Kupunguza Elimu ya Msingi kuwa darasa la sita sio suluhisho la ukosefu wa ajira, tengenezeni sera ya elimu inayogusa soko moja kwa moja

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
IMG_20231222_201550.jpg


Mifumo ya elimu Chuo Kikuu bado inaendeleza elimu ya kukariri kile mwalimu anachosema na sio kumuandaa kijana kujiajiri baada ya kumaliza Chuo kikuu.

In fact, Soko la Ajira limesha dorora, Soko limejaa wateja wengi kuliko wanunuzi. Watu wa Uchumi mtuambie hii inaashiria nini.🤷

Wadau badilisheni sera na mguse sehemu za Msingi. Kupunguza Elimu ya Msingi kuwa Darasa la sita bado haiwezi kuwa Best solution la Tatizo hili la Ajira.

Yaani mnaendelea kupiga Booster mazao yakuwe haraka, wakati wanunuzi hakuna. Mnaatuumiza Wakulima.

Sasa tengenezeni sera ya elimu inayogusa Soko moja kwa Moja. Itengenezeni bidhaa ijiuze yenyewe.

Vigezo vya GPA kwa baadhi ya Kozi visiwe kipaumbele , Tamko la 3.8 kuwa ndo GPA ya Ajira halina ukweli, Mana hata wakipata izo 3.8 GPA wakiwaomba kazi hamto waajiri..!!
 
Kinachonishangaza kuna ajira kibao tu mtaani hazina soko kwa sasa! Lakini kila mwaka vyuo vinaendelea tu kudahiri maelfu ya wanafunzi! Hivi hata sijui huko mbele itakuwaje!
 
Tatizo kubwa siyo miaka ya kukaa shuleni kupata elimu bali mindset ya kutegemea kuajiriwa
 
Kuna muda walio soma wanatuzidi Mishahara tu.

Ila maswala ya Kufanya research za Kutatua matatizo, Darasa la Saba Tunaongoza.
 
Back
Top Bottom