Ujasusi ni mtandao sio mtu otherwise mbona chahali ali break the news kuwa JPM kafariki ilihali hayupo TZ? Ukimtumia kma source ina maana ni beberu?

Ndio maana hata wakati mnabisha kwamba Rais haumwi magazeti yalimuhoji Balozi wa TZ huko Namibia..... Sasa utasema taarifa za bongo huko Namibia wamejuaje?

Ujasusi ni mtandao (Spy ring) so lazima kuna flow ya mawasiliano kutokea mtu aliyeko ikulu mpaka jasusi aliyepo Sauzi ama US.
 
Nani alikuambia barakoa inazuia corona mbwa wewe!? Mshipa wa shingo umekukomaaa barakoa barakoa.
Nani alikuambia barakoa inazuia corona mbwa wewe!? Mshipa wa shingo umekukomaaa barakoa barakoa.
Unakuta mtu una degree ya procurement unageuka consultant wa public health an virology??

Nadhani tupunguze ujuaji maadam madaktari nguli wenye PhD ya Virology na pandemics wameshauri barakao kma preventive measure same to condom na UKIMWI!! Basi tuheshimu hilo kuliko kuanza kuleta ujuaji wakati sio taaluma zetu
 
Wadau naomba vyanzo vya south na USA pia vitujuze kuhusu huyu mwamba kitambo sana hatujabumiana nae
Screenshot_20210324-093925.jpg
 
Mbona hata wewe mkuu hujacomments chochote zaidi ya kumshambulia mwana jf mwenzie??
Soma tena comment yangu uielewe,nimemshauri asubiri comments za wataalamu,huwezi kupinga kitu fulani kua hakiwezekani kua hacked wakati huna elimu nacho,yeye amepinga moja kwa moja bila hata kuweka Vivid evidence,

Kuna watu wanapinga kila kitu kwa mihemko ya kisiasa tu hata kwenye issue ambazo ni za kitaalamu,
 
Ujasusi ni mtandao sio mtu otherwise mbona chahali ali break the news kuwa JPM kafariki ilihali hayupo TZ? Ukimtumia kma source ina maana ni beberu?

Ndio maana hata wakati mnabisha kwamba Rais haumwi magazeti yalimuhoji Balozi wa TZ huko Namibia..... Sasa utasema taarifa za bongo huko Namibia wamejuaje?

Ujasusi ni mtandao (Spy ring) so lazima kuna flow ya mawasiliano kutokea mtu aliyeko ikulu mpaka jasusi aliyepo Sauzi ama US.
mkuu kuvuja kwa taarifa kunatokana na matumizi ya teknolojia, ukishatumia teknolojia ni ngumu kuuepuka mtandao wa majasusi
 
Back
Top Bottom