Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Subiri wanawake waishe ndio utajuta kuchelewa....Eee bana eeh dogo ameoa? ingali mzee mzima hatakufikiria bado. Thafi thana kijana~
Kweli watu mnajua kuplagiaraizi,hivi hii arusi si ilishafanyika mwaka au miaka miwili ishapita? Si ilionyeshea kwenye arusi yangu.com? afu leo mnatumkumbushia mambo ya zamanii.Dah,kazi kwelikweli.
Mamaa wa kwanza,hata kunyonyesha itakuwa tayari hawa.ah Kumbe ila mie sikuiona
dah we mpana Charity!!!Kweli watu mnajua kuplagiaraizi,hivi hii arusi si ilishafanyika mwaka au miaka miwili ishapita? Si ilionyeshea kwenye arusi yangu.com? afu leo mnatumkumbushia mambo ya zamanii.Dah,kazi kwelikweli.
Mamaa wa kwanza,hata kunyonyesha itakuwa tayari hawa.
dah we mpana Charity!!!
dah we mpana Charity!!!
Nani kakuambia wanawake wanaisha? kila siku wanazaliwa wazuri zaidi... Na msubiria binti wa FL1,nimeshampa na posa kabisa anitunzie mke.Subiri wanawake waishe ndio utajuta kuchelewa....
Nani kakuambia wanawake wanaisha? kila siku wanazaliwa wazuri zaidi... Na msubiria binti wa FL1,nimeshampa na posa kabisa anitunzie mke.
Na wewe subiri wanawake waishe ndio utajuta kuchelewa.hata mie nashangaa, bwamdogo kashaoa?! Wakati mimi bado............aaah haya bana..
Duh! na ngoma lazima watajisevia kwa mtindo huu.We shauri yako, endelea kusubiri tu. Wanaume wanajisevia wanawake mpaka watano, wasiishe kwanini?
heheeee mpana, mrefu afu ana mambo mengi kama unga wa ngano wa Bakhresa huyu....Na mrefu pia, usisahau mamushka.