Hayo sio maneno ya kufikirika, naongea from experience na kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa matangazo wa kazi, mangapi yanatoka na kusema tunataka candidate mwenye elimu kutoka UDSM, halafu wanamalizia na vyuo vingine! Hilo wala haliitaji mjadala matangazo yapo na yanaspecify kabisa candidate from UDSM. Hilo la sekretariet ya ajira, sina ubishi nalo, nina mtu anafanya kazi pale senior position, na ndie aliyeniambia hivyo, na cku hiyo tunaoingea hizo ishu tulikuwa pia na jamaa wa SAUT, na alisikia maneno yote! Mimi ni Lecturer katika chuo flani cha umma hapa Dar, mwaka huu mwanzoni waliajiri tutorial wapya, kati ya hao mmoja alikuwa anatoka SAUT, mwingine MUCCOBS, na wengine nje ya nchi, yule wa SAUT kashindwa kudelivry japo ana GPA kubwa na interview alifanya vizuri, anarudishwa kwenye administration! Hiyo ni mifano midogo , but ipo mingi sana...Huwezi ukafananisha chuo chochote hapa EAST AFRICA na UDSM,Nenda sekretariet ya ajira. Waombe wakupe takwimu za watu waliowaajiri kwenye sector mbalimbali za serikali ndio utajua kuwa graduates from udsm are losing now in the labour market.
Sitaki kubishana bt jitahidi tu upate hiyo document maana tumechoka na maneno ya kufikirika