokea wakati gani ndani ya relationship. Kama ni miaka zaidi ya 2 mkiwa mmekaa pamoja na mnaishi pamoja hilo wala halina kwere. Maana she or he becomes your other half. Na hilo linakuwa na mantiki zaidi haswa pale mtakuwa mmefunga ndoa. Kwani mnakuwa mmekubaliana na mengi kuhusu maisha yenu na marafiki zenu na ndugu wanakuwa wanawafahamu pande zote zote.

Lakini kama ni kwenye uhusiano wa girlfriend na boyfriend tu, swala hilo ni BIG NO!! Kwanza akinijia na idea kama hiyo nitambarasa mpaka ataona aibu... Kama hatukai pamoja, kama hatuko kwenye uhusiano muda mrefu, kama haijui familia yangu yote, kama hawajui marafiki zangu wote; kwanini nimwachie mawasiliano yangu yapitie kwake?! Mjomba 'angu akipiga simu anataka tuuze shamba la bibi how the hell would she handle that and why should she know about my family business??!! Dude if you give in to that in my humblest opinion you'll be played and be simped on, since it is a clear sign of weakness especially if this has not been a long term relationship. Just think what else bizarre and daring stuffs she would come up with just so to prove yourself towards her?!!

Just for the sake of the discussion let's just say you are in a marriage....forget about boyfriend-girlfriend...
 
Mie sina cha kuficha ntampa hata wiki mbili...but what happens simu zake za kazini na deal zake nyingine???? amabazo hazihusiani na ''infidelity'' Kaizer are u reading me......
 
hapana fidel,unajua mob saikology ni mby lkn mwisho wasku dani ya nafsi yako lazima kina vitu utajutia/furahiswha/huzunika etckuna mwengine utamuonea huruma ulimmega yuko very innocent maana alikupenda kwa moyo wake woote,mwingine mcharuko atajiju etcnacomaanisha hapa ni uhamininifu na ukweli ni muhim ktk mahusiano.
Hahahaha naona Pearl anawakilisha kama yale majamaa ambayo hayataki dada zao kumegwa
 
Mie sina cha kuficha ntampa hata wiki mbili...but what happens simu zake za kazini na deal zake nyingine???? amabazo hazihusiani na ''infidelity'' Kaizer are u reading me......

Kwani kazini si mara nyingi huwaga watu tunatoa alternative number i.e. kama hunipati kwenye line hii basi cheki line ile...Au kama hiyo haiwezekani hao watu wa kazini si watakupata wewe....sasa wewe huwezi kumjulisha mwenzio kuwa anatafutwa na let's say bosi wake? Si na yeye atakuwa na simu yako bana....hakuna ugumu wowote hapo
 
Kuja sister hapa golini kwetu ndoa yake imevunjika majuzi shauri ya SIMU.... alikuwa anataniaana na jamaa na walikuwa marafiki wa kawaida tu. Siku 1 tulikuwa tunaenda kumwaaga mfanyakazi mwenzetu ambaye umri wake ulifikia kwenye sea cliff kabisa(retired) na huyo sister wa ofisini kwetu alitaka kushiriki kwenye hio hafla nasi. Gafla mume wake akakataa akamwambia amfwate PALM BEACH kwa vile ilikuwa ijumaa wapige maji na live band siku isonge.

Yule dada akatii ushauri wa mume wake akaenda PALM BEACH akamkuta mume wake kajaa tele wakaagiza vinywaji lakini kabla ya kunywa yule dada akabanwa na ndogo akaenda wash room na simu kaacha mezani. Mara sms ikaingia MPENZI NAKUSUBIRI MBONA HUJI AU MZEE KAKUBANA LEO NINI...AM VERY COLD WITHOUT YOU....

Yule sister alivyotoka wash room akamkuta mume wake amekuwa blue kabisa na amevimba kama chura akamuonyesha ile sms.... vile vinywaji viligeuka SIKI NA SIFONGO(alionyweshwa Yesu msalabani). Jamaa akaondoka akabeba kila kitu chake akamwachia nyumba yule sister hadi naandika ujumbe huu yule dada ni mjane am sory ameachika. Na kwa stress na frustration jamaa nasikia naye anaumiza wa watu kama kawa.
 
Kuja sister hapa golini kwetu ndoa yake imevunjika majuzi shauri ya SIMU.... alikuwa anataniaana na jamaa na walikuwa marafiki wa kawaida tu. Siku 1 tulikuwa tunaenda kumwaaga mfanyakazi mwenzetu ambaye umri wake ulifikia kwenye sea cliff kabisa(retired) na huyo sister wa ofisini kwetu alitaka kushiriki gafla mume wake akakataa akamwambia amfwate PALM BEACH kwa vile ilikuwa ijumaa wapige maji na live band siku isonge.

Yule dada akatii ushauri wa mume wake akaenda PALM BEACH akamkuta mume wake kajaa tele wakaagiza vinywaji lakini kabla ya kunywa yule dada akabanwa na ndogo akaenda wash room na simu kaacha mezani. Mara sms ikaingia MPENZI NAKUSUBIRI MBONA HUJI AU MZEE KAKUBANA LEO NINI...AM VERY COLD WITHOUT YOU....

Yule sister alivyotoka wash room akamkuta mume wake amekuwa blue kabisa na amevimba kama chura akamuonyesha ile sms.... vile vinywaji viligeuka SIKI NA SIFONGO(alionyweshwa Yesu msalabani). Jamaa akaondoka akabeba kila kitu chake akamwachia nyumba yule sister hadi naandika ujumbe huu yule dada ni mjane am sory ameachika. Na kwa stress na frustration jamaa nasikia naye anaumiza wa watu kama kawa.

Mkuu hii kali ila imefanana sana na hadithi za Eric James Shigongo! SMS huwezi kuacha mke bwana ukizingatia mko pamoja miaka kibao. Hapo wazee wa kanisaha huitwa kupatanisha. Kusamehe na kuendelea kucheza kwa step
 
Yule dada akatii ushauri wa mume wake akaenda PALM BEACH akamkuta mume wake kajaa tele wakaagiza vinywaji lakini kabla ya kunywa yule dada akabanwa na ndogo akaenda wash room na simu kaacha mezani. Mara sms ikaingia MPENZI NAKUSUBIRI MBONA HUJI AU MZEE KAKUBANA LEO NINI...AM VERY COLD WITHOUT YOU....

Yule sister alivyotoka wash room akamkuta mume wake amekuwa blue kabisa na amevimba kama chura akamuonyesha ile sms.... vile vinywaji viligeuka SIKI NA SIFONGO(alionyweshwa Yesu msalabani). Jamaa akaondoka akabeba kila kitu chake akamwachia nyumba yule sister hadi naandika ujumbe huu yule dada ni mjane am sory ameachika. Na kwa stress na frustration jamaa nasikia naye anaumiza wa watu kama kawa.

Unaona sasa....kwa nini watu wamwandikie jumbe kama hizo wakati yeye ni mke wa mtu? Halafu anaitwa "mpenzi" na huyo mtu aliyemwandikia.....hahahahahahaaa.....so what's the point of getting married?
 
Kuja sister hapa golini kwetu ndoa yake imevunjika majuzi shauri ya SIMU.... alikuwa anataniaana na jamaa na walikuwa marafiki wa kawaida tu. Siku 1 tulikuwa tunaenda kumwaaga mfanyakazi mwenzetu ambaye umri wake ulifikia kwenye sea cliff kabisa(retired) na huyo sister wa ofisini kwetu alitaka kushiriki kwenye hio hafla nasi. Gafla mume wake akakataa akamwambia amfwate PALM BEACH kwa vile ilikuwa ijumaa wapige maji na live band siku isonge.

Yule dada akatii ushauri wa mume wake akaenda PALM BEACH akamkuta mume wake kajaa tele wakaagiza vinywaji lakini kabla ya kunywa yule dada akabanwa na ndogo akaenda wash room na simu kaacha mezani. Mara sms ikaingia MPENZI NAKUSUBIRI MBONA HUJI AU MZEE KAKUBANA LEO NINI...AM VERY COLD WITHOUT YOU....

Yule sister alivyotoka wash room akamkuta mume wake amekuwa blue kabisa na amevimba kama chura akamuonyesha ile sms.... vile vinywaji viligeuka SIKI NA SIFONGO(alionyweshwa Yesu msalabani). Jamaa akaondoka akabeba kila kitu chake akamwachia nyumba yule sister hadi naandika ujumbe huu yule dada ni mjane am sory ameachika. Na kwa stress na frustration jamaa nasikia naye anaumiza wa watu kama kawa.

Duh!! :confused2::confused2:
 
yule dada ni mjane am sory ameachika. Na kwa stress na frustration jamaa nasikia naye anaumiza wa watu kama kawa.

Duh Nguli hapa ulitaka kunitoa jasho.
Huyo jamaa inabidi amuoe huyo binti maana kamsababishia ndoa ivunjike.
Dah mpe pole sasa kwa nn hakuenda nayo simu ****** hata ingetumbukia ingekuwa bahati mbaya.
 
Duh Nguli hapa ulitaka kunitoa jasho.
Huyo jamaa inabidi amuoe huyo binti maana kamsababishia ndoa ivunjike.
Dah mpe pole sasa kwa nn hakuenda nayo simu ****** hata ingetumbukia ingekuwa bahati mbaya.

Hapana..huyo dada hafai kuolewa. Kama alimfanyia hivyo mumewe aliyemwacha ni nini kitakachomfanya asimfanyie huyo mume mpya kile alichokifanya kwa mume wa zamani? Ndiyo tabia yake hiyo ku flirt na watu au hata kumegwa nje ya ndoa. Hafai kuoa huyo maana sooner or later na wewe yatakukuta yaleyale yaliyomkuta mumewe wa zamani.
 
Back
Top Bottom