Je, ni kweli SAUT "wanagawa GPA kubwa" kwa wanafunzi wao ili wawe marketable kwenye soko la ajira?

Udsm products wamejaa kwenye reputable multinational companies kibao kama pwc,kpmg,deloite,ey,shlumberger,puma,haliburton, etc hao wote kila mwaka wanakuja kurecruit vjana hapo chuo. Ushahidi ni watu niliomaliza nao.

Hao pwc na hizo taasisi nyingine zinazorecruit wanafunz kutoka chuo huwazi naenda vyuo vingi tu ndugu.tena mala nyingi huwa wanachukua wanafunzi waliosoma hizi institutes km TIA, IFM, IAA coz huko huwa wanafunzi wanakuwa professional zaidi.
Ukiona kuna watu wengi wa udsm kwa ofisi mbalimbali ni wale wa miaka ya nyuma wakati udsm ndio kilikuwa chuo pekee kinachotoa graduates wengi bt kwa sasani Hapana ndugu.
Bado nakubaliana na ww kuwa udsm ni chuo bora east africa. Lakini ubora wake hauletwi sana na products zake bt ubora wake kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya kuwa na madaktari na maprof wengi kuliko vyuo vingine
 
Seminary zina mchujo na kuna wastani maalum lazima ufikie ili ueze songa mbele sauti je??? Wasoma soma tu bila disco wanafunz hawapanui wigo wa mawazo wanapewa notes ka olevel...iyo ndo tofaut...

Wewe ni majanga ubora wa chuo unapimwa kwa kudisco!!!!!!!!!!!!!
 
Ww unaisi kat ya hao wanafunz wawil yupi atasoma sana na kutafuta materials ili janga lisimkute...kila stage moja kwenda nyingine lazima pumba na shudu zitenganishwe...chuo mwanafunz anaanza first yaa paka third yaa ata library haijui...
 
Kaka unatudhalilisha wahadhiri kiukweli, kote nimesoma(Saut&udsm) ila ulivyotengeneza iyo claim naamini wewe ni undergraduate tu wala huna uwezo wa kujenga hoja ukaeleweka.
Hujaelewa wewe, na kama hujaelewa cjui umejibu nini?
 
Usipokuwa na data huna haki ya kusema! SAUT ni mali ya Roman Catholic. Kimsingi Roman Catholic ni taasis iliyo strict katika mambo yake. Hakuna short cuts. Kila kinachofanywa na taasis hiyo ni strict; chunguza kwenye shule zake nyingi, siyo fee oriented schools bali ni academic oriented. Kwa msingi huo Taasisi hii haiwezi kufanya upuuzi kama kugawa GPA za bure! Mimi nawaheshimu hawa jamaa. Nenda hata katika utunzaji wa kumbukumbu, nadhani taasisi hii ina database ambayo haina mpinzani ukilinganisha na taasisi nyingi hapa nchini. They are strict kwa kuwa ndiyo falasafa ya taasisi - kumkomboa mwanadamu katika hali zote za kiroho na kimwili (education+health) ndipo wanakowekeza, hakuna ubabaishaji.
 
An A at saut stars from 80 to100.so nadhani km wangekuwa wanataka kuwapa wanafunzi wao gpa kubwa nadhan wangeweka wastani mdogo.
Kinachofanya wanafunzi wa saut wafanye vizuri (japo sio wote) ni kwamba at saut lecturers are teaching, they dont lecturer. Bt ukienda vyuo vingine mf hapa udsm utakuta walimu wengi hawafundishi. Unakuta mwalimu anakuja na vitisho kibao kuwa ni lazima akamate nusu ya darasa. Unakuta maswal wanayouliza kwenye paper ni migumu sana ukilinganisha na ubora wa kumwandaa mwanafunzi kuja kujibu mtihan wa hivyo. Ndiomana utakuta watu wengi walienda udsm na div one hadi za tatu bt wanatoka na gpa za lower second. Sio kuwa uwezo wao ulishuka bt kiukweli shule ya udsm imekuwa ni km ya kuwakomoa watu hivi.
Hivyo utakuta mtu alikuwa na div two na akaenda saut bt akatoka na hata first class coz at saut atakuta mazingirs mazuri,wala hakuna mambo ya kutishiwa,na walimu wanawapima wanafunz ktk yale hasa waliyowafundisha.
Ninamjua dogo moja akienda saut na div three mbaya kiasi kwamba ilibidi aingie km pre-entry candidate. Bt yule kijana aliondoka na gpa kali ambayo haijawah kutokea saut. Na soon after graduating at the same year akapata CPA. Yaan wala hajawah kurudia paper za CPA. Sasa km unaweza kusema kuwa alipewa gpa kubwa saut, je what about hiyo CPA aliyoing'oa kwenye single sit?
University education is 30% output from lecturer and 70 %Output from recommended books & other academic documents,kufundishwa ni sekondari na primary-Wacha uvivu vizazi vya spoon feeding vitaongezeka na kujaza mazezeta waliokremu kila kitu duniani.
 
Saut chuo kikubwa sana
Kazi Tuliyoachiwa Na Father Dkt Francis Ngatigwa Umeshaimaliza Mkuu AU Unabwabwaja tu Humu JF? Wiki Ijayo Anarudi na Tuangalie tu Yasije Yakatukuta Kama Ya Dkt Magoti........... SAUT Si Mchezo Iwe Ngazi Ya B.A au M.A na Balaa Lake Ni ktk Phd.
 
Kiukweli hii mada imekosa uhalisia kwa kuwa watu wameweka mahaba mbele badala ya uhalisia.


Sasa ukiangalia kwa vyuo vyote vya Tanzania tofauti yake ni ndogo sana. Lakin baadhi ya wachangiaji wamejaribu kuhusisha shule za sekondari za katoriki/private na vyuo vya private.Hayo ni makosa maana vyuoni tumeona wote tunashindwa au kuweza bila kujali background za sekondari.
Ukija kwenye vyuo sio ubishi kwamba ubora wa vyuo unatokana na baadhi ya kozi.mfano kwenye mambo ya media and communication basi SAUT wapo juu.Ila ukija kwenye mambo ya law udsm na mzumbe ni vinara.kiufupi mtu mojamoja ndie anatathminiwa mfano unaweza kukuta mwanafunzi wa MUM akawa bora kuliko hata wa SAUT au UDOM na mzumbe.Ila kutafuta ugeneral wa ubora wa vyuo ni vema kufanya utafiti wa kutosha.Na vyuo vya serikali nna imani vinafanya vizuri kuliko vya private in general
Ninaaminisha wengi ambao hawakuchaguliwa kwenda shule za sekondari za serikali na wakajiunga na seminary walifanya vizuri sana kuliko wale waliochaguliwa kwenda shule za serikali.
Kila mtu anajua kuwa shule za sekondari hata zile zinazoitwa za vipaji maalumu huwa sio kuwa wanafundisha sana ila huwa ni juhudi binafsi za wanafunzi. Ila ukienda seminary utakuta wao wanafundisha sana. Yaan wanauwezo wa kumfanya mwanafunzi ambaye alikuwa weak akawa strong sana.
Kwa mfano ukiangalia matokeo ya St . Francis utakuta kuna div one na two chache tu. Ni mala chache sana kukuta div three. Je unadhani ni kwa sababu walichukua wanafunzi wenye akili sana? Km ni hiyo ndio sababu then mbona shule za vipaji maalumu km mzumbe sekondari huwa kunakuwa na division three na four za kutosha tu.
 
Alikuja jamaa na GPA yake 3.8 na alama zake CJUI A = NA NGAPI! Alitaka kujiunga na masterz pale udsm, wataalamu wakaiingiza kwenye viwango vya UDSM, GPA ikawa 2.2? Sitaniii, ni jamaa yangu kabisa na yeye alikuwa najisifu kuwa ana GPA nzuri ya SAUT nikamwambie cku ukienda UDSM utajua kama ni nzuri au lah! Mpaka leo kimyaaaaaa....
Hii kahawa kali sana.
 
Msikariri maisha, unajua tatizo wanafunzi mkiwa vyuoni mnajidanganya sana, mara Chuo X ni bora kuliko chuo Y. Malizeni vyuo mje mtaani ndo mtaelewa, huku mtaani waajiri wanaangalia una nini kichwani? Unajua nini?
Mtaitwa kwenye usaili wote sio chuo wala GPA itayokuokoa... kitachokupitisha usaili ni unajua nini.
Achaneni na maswala ya GPA / Vyuo , Someni kwa bidii kupata maarifa zaidi ya ndani na nje ya darasa kwenye fani husika
 
Msikariri maisha, unajua tatizo wanafunzi mkiwa vyuoni mnajidanganya sana, mara Chuo X ni bora kuliko chuo Y. Malizeni vyuo mje mtaani ndo mtaelewa, huku mtaani waajiri wanaangalia una nini kichwani? Unajua nini?
Mtaitwa kwenye usaili wote sio chuo wala GPA itayokuokoa... kitachokupitisha usaili ni unajua nini.
Achaneni na maswala ya GPA / Vyuo , Someni kwa bidii kupata maarifa zaidi ya ndani na nje ya darasa kwenye fani husika
Unajaribu kufikisha ujumbe gani??
 
Hapa naona kila mtu anasifia chake..
Ninacho kifahamu mm japo sio kwa undani. Kila chuo kina ubora wake katika vipengele kadhaa ukilinganisha na chuo kingine kwa vigezo hivyo..
Hakuna anae pinga kuwa chuo cha udsm ni bora katika baadhi ya categories lkn pia SAUT nao ni bora kwa baadhi ya categories.
MF. UDSM mm nawakubali kwenye law
SAUT. Nawakubali ktk communication.
 
Mimi nilisoma SAUT BAED. Tulikuwa tunaenda field tunakutana na walotoka vyuo mbali mbali. Nilikuwa nasikia udsm students are super. Lakin sasa nilikuwa nikiangalia ufanisi wao kazin nashindwa elewa where do these division ones class speak? Sema sijui ila watu wakishajijengea some sort of belief, kuwabadilisha ni ngumu mno.
 
Mimi nilisoma SAUT BAED. Tulikuwa tunaenda field tunakutana na walotoka vyuo mbali mbali. Nilikuwa nasikia udsm students are super. Lakin sasa nilikuwa nikiangalia ufanisi wao kazin nashindwa elewa where do these division ones class speak? Sema sijui ila watu wakishajijengea some sort of belief, kuwabadilisha ni ngumu mno.
Kama umesoma Saut uwezo wa kujua intelligence ya mtu wa udsm utautoa wapi?

Mtu aki-disco udsm anaenda Saut uliwahi kuona mtu amedisco Saut akaenda Udsm?

Kubali kataa, hata kwenye masuala ya utajiri kuna tajiri wa kwanza na tajiri wa mwisho yaani ranking ipo kwenye kila kitu, Udsm is the best in Tanzania, haimaanishi kwamba Saut ni hovyo hapana, Saut iko fresh ila ukilinganisha na udsm basi Saut iko nafasi ya mbali kidogo.
 
Kama umesoma Saut uwezo wa kujua intelligence ya mtu wa udsm utautoa wapi?

Mtu aki-disco udsm anaenda Saut uliwahi kuona mtu amedisco Saut akaenda Udsm?

Kubali kataa, hata kwenye masuala ya utajiri kuna tajiri wa kwanza na tajiri wa mwisho yaani ranking ipo kwenye kila kitu, Udsm is the best in Tanzania, haimaanishi kwamba Saut ni hovyo hapana, Saut iko fresh ila ukilinganisha na udsm basi Saut iko nafasi ya mbali kidogo.
Mmmmh, ndo maana nimejiuliza, nimefanya kazi na graduates wa Udsm, sasa kwa jinsi walivyo incompetent huwa najiuliza hizi sifa zinazopewa hawa mbona sizioni huku mtaaani?
 
Back
Top Bottom