Je ni kweli hakuna wa peke yako?

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
7,484
5,142
Salamu ziwafikie popote mlipo, pia poleni na majukumu ya kila siku.

Siku hizi hii kauli ninaiskia sana kwa wenzangu kwamba "eti siku hizi hakuna wa peke yako" na wanaongeza kuwa "ukimtaka wa peke yako muumbe au mzae mwenyewe", hivi kuna ukweli kwenye hili?

Mimi binafsi inaniuma sana..... kwamba kama ni kweli yani ndio tumefikia huko kwa kujustify maisha ya kukosa uaminifu??
 
Kwani unao wangapi? Maana inaelekea unao wa wote halafu unamtaka wa
peke yako pia (NAKUTANIA)

JIBU: Si kweli.
 
Salamu ziwafikie popote mlipo, pia poleni na majukumu ya kila siku.

Siku hizi hii kauli ninaiskia sana kwa wenzangu kwamba "eti siku hizi hakuna wa peke yako" na wanaongeza kuwa "ukimtaka wa peke yako muumbe au mzae mwenyewe", hivi kuna ukweli kwenye hili?

Mimi binafsi inaniuma sana..... kwamba kama ni kweli yani ndio tumefikia huko kwa kujustify maisha ya kukosa uaminifu??

Wengine wana-justify kutokana na past experiences walizokuwa nazo kuhusiana na wapenzi wao wa nyuma...ila wanaume/wanawake waaminifu wapo wengi tu....
 
Siku hizi hii kauli ninaiskia sana kwa wenzangu kwamba "eti siku hizi hakuna wa peke yako" na wanaongeza kuwa "ukimtaka wa peke yako muumbe au mzae mwenyewe", hivi kuna ukweli kwenye hili?

Siyo siku hizi tu bali hivyo ni ndivyo mambo yalivyo tokea enzi na enzi. Aliye wa peke yako ni wewe na nafsi yako tu.

Mimi binafsi inaniuma sana..... kwamba kama ni kweli yani ndio tumefikia huko kwa kujustify maisha ya kukosa uaminifu??

Ni kweli inasumbua. Tuukubali tu ukweli kuwa utovu wa uaminifu (na hata uaminifu) ni moja ya asili ya binadamu. Na kama isemwavyo, asili haiachiki.
 
Kamwe sitaiendekeza hali hii, mimi nitakuwa na mmoja tu, jaman tuamueni kuipinga hii hali kwa nguvu zote, kwanini tuhalalishe ujinga? inaanza na wewe badlika kama una tabia hii, kama ilivyo kwa HIV free generation na malaria....tukatae kutokuwa waaminifu
 
unajua kunakitu kinaitwa wishful thinking na hii story za hiv and alaria free tanzania/dunia ni wishful thinking
sawa sawa na hii story ya kuwa na watu waaminifu ...hilo halitatokea. sasa la msingi ni kwamba u are aware of it na kama wewe unajua ummuhimu wakuwa faithful gud and keep it up but dnt be naive to thinks that everyone else is on the same wavelength as u.
 
ukitaka ya peke yako labda ile artificial, they are very faithful others ni waaminifu wa vipindi fulani fulani tu.
 
kwa wazungu na mabara mengine yupo wa peke yako,ila kwa wabongo hakuna......si umeziona thread za mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni 'nature' hapo ndipo walipofikia mwenzio.....sasa wewe kama una akili zako utachanganya na zako kisa cha kuwa na mwanaume mwenye mawazo finyu kama hayo???....babu tusizeeshane eeeeh......wazungu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Kazi ya U-Turn hii lol
 
Mhhhhhhhhh haya bwana, nimekusikia, ila Neema unadhani wazungu ni malaika? unafikiri wazungu wote ni waaminifu?
 
bora tumchangie ng'ombe hata wawili awaweke kichwani
wananichosha kweli
hakuna watu wachafu kama hao
kwanza wanabomoa seva zao
bado wanawahusudu

U-Turn imewaharibu sana wadada...lol. Mange ni mtu mbaya sana yule.
 
bora tumchangie ng'ombe hata wawili awaweke kichwani
wananichosha kweli
hakuna watu wachafu kama hao
kwanza wanabomoa seva zao
bado wanawahusudu

mbona ukimwi kwa wazungu hamna kama kwetu???this shows nani haswaaa ndio wachafu wa kutimba timba lol,kongosho hauna kaka mzungu uniunganishe naye?lol
 
tafuta thread ya The Boss,nyumba ndogo jinsi ilivyokuwa popular hapa JF lol,.........................mie mliniacha hoi kwa kweli.................................................lol

Hiyo ndo imekufanya uwaogope wabongo hahahahahahaha, ila umewatukuza wazungu kupita kiasi utafikiri wao ni malaika!, siku watakapofanya haya lazima utakufa kwa stress..... ila hujanijibu maswali nlokuuliza hapo juu kuhusu wazungu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom