Je ni kweli hakuna wa peke yako?

Tatizo wanaume wanatafuta 'full package', yaani wanataka msichana mwenye macho mazuri, pua nzuri, midomo mizuri, masikio mazuri, kucha nzuri, nywele ndefu, hips na makalio mazuri, miguu ya bia, tabia nzuri, mzuri kitandani. Kama unavyo vyote hivyo ujue utakuwa wake peke yako vinginevyo huyo mwanaume awe ni mwenye kujiheshimu na kuridhika na aliyenae.
Tatizo wanawake wanataka mwanaume handsome,mwenye sexy body,mwenye pesa,mpole,mkarimu,mcheshi,mwenye uwezo mkubwa kitandani,aliye-available muda wote na mwenye elimu kubwa,kazi ipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom