Je, Ridhwan Kikwete naye ni fisadi?

Hawana hayo majibu na walijaribu kukumbatia nyuki na zimewauma sasa wanakimbia kujaribu kubadili mwelekeo wa mjadala.

tumejaribu kukumbatia Nyuki ,ila naomba upige hii namba na uulize kwa makini kama RIz anahusika na Suala la DEEP Green na Mzee huyu atakupa jibu zuri +255 784 666995

na picha ya huyo mzee ni hii hapa.
1253.jpg
 
tumejaribu kukumbatia Nyuki ,ila naomba upige hii namba na uulize kwa makini kama RIz anahusika na Suala la DEEP Green na Mzee huyu atakupa jibu zuri+255 784 666995

Simu ni nyingi sana zinapigwa na hiyo ya huyu mzee itakuwa miongoni mwa hizo simu. Kwa sasa imeonyesha kuwa sio wewe wala GT mwenye utetezi au jibu la swali kuhusu kuhusika kwa mtoto wa Kikwete na kampuni la kifisadi la IMMA!
 
tumejaribu kukumbatia Nyuki ,ila naomba upige hii namba na uulize kwa makini kama RIz anahusika na Suala la DEEP Green na Mzee huyu atakupa jibu zuri +255 784 666995

na picha ya huyo mzee ni hii hapa.
1253.jpg

Kwa hiyo siku hizi Dr Slaa ndio amekuwa PRO wa Ridwan? hebu acha utani huko. Jibu maswali jamani

Asha
 
Kwa hiyo siku hizi Dr Slaa ndio amekuwa PRO wa Ridwan? hebu acha utani huko. Jibu maswali jamani

Asha

Huyu Gembe ana chuki binafsi na Chadema na viongozi wake hasa Dr Slaa kwa vile amewashikia bango mafisadi. Sasa hii picha ya Slaa inahusika vipi na thread ya Ridhiwani kuwa fisadi?

Ameanza na kampeni ya chuki na uzushi kuwa chadema ni chama cha kikabila na alivyopewa dozi kuonyesha alivyo mwongo ameanza viroja! Nilisema hili na sasa all the colors zimejitokeza sasa
 
Muulize Dr. Slaa anawajua au Muulize Lissu.Mie simtetei RIZ ila naeleza ukweli kuhus Riz.

Kwani chadema hamna sera Nzuri zaidi ya kuchukua mabaya ya CCM ili myasemee?tafuteni sera yenau na ndio maana huwa mnashindwa katika uchaguzi wenu!

Mie nitawaunga Mkono kama mkinihaidi yafuatayo.

Mna Mkakati gani wa kuhakisha mnashinda uchguzi wa 2010.,2015 na 2020,Asha naona una mahusiano na RIZ mpoaka kakwambia anataka kugomba 2020?

Sasa unaanza matusi. Usiniweke kundi moja na ma-miss tafadhali. Mimi nilitaja wenye probability au possibility ya kufaaa kuwa Marais mwaka 2020. Kwa hiyo unataka kusema mimi nina mahusiano na Zitto, Mwanakijiji, Kitila nk niliowataja?

Wakishindwa hoja, wanaanza vioja na vihoja.

hebu jibu maswali yangu huko, unazidi kuniondolea imani

Ulianza kwa kasi, sasa kadiri mambo yanavyomwagwa naona unapunguza kasi. Usinyamaze jamani, hebu tueleze ukweli

Ataweza kasi ya JF,

huyo kaingia mtini mwenyewe kwani hakujua gharika ilikuwa inamjia alivyoanza habari za uzushi na chuki dhidi ya wana Chadema kwa kujaribu kuigawa nchi hapa - grrrrrrrrr
 
It is getting nastier. Hawa jamaa wanatumaliza. Hii habari ni kweli na inaonekana imeshasambaa sana huko nyumbani. Na it seems there is a bigger number of bigger fish that are involved than we already know. Kuna mtu kanitumia email na sehemu inasema hivi:

"Haya kaka, mambo yanazidi kuiva. Hapa kuna kampuni moja lilichota bilioni nane 2005 na kufilisiwa 2006. Waliohusika kulisimamia kampuni hilo ni kampuni ya advocate ambapo ridhiwani kikwete ni mkurugunzi na fatuma karume kaajiriwa. Mmoja wa wakurugenzi ya hiyo law firm kateuliwa kuwa jaji, Mwingine ndo aliteuliwa kuwa mfilisi wa ile kampuni na wengine ni hao watoto wa vigogo".
 
Kitila,

ukiangalia jinsi Gembe alivyohangaika hapa kubadili mwelekeo wa hii thread basi utajua ni jinsi gani wakulu wanahangaika sana kuficha kuhusika kwa Ridhiwani kwenye hizi skendo. Kuna story ya mwananchi kuwa Ridhiwani alitolewa na Mkulu mwenyewe kutoka kwenye skendo ya richmond baada ya kuona mambo yanaelekea kubaya.

Hii ni kazi, natumaini mwanahalisi wataendelea kufuatilia hii story hadi kieleweke.
 
Hii kampuni tuliwahi kuizungumzia huko nyuma kwamba ni network moja kali sana katika kufanikisha ufisadi.

Nilikuwa sijui kama Mujilizi ameteuliwa kuwa judge.Kuna kaharufu fulani kabaya hapa kanazidi kujidhihirisha.

Ila tunaomba maswali aliyouliza dada Asha yatolewa ufafanuzi, na kwamba baadhi ya wachangiaji hapa kama hawana hoja waache kushinikiza kututoa nje ya mada hii.
 
Huu ni mwanzo tu kwani hili kampuni wanajitahidi sana kuua story ambazo ni negativu kwao. Hata kama wakiteuliwa kuwa majaji sisi tunao tu hapa JF mpaka kieleweke.
 
Huu mjadala naona unaelekea kwenye kupaka matope kwa vyama vya siasa... Jf si ya CHADEMA WALA CCM, basi ningeshauri mijadala ya kuchafuana ingepelekwa kwenye magazeti ya udaku maana huko ndo hawana cha kuandika.
Gembe umeonyesha udhaifu mkubwa sana na wala sikutegemea toka nimeanza kusoma thread humu JF mpaka nikaamua kuwa member kweli leo nimekushusha grade kaka/dada... Samahani lakini huo ndo ukweli halisi nilionao moyoni mwangu.
 
Gembe na Kasheshe

Niliwahi kumtaja siku nyingi huko nyuma kwamba namuona kama mmoja wa vijana wanaoweza kuwa marais wa Tanzania siku za usoni. Habari ya leo imenishangaza

Asha

Asha hivi siku hizi tunaelekea kuwa na sera za ufalme?, Hivi sasa hivi imekuwa kwamba baba akiwa waziri na mtoto anakuwa lazima na mtoto awe waziri au rais? Mimi nafikiri hapa kuna kukosea huyu kijana Baba yake kuwa Mkuu wa kaya hakumpi mamlaka ya kuwa rais.

Lakini nilivyosoma mwanahalisi ya leo ni kwamba IMMA kampuni wamekubali kuwa walisajiri Deep Green. Suala ni Je Deep Green kweli walifanya ufisadi?

Kama walifanya ufisadi basi na IMMA ni mafisadi. Je kama ni Mafisadi na mtoto wa Mkuu wa kaya anafanya kazi kwenye kampuni ya ufisadi, Je Mkuu hajui haya?

Kama anayajua na bado mtoto anaendelea ni kwamba wote wanafanya ufisadi.
 
Sikujua kama kuna siku Gembe mchangiaji Mzuri sana wa JF angelikuwa mbogo kiasi hiki. Mkuu Umeshikwa pabaya au nini?

Mkuu nafikiri yamekukuta, tuliza bori mkuu.
 
Sikujua kama kuna siku Gembe mchangiaji Mzuri sana wa JF angelikuwa mbogo kiasi hiki. Mkuu Umeshikwa pabaya au nini?

Mkuu nafikiri yamekukuta, tuliza bori mkuu.

Huyu Gembe ni chuki alikuwa nazo kwa muda mrefu ila alizificha pale alipobadili jina kujiita Gembe. Soma posting zake wakati akitumia nick ya mkombozi ufisadi then utajua what I mean here!
 
HEEEEEEEY STOP,SASA MTASHIKA WATU PABAYA,UKISIKIA UTAMU NDIO HUU,YAANI MPAKA INACHEKESHA, MAKOSA YETU WENYEWE WATANZANIA,TUMEFUGA CHUI KATIKA ZIZI LA MBUZI,KITAKACHOTOKEA NI KIAMA CHA MBUZI.
Sasa mwajamani wale jama ze comedy hawana tabu ya kutafuta habari,na sisi kwa sasa naona tukinyamaza itakuwa bora hawa jamaa mmoja baada mmoja watajulikana tu.wenyewe watatajana haina haja ya kupiga kelele,kama jina la mtoto wa rais limeanikwa sasa imekuwa kama kuzima moto na petrol.
kumbe ndio maana wameruhusiwa kurudisha kimyakimya,sasa wamekwisha, na nasikia habari hizi zimetokea richmond,wanalipiza kisasi na sikia wameunda team inayofadhiliwa R LA AZIZ kuanika uchafu wote na hasa huu wa BOT,ili huu wa RICHMOND USAHAULIKE.
Inchi hi!! UTASEMA TUKO HOLLIWOOD.Hata watoto wao nao wanachukua mapema,sasa sisi tutabakia na nini?jamani mtubakishie na sisi tuna watoto pia.

HONGERA SHUJAA RIDHWANI,TUNAKUSUBIRI B/MOYO UKANYAGE ZULIA JEKUNDU.
 
Nadhani kichwa cha habari hii kina alama ya kuuliza - hii sio conclusive remark unless una definition tofauti ya hili

Sister Mwafrika

Nakwambia! Tutaona mengi leo. Sasa mpaka GT naye hajui tofauti ya Swali na Conclusion. Mbona jamani mnazidi kunipa shaka kuhusu Ridhwan?

Nipeni majibu ya maswali yangu jamani

Asha

Ahhhaaaa sasa naona tunaanza ku break THROUGH

Inawezekana ikawa mimi nilikuwa na slight oversight kwenye hilo and i will take the responsibility

sasa basi nashauri MODS Wwaihamishe hii thread na kuipeleka kule kwenye forum ya NAULIZA HIVI?

nadhani kule ndiko hii thread inakostahili kuwa
 
Hii thread baada itakuwa hapa to stay ili mafisadi wazidi kuumbuliwa mmoja baada ya mwingine!
 
Game Theory sikutegemea utatetea issue ya Ridhwani hivyo! Truly my brother!
Dada Asha hajafanya kitu chochote kibaya. hii habari iko front page ya Mwanahalisi. Sasa hata mimi nilijiuliza maswali mengi na ndo maana dada huyu kaleta mada hapa. Hebu kumbukeni Richmond ilivyokuwa dismissed na hata hii issue ya EPA, lakini kumbe....
Naomba tusitukanane na tusitoke nje ya mada maana I am VERY interested sasa. Kama mtu anachakuchangia kwenye hoja hii aweke otherwise naomba tusipotoshe mada.

Gembe: naomba u-address hii issue ya Fatma Karume na Ridhwan Kikwete kuwa wote associates at IMMA. What is the deal? Alafu IMMA imekiri kuhusika na registration ya Deep Green, kulikoni?
 
Tatizo sio kutetea bali things dont just add up

Mtu anakuja analeta thread halafu anatuuliza sisi tumpe majibu

wapi na wapi?

Richmond na BOT zote ziliambatana na maelezo ambayo yalikuwa yamejaa vielelezo vingi tuu

hii mzee haijakaa sawa na nadhani ni haki yetu ku scrutinize kabla ya kujua mchele ni upi na pumba ni zipi...hiyo si dhambi
 
Mbona hata wewe thread zako huwa zina maswali? hii sio mara ya kwanza - ingekuwa hii habari haikuandikwa kwenye gazeti huko nyumbani basi ingekuwa red flag ya kwanza. Give a lady a break!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom