Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

kama maelezo yake yanaendana na kanuni za bunge inatosha
tuongeze matumizi ya akili zetu ili tuondokane matatizo. utafiti mwingene uje na matokeo ya kati ya 20 ni 1 tu kich....
Mnaficha nini.!? Wabunge wote wameweka elimu zao ila Mbowe hamna kitu halafu mkiulizwa mnakua wakali na kutoa sababu 100 wakati ni swali dogo tu Mbowe kasoma wapi? Taja jina la chuo okoa nguvu na muda acha kuzunguka
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nianze kwa kusema kuwa lengo la chama chochote cha siasa ni kutwaa dola. Chama cha siasa si kama chama cha Mpira wa miguu ama chama cha kuimba muziki wa singeli. Kwa maana nyingine chama kinachoshinda uchaguzi ndicho hutwaa mamlaka ya nchi na ndicho huunda Serikali. Ni kwa muktadha huo, Kiongozi wa Chama cha Siasa anapaswa kuwa na sifa zile zile ambazo kiongozi wa nchi anapaswa kuwa nazo. Hata kama Mwenyekiti wa chama kilichoshinda hajagombea, ataendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na atasimamia utendaji wa Rais wake.

Hii ni hoja ya msingi sana na sijajua kwa nini wasomi wengi bungeni akina Tundu Lissu hawalioni? Sijajua pia kwa nini washirika wa ukawa akina James Mbatia hawalizungumzi kwa lengo la kutoa hoja ili lijadiliwe bungeni.

Wadau, chaka kikiongozwa na kihiyo madhara yake ni makubwa. Chama kinakuwa cha hovyo na kinakuwa na watu wa hovyo. Ndo maana hata kwenye uchaguzi wanafanya hovyo. Kwani Mwenyekiti hovyo huzaa chama hovyo na wafuasi hovyo.

Tuache masihara katika masuala ya nchi. Hivi mliwahi kujiuliza kwa sasa kwa nini Mbowe hana hamu ya kugombea Urais? Anatamani sana tena sana ila vigezo na masharti havikidhi. Ni Form Four Leaver! Nasikia hata hicho cheti cha form four alikipata kimagumashi. Ndio maana humsikii anasema lolote kuhusu vyeti feki kwa vile hata yeye ana cheti feki cha kidato cha Nne.

Taarifa zilizopo ni kwamba, Freeman Mbowe hakuwahi kufanya na kufaulu mtihani wa Kidato Cha Nne lakini ana cheti cha Form Four. Hakuna ushahidi na wala uthibitisho kuwa alifanya mtihani huo. Je Mbowe alipataje cheti cha Form Four wakati hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo? Nini kilichopo nyuma ya pazia? Nani alisimamia hilo?

My brother Freeman Aikael Mbowe, ili kuondoa shaka hiyo kuwa hujafanya na kufaulu mtihani wa kidato cha Nne, hebu jitokeze hapa au wape wale vijana wako waiweke hapa kuondoa huo utata. Kuendelea kukaa kimya ni sawa na kuhalalisha kuwa kisemwacho kipo.

Katika kurahisisha utetezi wako, hebu jibu maswali haya.

1. Je ulianza kidato cha kwanza mwaka gani na ulimaliza lini?
2. Ulisoma shule gani?
3. Wakati unamaliza kidato cha Nne, Mkuu wako wa Shule alikuwa anaitwa nani?
4. Unakumbuka namba yako ya usajili wa mtihani wa Form Four? Itaje.
5. Matokeo ya Form Four yalikuwaje? Je yalikuwezesha kuendelea na elimu ya kidato cha Tano?
6. Ambatanisha vielelezo ikiwa ni pamoja na nakala ya Cheti cha Kidato cha Nne
waongezee na hii

Hon Freeman Mbowe profile: Parliament of Tanzania

Profile
0.32726400%201453700121.png



Hon. Freeman Aikaeli Mbowe


Member Type : Constituent Member

Constituent : Hai

Political Party : CHADEMA

Phone :

P.O Box :

Email Address : f.mbowe@bunge.go.tz

Date of Birth : 0000-00-00



Education History :


School Name/Location Course/Degree/Award From To Level


Employment History :


Company/Institution Position From To


Political Experience :


Political Party Position From To
 
Indeed, the allegated have to come out and prove otherwise


No, No, No, No....the onus is yours to prove that PhD ile alidesa....Wewe ndiye uthibitishe siyo yule anayetuhumiwa.... If you defame somebody/one then you have to prove beyond reasonable doubt that what you have said and alleged is true and not otherwise....Taratibu na sheria zetu za nchi ndivyo zilivyo...nchi nyingine ni sawa, kwamba aliyetuhumiwa ni wajibu wake approve kuwa yaliyosemwa juu yake ni uongo....
Siyo "nchi zingine" tu, bali ni kote duniani.

Unatuhumiwa kuwa wewe ni mwizi, maana yake kuna viashiria na mazingira yaliyofanya usontwe ww, utuhumiwe

Ni jukumu lako kusema, hapana mimi siyo mwizi.

Na hatua ya kwanza unayoweza kuifanya na kuichukua, ni kwenda mahakamani kudai kuwa umesingiziwa kuwa ni mwizi. Na hapo aliyekutuhumu aweza kuitwa kuthibitisha tuhuma zake.

Otherwise, uniambie hapa ni mahakamani. Na ukinyamaza kimya, utakuwa unathibitisha kuwa wewe ni mwizi!!
 
Dr John Pombe Magufuli

5th President of Tanzania
Incumbent
Assumed office

5 November 2015
Vice President Samia Suluhu
Prime Minister Kassim Majaliwa
Preceded by Jakaya Kikwete
Minister of Works
In office

28 November 2010 – 5 November 2015
President Jakaya Kikwete
Preceded by Shukuru Kawambwa
In office
November 2000 – 21 December 2005
President Benjamin Mkapa
Succeeded by Basil Mramba
Minister of Livestock and Fisheries Development
In office

13 February 2008 – 6 November 2010
Preceded by Anthony Diallo
Succeeded by David Mathayo David
Minister of Lands and Human Settlements
In office

6 January 2006 – 13 February 2008
President Jakaya Kikwete
Succeeded by John Chiligati
Member of Parliament for
Biharamulo East and Chato
In office

November 1995 – July 2015
Succeeded by Kalemani Medard
Personal details
Born
29 October 1959 (age 56)
Chato, Geita, Tanganyika
Nationality Tanzanian
Political party CCM (1977–)
Spouse(s) Janeth Magufuli
Residence Ikulu, Dar es Salaam
Alma mater University of Dar es Salaam
Profession Teacher
Religion Roman Catholicism
Nickname(s) Tinga tinga (The Bulldozer)[1]
Twitter handle MagufuliJP
Military service
Allegiance
20px-Flag_of_Tanzania.svg.png
United Rep. of Tanzania
Service/branch National Service
Years of service July 1983–June 1984




AND THIS IS DR. JOHN POMBE MAGUFULI CV
JOHNMAGUFULI.jpg

JOHNMAGUFULI.jpg
DR John Pombe Joseph Magufuli was born on October 29, 1959. He holds a PhD in Chemistry from University of Dar es Salaam.He has been a Member of Parliament (MP) for three terms, that is 2010 - 2015, 2005 - 2010 and 2000 - 2005 and has been a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) since 1977.
He has held various ministerial positions and currently is serving as the Minister of Works, the position he took up since May 4, 2012 until October 30, 2015 Other ministries he has served are Fisheries and Livestock Development, Lands, Housing and Human Settlement Development.He had also worked as the Deputy Minister for Works. Dr Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1984 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978.He joined Mkwawa High School for his A levels in 1979 and completed 1981 and that same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education (Sc.) Chemistry, Mathematics and Education.In 1985 he was enrolled at the University of Dar es Salaam where he graduated and earned a B.Sc Ed. (Hons) in Chemistry and Mathematics in 1988 and went to earn a Masters Degree in Chemistry from both the Universities of Dar es Salaam and Salford in the UK in 1994. He currently holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam.Dr Magufuli has also held various posts and he is currently the also Co-chair World Urban Forum with UN-HABITAT (III) since 2006 and a member of Tanzania Chemical Society from 1993 to date.He has authored various publications including: Mulokozi A. M.; Akwilapo, L.D.: Buchweishaija, J.; Magufuli J. P., and Kyobe, J. Securing the Mechanism of the Decomposition of CaCO3 by the Thermodynamics of the Reaction¿, East and Southern Africa Environmental Chemistry Workshop, pp 71-83, 1st 5th December 2003, Dar es Salaam.Magufuli, J. P., Funding requirements for the EAC Road network project the East African Community Roads Development partners Consultative meeting 29th 30th April, 2003 Arusha Tanzania.30 Apr 2003 Magufuli, J. P., (MP) PIARC First Delegate and Minister for Works of the United Republic of Tanzania.¿ Access to Mobility a basic Social Service, Special Trunk Roads project, Design and Build Tanzania model, XXIInd World Road Congress, 25 October, 2003 Durban, South Africa. 25 Oct 2003 Mulokozi, A. M., Kyobe, Magufuli, J. P. and R. Whitehead.A New Rate Equation for Solid State Decompositions and its application to the Decomposition of CaCo3. TCS Inaug.Conf. Proc., 11 - 16 July, 1999, p162 - 183. 16 July 1999 Magufuli, J. P., Background of the Mtwara Development Corridor Meeting of the head of States from Malawi, Tanzania, Zambia and Mozambique during the Rounding of the Mtwara Development Corridor, 15 December, 2004, Lilongwe Malawi.Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.
Follow us on Twitter @african_jam Like our Facebook page Africanjam.com

hii hapa
Hii hapa ya Mbowe

Profile
0.32726400%201453700121.png



Hon. Freeman Aikaeli Mbowe


Member Type : Constituent Member

Constituent : Hai

Political Party : CHADEMA

Phone :

P.O Box :

Email Address : f.mbowe@bunge.go.tz

Date of Birth : 0000-00-00



Education History :


School Name/Location Course/Degree/Award From To Level


Employment History :


Company/Institution Position From To


Political Experience :


Political Party Position From To
 
Wewe unatakiwa kwanza uthibitishe hapa kwamba Mbowe hajawahi kufanya mtihani wa kidato cha nne na kufaulu. Vinginevyo hoja yako ina deserve kupuuzwa, kama ambavyo hoja zako nyingi hupuuzwa! Huwezi kumtaka mtu aje athibitishe kitu ambacho wewe mwenyewe huna uhakika nacho....

Mkuu, you have said it all. Lizabon and coy wenye mashaka waende mahakamani. Mbowe is not that low to argue with the frustrated.
 
Mkuu, you have said it all. Lizabon and coy wenye mashaka waende mahakamani. Mbowe is not that low to argue with the frustrated.
Kuna mambo mnaficha...kwanini asiweke hata kwenye tovuti ya bunge?...Mbowe ana majanga kwenye elimu...ninyi badala ya kumtetea kwa facts mnakuja na ngonjera za mahakamani...bure kabisa.
 
Mnaficha nini.!? Wabunge wote wameweka elimu zao ila Mbowe hamna kitu halafu mkiulizwa mnakua wakali na kutoa sababu 100 wakati ni swali dogo tu Mbowe kasoma wapi? Taja jina la chuo okoa nguvu na muda acha kuzunguka
vyeti ni vyake, mm nashangaa tunatumia akili nyingi kuchunguza watu...
tuongeze matumizi ya akili zetu kwenye maendeleo ili tuondokane matatizo. utafiti mwingene uje na matokeo ya kati ya 20 ni 1 tu kich....
 
Kwani Mbowe anawajibika mtandaoni/Jamiiforums? Ninyi si mna mamlaka? andaeni utaratibu wa kukagua vyeti kwa Viongozi wa Umma kuanzia Rais, Mawaziri mpaka wabunge
 
Kwani Mbowe anawajibika mtandaoni/Jamiiforums? Ninyi si mna mamlaka? andaeni utaratibu wa kukagua vyeti kwa Viongozi wa Umma kuanzia Rais, Mawaziri mpaka wabunge
Mkuu, kwani mambo yote yanayoombwa hapa ni sahihi?
 
hata ukiangalia cv yake kwenye tovuti ya bunge hamna suala la elimu.....nb hata bunge ni jipu kwa nn wasimfukuze bungeni mpaka alete uthibitisho wa elimu yake....nb sio kwa cdm peke yake hata ccm wenye elimu ya kuunga unga wafukuzwe mpk walete ushahidi...yawezekana hata la saba hawakumaliza
 
hata ukiangalia cv yake kwenye tovuti ya bunge hamna suala la elimu.....nb hata bunge ni jipu kwa nn wasimfukuze bungeni mpaka alete uthibitisho wa elimu yake....nb sio kwa cdm peke yake hata ccm wenye elimu ya kuunga unga wafukuzwe mpk walete ushahidi...yawezekana hata la saba hawakumaliza
Hakika Mkuu. Hili suala la elimu Mbowe lazima awajibishwe
 
Upo mjadala unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii juu ya uhalali wa cheti cha Kidato cha Nne ambacho Mwenyekiti wangu Freeman Mbowe anacho. Mjadala huo una maudhui kuwa Mwenyekiti wangu hakufanya na kufaulu mtihani wa kidato cha Nne. Kwenye mjadala huo, zimeibuliwa hoja nzito kuwa kumbe Chairman hata shule aliyosoma O Level haijulikani ingawa alipangiwa kusoma Ihungo Sekondari kwa masomo ya Kidato cha Tano na Sita ambako aliambulia Sifuri.

Nimefuatilia mijadala hiyo nikadhani kwa uungwana basi kama si Mbowe basi hata wale vijana wake anaweza kuwapa documents kuthibitisha kuwa kweli Mwenyekiti wangu amesoma! Hata hivyo, mpaka sasa, mjadala huo umetoa ushindi kwa waibua hoja hizo kwani si Mbowe wala wale vijana wake akiwemo Ben Saanane waliojitokeza kuokoa jahazi linalozama.

Mbowe ni mtu mkubwa si tu chamani bali hata kwenye bunge. Yeye ndiye Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni na hivyo Watanzania wana kila sababu ya kujua Mzee kasoma somaje. Ukimya huu unadhihirisha kuwa madai yaliyoibuliwa ni ya kweli.

Kwa aibu hii ambayo Mwenyekiti wangu ametia, hakika amejiondolea kuwa Mwenyekiti halali wa CHADEMA na hata kuwa kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Jiuzulu tu mzee ili uwapishe wengine wenye sifa. Binafsi namkubali sana Tundu Lissu. Apewe yeye chama au hata Prof Safari au Prof Baregu ili chama chetu kijenge historia ya kuongozwa na Mwenyekiti Msomi
 
Back
Top Bottom