Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,902
- 944
MBUNGE TAUHIDA GALLOS ATEMBELEA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE WANAOJIANDAA NA MTIHANI WA TAIFA
Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Zanzibar, Mhe. Tauhida Cassian Gallos ameambatana na kuongozana na Mwenyekiti wa Katibu wa UWT Wilaya pamoja na Madiwani wa Viti Maalum alipotembelea na kuonana na Wanafunzi wa Kidato cha Nne wanaokaa kambi na kuwapatia vyakula ili viwasaidie kwa kipindi hiki wanachojiandaa na mitihani yao ya Kitaifa
Mhe. Tauhida Cassian Gallos ametembelea Shule ya Sekondari inayojulikana kama Skuli ya Mfenesini ikiwa ni moja ya majukumu yake katika utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ndani ya Zanzibar
#UtekelezajiKwaVitendo
#Uzalendo2023
#UmojaWetuUshindiWetu
Attachments
-
WhatsApp Image 2023-09-25 at 18.42.07(1).jpeg519.7 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-09-25 at 18.41.57.jpeg525.7 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-09-25 at 18.42.06(1).jpeg354.3 KB · Views: 2
-
WhatsApp Image 2023-09-25 at 18.42.07.jpeg403.9 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-09-25 at 18.42.08(1).jpeg486.9 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-09-25 at 18.42.08.jpeg436.8 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-09-25 at 18.42.09(1).jpeg397.2 KB · Views: 2
-
WhatsApp Image 2023-09-25 at 18.42.09.jpeg454.1 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-09-25 at 18.42.10(1).jpeg397.4 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-09-25 at 18.42.10.jpeg566.5 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-09-25 at 18.42.11.jpeg421.6 KB · Views: 2