KWETU PAZURI
Senior Member
- Oct 14, 2011
- 161
- 26
nawasilisha
nawasilisha
nawasilisha
Alikuja jamaa na GPA yake 3.8 na alama zake CJUI A = NA NGAPI! Alitaka kujiunga na masterz pale udsm, wataalamu wakaiingiza kwenye viwango vya UDSM, GPA ikawa 2.2? Sitaniii, ni jamaa yangu kabisa na yeye alikuwa najisifu kuwa ana GPA nzuri ya SAUT nikamwambie cku ukienda UDSM utajua kama ni nzuri au lah! Mpaka leo kimyaaaaaa....
Ndugu yangu ana 3.2 lower PRO SAUT alifanya interview utumishi na wanafunzi wenzake wa vyuo vyote vinavyotambulika TCU bila kumjua hata mfagizi wa Utumishi, Yupo wizarani sasa anakula salary yake.
Kama huna chakuandika kakojoe ulale.
Unaweza ukawa deep kwenye shallow water, au shallow kwenye deep water!
An A at saut stars from 80 to100.so nadhani km wangekuwa wanataka kuwapa wanafunzi wao gpa kubwa nadhan wangeweka wastani mdogo.
Kinachofanya wanafunzi wa saut wafanye vizuri (japo sio wote) ni kwamba at saut lecturers are teaching, they dont lecturer. Bt ukienda vyuo vingine mf hapa udsm utakuta walimu wengi hawafundishi. Unakuta mwalimu anakuja na vitisho kibao kuwa ni lazima akamate nusu ya darasa. Unakuta maswal wanayouliza kwenye paper ni migumu sana ukilinganisha na ubora wa kumwandaa mwanafunzi kuja kujibu mtihan wa hivyo. Ndiomana utakuta watu wengi walienda udsm na div one hadi za tatu bt wanatoka na gpa za lower second. Sio kuwa uwezo wao ulishuka bt kiukweli shule ya udsm imekuwa ni km ya kuwakomoa watu hivi.
Hivyo utakuta mtu alikuwa na div two na akaenda saut bt akatoka na hata first class coz at saut atakuta mazingirs mazuri,wala hakuna mambo ya kutishiwa,na walimu wanawapima wanafunz ktk yale hasa waliyowafundisha.
Ninamjua dogo moja akienda saut na div three mbaya kiasi kwamba ilibidi aingie km pre-entry candidate. Bt yule kijana aliondoka na gpa kali ambayo haijawah kutokea saut. Na soon after graduating at the same year akapata CPA. Yaan wala hajawah kurudia paper za CPA. Sasa km unaweza kusema kuwa alipewa gpa kubwa saut, je what about hiyo CPA aliyoing'oa kwenye single sit?