Ni kwel kitendo walichokifanya hawa wanafunzi sio cha kuvumilia lakin je hii adhabu ya kufungiwa miaka mitatu hawa wanafunzi itawajenga au ndo itazidi kuwabomoa?
Ni kwel kitendo walichokifanya hawa wanafunzi sio cha kuvumilia lakin je hii adhabu ya kufungiwa miaka mitatu hawa wanafunzi itawajenga au ndo itazidi kuwabomoa?
kuna tofauti gani kwa aliyeandika bongo flava kwenye mtihani na aliyepata division 0.bora aliyeshusha mistari akamburudisha msahihishaji kuliko aliyeandika madudu na mwishowe akaangukia 0
waloandika bongo fleva serikali iwasaidie kuendeleza kipaji chao.
MP.
hili nalo neno maana wote wamefelikuna tofauti gani kwa aliyeandika bongo flava kwenye mtihani na aliyepata division 0.bora aliyeshusha mistari akamburudisha msahihishaji kuliko aliyeandika madudu na mwishowe akaangukia 0