Je, Ridhwan Kikwete naye ni fisadi?

la hasha, hapa hatuna haja ya kuleta hasira wala nini. Sijasema kuwa nataka kukuajiri na wala sijui hiyo imetokea wapi lakini nimekuuliza tu maswali kutokana na hoja ulizozileta sasa mzee hiyo ndio hekima ya mjadala

wewe ulitakiwa unipe referebce tu bas

si vita mkuu

Mada kuu sasa ni Rizwani ni Fisadi hebu turudi huko .Nondo zimesha wekwa hapa na more to come .Hii ndiyo mada mengine mnaweza kufungua thread ya ubishi mkaendelea.Anahusishwa ana anshiriki ndiyo issue sasa mezani .
 
basi mindhali umesema Nondo zipo basi na mimi ninazisubiri
 
basi mindhali umesema Nondo zipo basi na mimi ninazisubiri

Soma JF maana hauna research assistant hapa wa kukusomea na kisha kukuwekea link! got it! endelea kubishana na JF wakati hii case ya Ridhiwani Kikwete - associate wa kampuni la kifisadi la IMMA - akitafutwa na mashushushu wa JF ajibu maswali ya uhusika wake katika skendo zote za IMMA na ufisadi wa Tanzania
 
relevant.jpg
 
Nakuambia hata ujaribu kuharibu hii thread mkuu kumbuka kuwa haitahamishwa wala nini! Itakuwa hapa to stay mpaka dada Asha akiamka asubuhi na kuendeleza libeneke.
 
Nakuambia hata ujaribu kuharibu hii thread mkuu kumbuka kuwa haitahamishwa wala nini! Itakuwa hapa to stay mpaka dada Asha akiamka asubuhi na kuendeleza libeneke.

interesting...tatizo ni kuwa there is nothing to discuss kwa sababu hiyo aliyeleta hii thread ameshindwa kuna jipya
 
Game theory, Duh Mkuu mbona sinia halina nyama ama ndio unajaribu kutuambia kuwa mawazo ya bibie ni ubwabwa usiokuwa na nyama!...
Hata hivyo kuhusiana na hoja hii mimi nadhani tuwe makini zaidi tunapojaribu kumhusisha mtu na scandal yoyote ile. Muhimu tutangulize Hoja inayoambatana na vielelezo vinavyojenga dhana ya Ufisadi kisha ktk hivyo vielelezo tunaweza chambua uzito wa mhusika ktk sakata zima laa sivyo tutakuwa tunapoteza umaarufu wa JF.
Kama Ridhwan ni muhusika ktk sakata lolote lile nadhani itakuwa vizuri zaidi kama tutakwenda direst kwenye sakata lenyewe badala ya kuzunguka mbuyu ktk mchezo wa kujificha.
 
Mnyonge Mnyongeni, lakini haki apewe!

1. Ufisadi wa Ridhiwani, kama upo uwekwe wazi tuuchambue, so far sijauona bado maana naona labda dhambi yake ni kufanya kazi shirika la IMMA, ambalo dhambi yake ni kwa sababu waziri Masha, aliwahi kulifanyia kazi.

2. Ufisadi wa IMMA uwekwe wazi hapa tuuchambue nao pia, maana naona nalo linashitakiwa kwa sababu waziri Masha, aliwahi kulifanyia kazi, maana Masha pia aliwahi kulifanyia kazi shirika la Warioba, Oxygen, na pia alikuwa mjumbe kwenye kamati maalum ya rais ya mapendekezo ya marekebisho ya sheria Zanzibar, sasa ina maana humu mote namo ni ufisadi mtupu?

3. Je Masha mwenyewe ni fisadi? ukweli uwekwe hapa tuuchambue.

Ahsante Wakuu.
 
Ufisadi wa Ridhiwan ni kwa sababu anafanya kazi IMMA au ni vipi?

Kama huyu naye amekuwa fisadi basi kazi hipo kuutokomeza, nilivyomaliza kusoma hii thread picha iliyoniijia kichwani mwangu ni ya Ridhiwan akiwa nje ya geti anaongea na askari anayelinda pale kwao, kama ni kweli basi watu wanabadilika.
 
Ndugu Asha

Full Usanii,Tunahitaji watu wa type ya Martha Karua ili kuleta maendeleo na sio watu wanochukua sera za Ujerumani kuleta hapa Bongo mathalani Chadema.

nimekaa na kufikiria bado naona CCM ni chama Bora,na Azimio jipya la wiki ijayo la Butiama litairusha CCM ya zamani.Miiko ya Uongozi inarudishwa

Fungua macho na uone??

HIVI BADO MNAENDELA KUISHI KWA MATUMAINI?

Ombi langu ni kuwa wala nchi yetu wajitahidi angalao kujitoharisha kwa maungamo kabla ya kupeleka majanabafisadi yao nyumbani kwa baba BUTIAMA

Tanzanianjema
 
Ridhiwani ni msomaji mzuri sana wa JF sasa kwa nini asiingie mwenyewe hapa na amwage vitu? Haya mambo ya kujipachika usemaji wa mtu ni fake, let him come clean here once and for all, he is a leader now and in future, sasa urasmu wa nini?
 
Mnyonge Mnyongeni, lakini haki apewe!

1. Ufisadi wa Ridhiwani, kama upo uwekwe wazi tuuchambue, so far sijauona bado maana naona labda dhambi yake ni kufanya kazi shirika la IMMA, ambalo dhambi yake ni kwa sababu waziri Masha, aliwahi kulifanyia kazi.

2. Ufisadi wa IMMA uwekwe wazi hapa tuuchambue nao pia, maana naona nalo linashitakiwa kwa sababu waziri Masha, aliwahi kulifanyia kazi, maana Masha pia aliwahi kulifanyia kazi shirika la Warioba, Oxygen, na pia alikuwa mjumbe kwenye kamati maalum ya rais ya mapendekezo ya marekebisho ya sheria Zanzibar, sasa ina maana humu mote namo ni ufisadi mtupu?

3. Je Masha mwenyewe ni fisadi? ukweli uwekwe hapa tuuchambue.

Ahsante Wakuu.
nakubaliana na wewe kwa hili. ufisadi wake uwekwe wazi ili tuuchambue na sio kuunganishaunganisha habari ya kuwa eti kwa sababu anafanya kazi IMMA na IMMA ilisajiri au waziri masha kachaguliwa kutoka hapo, binafsi nashindwa kuestablish huo ufisadi wake.
 
Asha

Unamaanisha nini unaposema ulizani anaweza kufuata nyayo za baba yake???
na ndo hizo anazifuata, Kwani wewe hujui kuwa kikwete naye ni Fisadi tu, sema hako ka mwamvuli ka kuwa president ndo kanamlinda, ila iko siku utasikia na ya kwake

Je mtoto wa raisi naye anakinga ya baba yake?
 
nakubaliana na wewe kwa hili. ufisadi wake uwekwe wazi ili tuuchambue na sio kuunganishaunganisha habari ya kuwa eti kwa sababu anafanya kazi IMMA na IMMA ilisajiri au waziri masha kachaguliwa kutoka hapo, binafsi nashindwa kuestablish huo ufisadi wake.

karibu sana bwana Layer . Huyu jamaa yuko katika fani yako na unaweza kumpata ukampa hii habari aje hapa ajibu .Yeye si mzee kama Kingunge ambaye hajui Dunia ikoje .Aje asafishe jina lake ndiyo maana JF iko hapa .
 
Asha,
hebu slow down abit. Tushakubaliana kuwa hapa JF sisi ndio tunaoset the agenda na wala si kufuata haya magazeti ambayo kwa kiasi kikubwa huja humu kuchukua data.

Sasa nashauri kikosi cha CSI cha JF kiingie kazini kituletee ushahidi wa kutosha na hapo ndipo tutajua kama tunawez akuconclusde kama RIDHWANI ni fisadi au la

personally siwapendi watawala wetu lakini mara nyingi huwa ninaambatanisha ushahidi na kama sina huwa nasema wazi kuwa sina ushahidi

yaan katika wachangiaji wote, wewe ndio umenifurahisha, ni kweli tuna uchungu na nchi yetu, lakini tusiwe vibaraka wa magazeti ebu tuwe wadadisi binafsi badala ya kuchukua habari kama ilivyo andikwa gazetini.... naungana na hoja yako mwana JF.
 
HIVI LAWYERS WA TZ HAWANA CODE OF ETHICS/CONDUCT?

HAWA IMMA NA Bw/Dr. TENGA WANGEPASWA KUWAJIBISHWA KWA KUHUSIKA NA KILA AINA YA UFISADI ULIOTOKEA HAPA BONGO.

AFTERALL, HIZO FEDHA ZA UFISADI WALIZILIPIA KODI? CAN TRA CONFIRM.
 
Mwewe,

Heshima mbele, fafanua zaidi mkuu, maana majority share holder wa IMMA ni jrani yangu kujijini Kinyerezi/Segerea, na ninajua mambo mengi mazuri shirika hilo limeyafanya kwa wananchi wasiokuwa na uwezo katika kijiji changu, ikiwa ni pamoja na ajira kwa baadhi ya vijana, aambao ninawajua kuwa sio mafisadi,

Mujulusi, ni kijana aliyetoka jasho sana kulifikisha hilo shirika lilipo sasa, I have seen him kwa macho yangu, hawa kina Margai na Masha, Ishengoma waliingia baadaye, sasa zamani hatukuwa na utamaduni wa mashirika ya sheria za binafsi, kwa hiyo tusichanganye mambo wakuu,

kama kuna uchafu upo wa IMMa uwekwe wazi haap tuuone, so far hauonekani.

Ahsante Wakuu!
 
Duh !!!
FMES hii ngoma vipi ? Una uhakika kwama unawajua jamaa vilivyo ama ni hadithi zinaanza sasa mzee ikiw watu wameguswa kubaya ?
 
Back
Top Bottom