Je, Ridhwan Kikwete naye ni fisadi?

Halafu baada ya hiyo mistrial na watuhumiwa kudai compensation na ghasiaghasia nyingine Wadanganyika tutaandamana kujipongeza tumewadhibiti mafisadi kumbe sisi ndio tumeliwa, ama kweli...
 
Once again MKJJ uko on top of your game

Kama mimi ngekuwa lawyer na kesi ya EPA inasomwa na upande wa mashitaka then wala sipati taabu mimi nitaomba UBAO na kuomba taa zipunguzwe kisha nitaanza kufanya POWER POINT presentation jinsi watawala walivyobwabwaja na mwishowe wateja wangu hawatotendewa haki

Its that simple saa sita mchana jaji anatangaza mistrial kisha mie nawapa bank details zangu za Liechtenstein

then jioni na log in JF kuwasoma mafisadi wengine

Mzee system yetu nzima ni mbovu kuanzia KATIBA mpaka sheria zenyewe na wala siwalaumu wanao tumia mianya kujinufaisha

Nasikia mafisadi baada ya kuona wanachoka sasa maandalizi ni kwa watoto wao .Tumewaona tayari hawa ila tu sasa wanazidi kujichimbia katika vyanzo vya madaraka .Kazi ni kubwa
 
Halafu baada ya hiyo mistrial na watuhumiwa kudai compensation na ghasiaghasia nyingine Wadanganyika tutaandamana kujipongeza tumewadhibiti mafisadi kumbe sisi ndio tumeliwa, ama kweli...

Hii inajulikana na ndio maana tunapambana nao kwenye court ya public opinion hapa na so far wanashindwa.
 
Nasikia mafisadi baada ya kuona wanachoka sasa maandalizi ni kwa watoto wao .Tumewaona tayari hawa ila tu sasa wanazidi kujichimbia katika vyanzo vya madaraka .Kazi ni kubwa

Huyu Ridhiwani kama hatabadilika na kukaa mbali na ufisadi wa IMMA basi mimi na yeye tu mpaka kieleweke. Hapa JF hapewi mtu breki na huu ni mwanzo tu.
 
Mimi naomba niulize hivi: Hii kampuni ya IMMA kama kampuni ya wanasheria/mawakili kosa lake ni lipi hasa? Kuwaajiri na hatimaye kuwapa upatna Masha(sijui kama bado yuko nao), Ridhiwani, Fatuma Karume and whoever else?

Nimefuatilia ile ripoti ya BOT, naona wametumika kama mawakili wa makampuni hayo na wametajwa watu wawili ambao walikuwa na hisa Deep Green, Ishengoma na Stella, ila jina la Ridhiwani sijaliona humo or is there something I am missing here?

Kama kuna ufisadi kwa Ridhiwani labda kutokea angle nyingine maana hii ya IMMA jinsi ilivyowekwa kwenye ile ripoti inapwaya mno.
 
Lisemwalo naamini lipo na kama halipo soon litakuja mie naendelea kujiita mvumlivu ili nile mbivu.Hii ni mara ya pili Ridhwan anatajwa hapa .Kuna kitu gani ? Mbona hatukuwasikia watoto wa Mwinyi ana Nyerere ?
Akina Kinje tunawasikia na vituko vyao na sasa huyu bwana mdogo .
 
Mimi naomba niulize hivi: Hii kampuni ya IMMA kama kampuni ya wanasheria/mawakili kosa lake ni lipi hasa? Kuwaajiri na hatimaye kuwapa upatna Masha(sijui kama bado yuko nao), Ridhiwani, Fatuma Karume and whoever else?

Issue aliyoanza nayo dada Asha hapa siyo hii ya kwa nini Ridhiwani ameajiriwa na IMMA. Katika hili nadhani utakubaliana namimi.

Nimefuatilia ile ripoti ya BOT, naona wametumika kama mawakili wa makampuni hayo na wametajwa watu wawili ambao walikuwa na hisa Deep Green, Ishengoma na Stella, ila jina la Ridhiwani sijaliona humo or is there something I am missing here?

Hapa marekani skendo yoyote ikitokea iwe kwenye serikali au kwenye makampuni. Watu wa karibu huwa wanaulizwa kuhusika kwao na kuna maswali ya ni lini na nini walijua na kujua kuhusu hiyo kashfa.

Katika hili la wizi wa BoT uliofanywa kupitia Deep Green, imedhihirika kuwa IMMA walihusika na kama mwenyewe unavyosema hapo juu kuwa Ishengoma na Stella wametokezea. Mimi nitakuongezea jina lingine la Mujilizi (ambaye habari zinaonesha kuwa amepewa nafasi ya ujaji na Kikwete).

Swali la msingi linaloulizwa hapa ni kuwa je Ridhiwani naye anahusika au kama hausiki, je anajua nini na lini kuhusu haya? So far Gembe badala ya kujibu hili swali, yeye aliaanza kupondea CHADEMA hapa, na huyu GT yeye alianza kurudia kuuliza watu hapa wamfanyie utafiti kabla ya kusema kuwa hakuna ufisadi uliotokea BoT.

Kama kuna ufisadi kwa Ridhiwani labda kutokea angle nyingine maana hii ya IMMA jinsi ilivyowekwa kwenye ile ripoti inapwaya mno.

Unaweza kuona kuwa inapwaya kwa sababu maswali kuhusu kuhusika kwa Ridhiwani katika hii issue ya Deep Green hakuwekwi wazi kwa vile wakulu wameamua kuiclassify issue ya Deep Green. Kumbuka kuwa maswali kama haya ndiyo yatatoa majibu kama wamehusika au yatasafisha jina la kijana.

Naomba nikukumbushe kuwa Zitto aliuliza swali bungeni kuwa ni kwa nini Karamagi amesaini mkataba wa madini hotelini na kila mtu akamwona mwendawazimu kabla hawajamfungia. Je kwa sasa hilo swali la Zitto (ambalo wakati ule lilionekana linapwaya) bado linapwaya au limeleta majibu mengi kwenye maswali?
 
Mwafrika wa Kike, you are right! Kuwepo kwa Ridhwan katika IMMA begs the question: alijua nini, alihusika vipi etc? Muhimu zaidi, baada ya kujua kwamba kuna skendo hii, yeye alifanya nini? By the way ninavyojua hajaajiriwa bali ni associate. I stand to be corrected.
Swali hapa ni kubwa na nina uhakika mwandishi anajua zaidi ya kile alichokiandika ila anasubiri aje na majibu baadaye akishakuwa na uhakika.
I think that the fact ya kuwa 2 partners from IMMA wamepewa nafasi katika serikali ya Kikwete moja ya Uwaziri mwingine kuwa Jaji, it signals favoritism, that they bought their positions. Hapa hakuna mjadala.
Huyu Ridhwan BTW amehusishwa na Richmond, na limesemwa sana hata miongoni mwa waandishi lakini wameogopa kuandika.
 
Heeeeeeeeeh

Kumbe alihusika na kwenye Richmond! Gazeti la MWANAHALISI leo limemhusisha na kashfa hii tu: http://www.chadema.net/tamko/2007/mafisadi2.php

Sasa inamaana kwamba na kwingine pia alihusika? Mbona mimi niliona kuwa anaweza kufuata nyayo za baba yake?

Asha

Asha Abdala,

With all due respect, please understand that urais wa nchi kama Tanzania sio wa kurithi. Ndiyo, Ridhwani anaweza kuwa na interest kwenye siasa kwa sababu ya baba yake, lakini haina maana kwamba yeye automatically anafaa kuwa rais pia. Tanzania is not a Kingdon, and this boy is definitely not a prince! Tusiwape watu chati kwa sababu tu wanajulikana. Thank you.
 
Mwafrika wa Kike,

Nashukuru kwa majibu yako, ndio maana nikauliza je is there something I am missing here? Kumbe kuna mambo hayajawekwa wazi kuhusu role ya IMMA kwa Deep Green na kama huyu Bwana Ridhiwani Kikwete alikuwa anafahamu nini na alifanya au hakufanya nini wakati huo, je kuna mtu anafahamu Ridhiwani alianza kazi pale lini, na akapata (au akapewa, whichever is applicable) u-partner lini? Was it before, after or during the Deep Green affair? Hii itatusogeza karibu zaidi na yaliyojiri huko IMMA.

Ninavyokumbuka mimi hii IMMA kampuni enzi hizo ilianzishwa na Ishengoma, Maajar, Mujulizi, hiyo "A" sikumbuki nani ama ni neno Advocates, ila nafahamu kuwa baadaye ndio akina Magai, Masha wakaingia na baadaye akina Karume na Kikwete na wengineo...
 
Susuviri mkuu,

Sasa kama ni kweli Ridhiwani yumo na Richmonduli, imekuwaje kamati ya Dr. Mwakyembe na ujasiri wake wote iliyouonyesha haikumtaja walau BTW au hata kuashiria kuwa kuna tetesi Bwana Ridhiwani alihusika? Au hii kamati haikuwa huru kama wengi wetu tunavyotaka kuamini? Tutaona na kusikia mengi mwaka huu!
 
Mwakilishi haya ndiyo maswali ambayo yalikuwa yanaulizwa hapa.
Ukifuatilia post za Asha mwanzoni mwa hii thread utayaona. Ila inaonekana kuwa kuna wengine kwao hili halikuonekani na mimi nilikuja kwenye defence ya Asha maana watu walikuwa wanajaribu kubadili mwelekeo wa thread.

Ninavyokumbuka mimi hii IMMA kampuni enzi hizo ilianzishwa na Ishengoma, Maajar, Mujulizi, hiyo "A" sikumbuki nani ama ni neno Advocates, ila nafahamu kuwa baadaye ndio akina Magai, Masha wakaingia na baadaye akina Karume na Kikwete na wengineo...

Kuna mengi sana ya kufahamu hapa na kama kawaida ya JF mambo huanza kwa maswali na baadaye mambo yanawekwa wazi. Fuatilia hii Deep Green Finance (ambayo watu wa usalama wa taifa wanakataa isichunguzwe) kisha utajua kinachoendelea hapa kwenye thread.
 
Susuviri mkuu,

Sasa kama ni kweli Ridhiwani yumo na Richmonduli, imekuwaje kamati ya Dr. Mwakyembe na ujasiri wake wote iliyouonyesha haikumtaja walau BTW au hata kuashiria kuwa kuna tetesi Bwana Ridhiwani alihusika? Au hii kamati haikuwa huru kama wengi wetu tunavyotaka kuamini? Tutaona na kusikia mengi mwaka huu!

Kwani Mwakyembe aliwataja wote waliohusika? Yeye mwenyewe anasema kuwa report yake sio conclusive na kulingana na ile story ya mwananchi inaonekana kuna mengine mengi yaliachwa pembeni.
 
Shukrani tena Mwafrika wa Kike,

Kumbe ile ripoti is just the tip of the iceberg as it were! Kama mambo yenyewe ndio hivi sidhani kama ukweli wote utaja kuwa wazi, na matokeo yake mbuzi wadogo wadogo wa kafara watakuwa wakitolewa as we go on. Akitolewa kigogo kama EL basi sanasana atapeta kimyakimya kama afanyavyo sasa hivi.

Sasa huku kutakuwa ndio kudanganyana kwenyewe huku, sijui lini tutakuwa serious na nchi yetu na mali zetu! Sasa hiyo Deep Green kama kampuni ndio ishatoweka hivyo? Paper trail lazima ipo mahali, napenda kuamini mawakili wao IMMA wanayo makabrasha ila I am not holding my breath.

Back to Ridhiwani, sasa anatajwa katika hayo mawili Richmonduli na Deep Green, kwanini wanaofahamu vizuri hawauweki ukweli wote wazi? Watanzania lini tutaondokana na woga huu jamani? Mtu uko nyuma ya keyboard unaogopa hata kutype ukweli wote, mwageni vitu kama vipo, tumkome Nyani giladi mchana kweupee!
 
Kuna ile memo iliyoliki ya usalama wa Taifa kwenda kwa Lowasa ambayo ilimuonya kuwa kamwe asimruhusu Dr Slaa kuleta hoja yake ya wizi wa BoT bungeni. Hili suala la Deep Green kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa hakuna atakayejua kinachoendelea maana kama Mujilizi ndio hivyo amekuwa jaji na Ridhiwani Kikwete yuko IMMA basi sahau kabisa hii issue for now.

Back to Ridhiwani, sasa anatajwa katika hayo mawili Richmonduli na Deep Green, kwanini wanaofahamu vizuri hawauweki ukweli wote wazi? Watanzania lini tutaondokana na woga huu jamani? Mtu uko nyuma ya keyboard unaogopa hata kutype ukweli wote, mwageni vitu kama vipo, tumkome Nyani giladi mchana kweupee!

Sidhani kama unategemea wenzako nyuma ya keyboard wakuwekee hapa kila kitu wakati hata wewe unaweza tu kufuatilia hii story na ukaweka vitu hapa na watu wakamkoma nyani giledi mchana kweupeee au sio?
 
Mwafrika wa Kike,

Najua kuna wenzetu humu ndani ambao wana access na habari ambazo sisi wengine hatuna ndio maana nikasema wenye nazo wazimwage humu ndani, ningekuwa na access mimi ningemimina kama kweli naipenda nchi yangu. Huna haja ya ku-insinuate otherwise! It's that simple, really!
 
Usijali maana hii thread imehamishwa toka kwenye siasa kwa hiyo hili halihusiki na siasa anymore. Nadhani wenye access watatupatia hizo habari muda si mrefu.
 
Mie nina (ma)swali
Deep Green ilisajiliwa lini?

Ridhwan ameanza kufanya kazi IMMA lini?

Anahusishwa na ufisadi kwa sababu anafanya kazi hapo au alisjiriki directly?
 
Wakuu ninaomba kunawa mikono kwenye hii topic kwamba siajuona ushahidi au angalau dataz nzito kuhusiana na the charges, lakini sisemi kuwa linalosemwa halipo au lipo, ninawaachia wenye dataz,

Mkuu Muggy,

Mkuu sina anything kwenye hii ishu, ila tu jirani yangu ni mtu safi kwa nje, sasa sijui huko ndani, na hapo nilipojenga ndugu yangu nimezungukwa na hawa wakali wengi kweli huwezi amini, maana imekuwa almost Obey ndogo, isipokuwa siijui sana hiii ishuninawe mikono yangu.

Ahsante Wakuu.
 
Back
Top Bottom