Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,484
- 5,142
Salamu ziwafikie popote mlipo, pia poleni na majukumu ya kila siku.
Siku hizi hii kauli ninaiskia sana kwa wenzangu kwamba "eti siku hizi hakuna wa peke yako" na wanaongeza kuwa "ukimtaka wa peke yako muumbe au mzae mwenyewe", hivi kuna ukweli kwenye hili?
Mimi binafsi inaniuma sana..... kwamba kama ni kweli yani ndio tumefikia huko kwa kujustify maisha ya kukosa uaminifu??