Je nani wa kulaumiwa usipofikishwa?

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
505
854

Kwanza unapaswa kutambua nafasi ya saikolojia katika kufikia utamu halisi unaotamaniwa na kila mmoja. Kumekuwa na malalmiko mengi sana toka kwa akina dada juu ya kutofikishwa wawapo katika chakula cha usiku.

Kwenye hili nitaeleza kidogo nadhani itawasaidia (watoto wasisome). Kumbuka kwenye game mwanaume huwa na nafasi ndogo sana ya kumfikisha mwanamke ukilinganisha na mwanamke mwenyewe (wengi hawakubali japo ndio ukweli).

Unapokutana na mwenzi wako ni lazima ujihakikishie mambo yafuatayo:

1. Mwanaume unayekutana naye ametulia kisaikolojia? Kama amekuja na mawazo mbalimbali basi ujue hataweza kufanya chochote chenye maana kwako wewe binti. Hii ni kwa sababu kusimama imara kwa kitendea kazi hutegemea hisiya alizonazo juu ya tendo lenyewe, hivyo kama mawazo yake yatahamia kwingine basi ujue kifaa kitapoteza uimara wake kwa sababu atakuwa hapo kimwili tu lakini kimawazo atakuwa mbali sana.

2. Je, mwanaume kashiba? Kama atakuwa na njaa basi ujue akipanda mara moja tu atawahi kushuka kwa sababu kupata bao moja ni kazi sawa na kuchimba mtaro. Inahitaji mwili wenye nguvu bila kuwa umeshiba mawazo yote yatahamia tumboni na hapo hisiya zitapotea na mzee atalegea tu.
3. Je, mko mahali ambapo mna amani ya kutosha? Hakikisha mnakutania mahali ambapo mwanaume hatakuwa na wasiwasi wa kuonwa au kukutwa. Katika mazingira ya namna hiyo mawazo ya mwanaume yatahamia kwenye hofu ya kukutwa au kuonwa na hapo mashine haitakuwa imara na hivyo kupoteza ufanisi.

4. Usafi, miongoni mwa vitu vinavyopoteza hamu ya kufanya tendo mpaka kileleni ni uchafu. Kwa asili wanawake ni wachafu kwa sababu hutokwa na uchafu wa asili katika sehemu zao za siri, hivyo hakikisha unapokwenda kukutana na mtu wako unajiweka safi kiasi cha kumshawishi awe na hisiya za kukuingilia bila kukinai. Unapofika chumbani usiruhusu akuguse kabla hujaoga na kuondoa harufu ya jasho, usijipulizie manukato yenye harufu kali sana kiasi cha kukera pua yake. Kuna wanawake hutokwa maji mengi wakati wa tendo hao ni lazima wajue tu kuwa fimbo ya mzee inapoelea kwenye maji haiwezi kuchapa ipasavyo na matokeo yake ni kuchelewa au kutofika kabisa kileleni.

5. Maandalizi, kwa kawaida bao la kwanza hupatikana haraka kwa mwanaume na hapo mwanamke hapaswi kutegemea kufikishwa kileleni. Unapaswa kumsaidia mtu wako ili akufikishe kileleni. Hiyo ni kazi ya mwanamke japo wengi hawajui na kuanza kuwalaumu wanaume. Ukiona mwanaume ameshapiga bao la kwanza, wewe hapo ndio unapaswa kumsaidia kuliamsha dude lake kwa mbinu mbalimbali (kama litakuwa limelala) kwa sababu likiamka hapo na kuanza kazi huyu mwanaume hatakojoa tena haraka na hapo utafika pengine akiwa hatarajii kumwaga.

6. Unaijua G-spot yake ilipo? G-spot ni sehemu maalumu ambazo ukizigusa tu hisiya zinapanda na utagundua tu baada ya kuona mzee kasimama ghafla. Ukijua G-spot ya boy wako ilipo basi unaweza kuliamsha dude mara nyingi upendavyo na kumfaidi mtu uliyenaye.

7. Je, unaijua style yako? Kila mwanamke ana style ambayo akiwekwa hiyo basi hachelewi kufika kilele cha uhuru. Ukimshirikisha mtu wako itasaidia sana kufikia malengo. Kama hujui style yako ya mafanikio basi una udhaifu.

8. Usimguse maeneo fulani, kuna maeneo hupaswi kumgusa mwanaume anapokuwa kazini kwani huondoa stimu zake haraka. Ukiona anakataa usimgusa maeneo fulani fulani akiwa kifuani kwako basi ujue hayo maeneo yanamkatia stimu na usiyaguse kweli.

9. Je, unamtamkia nini? Kosa linguine linalofanywa na wanawake ni kumkumbusha mwanaume madeni na mambo yanayohitaji pesa wakati anashughulika. Hili ni kosa kubwa kwa sababu ukifanya hivyo tu unamuibuliwa msongo wa mawazo juu ya wapi hasa atapata pesa hizo, lakini ataanza kuwaza kama kweli unampenda kwa nini umkumbushe wakati huo? Mawazo kama haya humuondoa kwenye hisiya za tendo lenyewe na kujikuta anashindwa kumridhisha aliyenaye.

10. Je, unapiga kelele? Kumbuka sio kila mwanaume anafurahia makelele wakati wa tendo. Ni muhimu sana kumjulia mtu wako, kama hapendi kelele basi jitahidi kujizuia na kama anapenda basi piga hata kama huwezi.

Kwa leo naishia hapa, elimu haina mwisho usiogope kujielimisha.
 
Umesahau kuwashauri kuhusu jinsi ya kupanua vizuri - ili mwanaume aweze kuifikia "papuchi" vizuri. Wanawake wengi huwa wanasindwa kufanya hivyo. Ikiwezekana wawe wanafanya hayo mazoezi mara kwa mara.
 
Maelezo safi kwa wanawake. Lakini pia mwanaume anaweza kuchangia sana kutofikishana panapostahili kama mawazo yake ni kukata kiu yake bila kumjali mwenzie. Raha kamili ni pale unapompeleka demu slow-o-ly mpaka mwenyewe ni kuhema kwingi mpaka aseme umeshafika pa kukoki ili uachie bullet. Wanaume wajifunze hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumfikisha mwanamke kunaanzia mbali.. Tangu unapomtongoza. Wanaume wengi huwa tunatongoza mwanamke kwa nia ya kumpata, na sio kwa nia ya kuamsha hisia zake za kimapenzi juu yetu. Hilo ni kosa kwani hupelekea mwanamke kukukubali kwa nia ama ya kukufurahisha, au ya kuondoa usumbufu, au ya kupata hela kutoka kwako. Matokeo yake mwanamke akikukubali anakua hana hisia na wewe (hana sexual attraction) hivyo ni ngumu sana kumfikisha.
 
Yani mwanaume unashindwa kumfikisha demu wako kileleni halafu unasema na wewe ni mwanaume. Yani umezidiwa hata na ndizi ,mwanamke akijiingizia anakojoa. Hawa ndio wale wanao lalamikaga wakati wa kugegeda kama wanawake. Mimi demu wangu anakojoaga bao mbili Mimi nikiwa bado sijakojoa hata moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa atafika kileleni sangapi mwanaume unajitahidi kinoma lkn yupo bize kukumbushia ..JAMANI ANGALIA USIKOJOE NDANI..tayari pale anaandamwa na hofu ya kupata mimba
 
Kwa utamaduni wa huku kwetu TZ na baadhi ya sehemu nyingine Afrika,wapenzi wengi hawako wazi kuelezea hisia zao kwa uwazi na maeneo yenye msisimko...Haya ni mapenzi ya kinafiki...

Lakini pia kuna wachache wako wazi kabisa na wana enjoy tendo sana tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom