Waliposema papa anasapoti ushoga mlishangilia sana Sasa Leo BBC imewapa kibano manalialia kama mbwaBBC ni wanoko sana
Habari zao wanafuata serikali ya UK wanasemaje ndio nao wanafuata hata kama ni haki hawasemi
Rejea Hamas na Israel tu Rishi aliposema tu nao Waka base upande wake
Ila kuna Radio moja hapa inaitwa LBC wanapinga ujinga sana wao wanaongea na kuwaweka kitimoto live viongozi
Mimi naangalia TV news kama Al Jazeera ya kiarabu/English na RT International na bora hata DW