Pedezyee
Member
- Sep 7, 2011
- 26
- 2
hapa tulikua na mawazo sawa ila nlikuzaidi eti mtu akitoka na makamasi ndo ubongo unapungua na akili zinaisha...mimi nilikuwa nafikiria tukila chakula kinajaa hadi kwenye koo