Je wamkumbuka huyu dogo wa ITV

hii iliwekwa blog fulani hivi kama mwaka naa nyuma watu wakamwaga comment zisizoeleweka picha ikaondolewa.

kwa taarifa za haraka haraka huyo mke ni mtu kutoka nchi jirani ya kenya
 
Duh! Duh! Kama ni kweli basi nimezeeka Yaani kale kachalii kasha oa wakati mi bado? Aisee Hii Inatisha Mimi Nipo Sekondari nakaona Kipindi cha mama na Mwana Duh! Kesha oa? Ila nawasiwasi ka huyo dada wanalingana!
 
Na wewe fanya hima uoe kabla wanawake hawajaisha.
 
Mamaa wa kwanza,hata kunyonyesha itakuwa tayari hawa.
...Ndio majukumu ya kiutu-uzima huwezi kuepuka kunyonyesha. Charity avatar yako nimeipenda sana...nadhani nawe uko kihivyo..Unavutia mtoto nadhani ni natural kila mahali.....
 
khe,dogo sasa amejua hata majukumu ya kukaa na mke ama basi tu bora liende?ila poowa sana japo naona mke ndio atakua anakalea kama katoto chake,hongera bwa mdogo,zidisha kukukuruka asikutoroke huyo:target:
 
...Ndio majukumu ya kiutu-uzima huwezi kuepuka kunyonyesha. Charity avatar yako nimeipenda sana...nadhani nawe uko kihivyo..Unavutia mtoto nadhani ni natural kila mahali.....
Asante kwa pongezi.Kuhusu uhalisia wangu hata hujakosea. mimi ni binti afrika na shahidi zangu ni chrispin na bht.
 
hujakosea sajenti

hivyo ndivyo alivyo Charity

naomba kuwasilisha ushahidi wangu wa kweli!!!
 
Mpe namba yangu ya simu nimfafanulie zaidi

mi sijui wat has gone over her head??
namuogopa etii!!!!
Kwa kweli itabidi tumfanyie maombi Edilaisie!

hujakosea sajenti

hivyo ndivyo alivyo Charity

naomba kuwasilisha ushahidi wangu wa kweli!!!
You dont have to win every Argument, Agree to Disagree:target::drum::hug:
<!-- google_ad_section_end -->

Hahahahaaaa.jamani mtu na biggie wake mbona leo mmeniamulia? mie nimekuwa mkali ati?? Labda pengine mchumba amepunguza ma-care na anajirusha na akina Da Sophy.
Umekosea. Na kina Elizaaaaaaaz! Lakini nikikua ntaacha
 
Back
Top Bottom