Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

mbowe hana elimu yoyote ile, mpaka sasa hakuna uuthibitisho wa elimu yake, infact hata std 7 hakumaliza
 
Unajua kuwa rais wa Africa kusini kaishia darasa
La pili,?
Anaongelewa Mbowe sio SA. Mambo ya ngoswe muachie ngoswe sisi SA inatuhusu nini? Aache chenga aseme kasoma wapi muda wa kuishi kimagumashi umeisha
 
Hilo ndo swali ambalo kila mmoja anajiuliza. Ni wakati wa Mbowe kuweka hapa matokeo yake ya form four ili kuondoa utata
Katika kila Watanzania wanne mmoja ni kichaa, matokeo ya form four yapo kwenye cheti chake na cheti ndio uthibitisho wa mhitimu.

Wewe ni kichaa.
 
mbowe hana elimu yoyote ile, mpaka sasa hakuna uuthibitisho wa elimu yake, infact hata std 7 hakumaliza
Mkuu Waberoya sidhani mtu makini kama wewe kama unaweza kuingizwa kichwakichwa kwenye mijadala ya kitoto kama hii.

Mwanangu hajamaliza standard seven lakini yupo Udsm anafanya degree yake.

Swali la msingi hapa ni je hivi elimu kubwa ya darasani inamsaidia kila kiumbe?

Udisahau mpaka sasa bado Taifa limepigwa na butwaa na mtu wa level ya Profesa na matendo yake bado imetuacha kwenye sintofahamu hasa ya elimu ni nini?
 
Anaongelewa Mbowe sio SA. Mambo ya ngoswe muachie ngoswe sisi SA inatuhusu nini? Aache chenga aseme kasoma wapi muda wa kuishi kimagumashi umeisha
Tena mimi ningekuwa ndio ninaongoza jopo la wanataaluma watu kama Mbowe na Bakhresa ningewatunuku degree za heshima.

Hawa ndio wasomi hasa walioweza kuzitumia elimu zao vyema na wako very successful.

Wewe endelea kumaliza soli za viatu vyako na bahasha kwenda kuwaomba ajira hawa ambao hawajasoma.

Hapa ndipo tunapoambiwa IQ ya Mtanzania iko chini halafu mnabisha.
 
Hoja ya kijinga kwel , ulishajipa majibu mwenyew kuwa Umesikia so kwa sababu umesikia kafanye utafiti kwanza ndio ulete hoja yako mezani.
 
Tena mimi ningekuwa ndio ninaongoza jopo la wanataaluma watu kama Mbowe na Bakhresa ningewatunuku degree za heshima.

Hawa ndio wasomi hasa walioweza kuzitumia elimu zao vyema na wako very successful.

Wewe endelea kumaliza soli za viatu vyako na bahasha kwenda kuwaomba ajira hawa ambao hawajasoma.

Hapa ndipo tunapoambiwa IQ ya Mtanzania iko chini halafu mnabisha.

Mbowe msomi hasa huo usomi kautoa wapi? Acheni kuruka swali Mbowe atoe vyeti vyake mada iishe, kaishi kiujanja ujanja kwa miaka mingi huyu bwana.
 
Unataka nani ajibu hapa?

Kama unauliza wadau wa JF, umeshaambiwa kuwa;

Kidato cha I - IV = Kibaha S.S

Kidato cha V - VI = Ihungo S.S

What else do you want? Go to those schools and confirm by yourself maana Phd ya Mr President watu wamechimba na wakajiridhisha pasipo shaka kabisa kuwa amedesa!!

Maana mmetoka kwenye kwenye alipata "division zero", sasa mnauliza sehemu/shule alikopatia hiyo "division zero" na sijui ni kwa nini wakati mnayasoma matokeo yake hamkujisumbua kujua na kutambua na jina la shule yake!!

Ama kweli ninyi ndiyo kizazi cha LB7Bombadia a.k.a mwendokasi!!

What else do you want? Go to those schools and confirm by yourself maana Phd ya Mr President watu wamechimba na wakajiridhisha pasipo shaka kabisa kuwa amedesa!!.....

These are very serious allegations....ujihadhari na kauli au allegations za aina hii, ni hatari.....
 
Huyu anayeleta hoja hapa nadhani hii Nguvu angeitumia kuwasiliana na Uongozi Wa shule ya Ihungo wangemweleza wao walimpokeaje mwanafunzi wa kidato cha tano asiyekuwa ma cheti cha form four....

Au kama kipo wangemjulisha na kumpatia template pia maana siyo siri.

Na hapo angekuja hapa nan hoja yenye mashiko na Mimi hapo maweza kuona kuwa mwandishi walau amefanya research kabla ya kuleta hii mada otherwise antujazia thread zisizokuwa na msingi hapa.

"No research no right to speak"
Naunga mkono hoja yako watu wanazunguka wakati kuna short cut
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nianze kwa kusema kuwa lengo la chama chochote cha siasa ni kutwaa dola. Chama cha siasa si kama chama cha Mpira wa miguu ama chama cha kuimba muziki wa singeli. Kwa maana nyingine chama kinachoshinda uchaguzi ndicho hutwaa mamlaka ya nchi na ndicho huunda Serikali. Ni kwa muktadha huo, Kiongozi wa Chama cha Siasa anapaswa kuwa na sifa zile zile ambazo kiongozi wa nchi anapaswa kuwa nazo. Hata kama Mwenyekiti wa chama kilichoshinda hajagombea, ataendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na atasimamia utendaji wa Rais wake.

Hii ni hoja ya msingi sana na sijajua kwa nini wasomi wengi bungeni akina Tundu Lissu hawalioni? Sijajua pia kwa nini washirika wa ukawa akina James Mbatia hawalizungumzi kwa lengo la kutoa hoja ili lijadiliwe bungeni.

Wadau, chaka kikiongozwa na kihiyo madhara yake ni makubwa. Chama kinakuwa cha hovyo na kinakuwa na watu wa hovyo. Ndo maana hata kwenye uchaguzi wanafanya hovyo. Kwani Mwenyekiti hovyo huzaa chama hovyo na wafuasi hovyo.

Tuache masihara katika masuala ya nchi. Hivi mliwahi kujiuliza kwa sasa kwa nini Mbowe hana hamu ya kugombea Urais? Anatamani sana tena sana ila vigezo na masharti havikidhi. Ni Form Four Leaver! Nasikia hata hicho cheti cha form four alikipata kimagumashi. Ndio maana humsikii anasema lolote kuhusu vyeti feki kwa vile hata yeye ana cheti feki cha kidato cha Nne.

Taarifa zilizopo ni kwamba, Freeman Mbowe hakuwahi kufanya na kufaulu mtihani wa Kidato Cha Nne lakini ana cheti cha Form Four. Hakuna ushahidi na wala uthibitisho kuwa alifanya mtihani huo. Je Mbowe alipataje cheti cha Form Four wakati hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo? Nini kilichopo nyuma ya pazia? Nani alisimamia hilo?

My brother Freeman Aikael Mbowe, ili kuondoa shaka hiyo kuwa hujafanya na kufaulu mtihani wa kidato cha Nne, hebu jitokeze hapa au wape wale vijana wako waiweke hapa kuondoa huo utata. Kuendelea kukaa kimya ni sawa na kuhalalisha kuwa kisemwacho kipo.

Katika kurahisisha utetezi wako, hebu jibu maswali haya.

1. Je ulianza kidato cha kwanza mwaka gani na ulimaliza lini?
2. Ulisoma shule gani?
3. Wakati unamaliza kidato cha Nne, Mkuu wako wa Shule alikuwa anaitwa nani?
4. Unakumbuka namba yako ya usajili wa mtihani wa Form Four? Itaje.
5. Matokeo ya Form Four yalikuwaje? Je yalikuwezesha kuendelea na elimu ya kidato cha Tano?
6. Ambatanisha vielelezo ikiwa ni pamoja na nakala ya Cheti cha Kidato cha Nne

haaa haaa.. mkuu mbona nahisi kama taarifa unazo tayari? ngoja tuone wafuasi wanasemaje..
 
ukiipata tu tubandikie hapaa tuione.. kama kumsifia tumsifie.. kama ndo doroo na iwe doroooooo:rolleyes::rolleyes:
Dr John Pombe Magufuli

5th President of Tanzania
Incumbent
Assumed office

5 November 2015
Vice President Samia Suluhu
Prime Minister Kassim Majaliwa
Preceded by Jakaya Kikwete
Minister of Works
In office

28 November 2010 – 5 November 2015
President Jakaya Kikwete
Preceded by Shukuru Kawambwa
In office
November 2000 – 21 December 2005
President Benjamin Mkapa
Succeeded by Basil Mramba
Minister of Livestock and Fisheries Development
In office

13 February 2008 – 6 November 2010
Preceded by Anthony Diallo
Succeeded by David Mathayo David
Minister of Lands and Human Settlements
In office

6 January 2006 – 13 February 2008
President Jakaya Kikwete
Succeeded by John Chiligati
Member of Parliament for
Biharamulo East and Chato
In office

November 1995 – July 2015
Succeeded by Kalemani Medard
Personal details
Born
29 October 1959 (age 56)
Chato, Geita, Tanganyika
Nationality Tanzanian
Political party CCM (1977–)
Spouse(s) Janeth Magufuli
Residence Ikulu, Dar es Salaam
Alma mater University of Dar es Salaam
Profession Teacher
Religion Roman Catholicism
Nickname(s) Tinga tinga (The Bulldozer)[1]
Twitter handle MagufuliJP
Military service
Allegiance
20px-Flag_of_Tanzania.svg.png
United Rep. of Tanzania
Service/branch National Service
Years of service July 1983–June 1984

AND THIS IS DR. JOHN POMBE MAGUFULI CV
JOHNMAGUFULI.jpg

JOHNMAGUFULI.jpg
DR John Pombe Joseph Magufuli was born on October 29, 1959. He holds a PhD in Chemistry from University of Dar es Salaam.He has been a Member of Parliament (MP) for three terms, that is 2010 - 2015, 2005 - 2010 and 2000 - 2005 and has been a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) since 1977.
He has held various ministerial positions and currently is serving as the Minister of Works, the position he took up since May 4, 2012 until October 30, 2015 Other ministries he has served are Fisheries and Livestock Development, Lands, Housing and Human Settlement Development.He had also worked as the Deputy Minister for Works. Dr Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1984 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978.He joined Mkwawa High School for his A levels in 1979 and completed 1981 and that same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education (Sc.) Chemistry, Mathematics and Education.In 1985 he was enrolled at the University of Dar es Salaam where he graduated and earned a B.Sc Ed. (Hons) in Chemistry and Mathematics in 1988 and went to earn a Masters Degree in Chemistry from both the Universities of Dar es Salaam and Salford in the UK in 1994. He currently holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam.Dr Magufuli has also held various posts and he is currently the also Co-chair World Urban Forum with UN-HABITAT (III) since 2006 and a member of Tanzania Chemical Society from 1993 to date.He has authored various publications including: Mulokozi A. M.; Akwilapo, L.D.: Buchweishaija, J.; Magufuli J. P., and Kyobe, J. Securing the Mechanism of the Decomposition of CaCO3 by the Thermodynamics of the Reaction¿, East and Southern Africa Environmental Chemistry Workshop, pp 71-83, 1st 5th December 2003, Dar es Salaam.Magufuli, J. P., Funding requirements for the EAC Road network project the East African Community Roads Development partners Consultative meeting 29th 30th April, 2003 Arusha Tanzania.30 Apr 2003 Magufuli, J. P., (MP) PIARC First Delegate and Minister for Works of the United Republic of Tanzania.¿ Access to Mobility a basic Social Service, Special Trunk Roads project, Design and Build Tanzania model, XXIInd World Road Congress, 25 October, 2003 Durban, South Africa. 25 Oct 2003 Mulokozi, A. M., Kyobe, Magufuli, J. P. and R. Whitehead.A New Rate Equation for Solid State Decompositions and its application to the Decomposition of CaCo3. TCS Inaug.Conf. Proc., 11 - 16 July, 1999, p162 - 183. 16 July 1999 Magufuli, J. P., Background of the Mtwara Development Corridor Meeting of the head of States from Malawi, Tanzania, Zambia and Mozambique during the Rounding of the Mtwara Development Corridor, 15 December, 2004, Lilongwe Malawi.Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.
Follow us on Twitter @african_jam Like our Facebook page Africanjam.com

hii hapa
 
Iki kipeperushi cha nini? Au campaign zimeanza tena??
Naunga mkono hoja yako watu wanazunguka wakati kuna short cut
 
What else do you want? Go to those schools and confirm by yourself maana Phd ya Mr President watu wamechimba na wakajiridhisha pasipo shaka kabisa kuwa amedesa!!.....

These are very serious allegations....ujihadhari na kauli au allegations za aina hii, ni hatari.....

Ofcoz, these are very serious allegations!

Indeed, the allegated have to come out and prove otherwise

Si tupo kwenye kaguzi za vyeti na elimu za kila mtumishi wa umma bwana?

Viongozi wetu wa ngazi za juu wote wawe mfano kwa kutoka na kuonesha uhalali wa viwango vyao vya elimu akiwemo Mbowe Freeman Aikael!!

What's wrong with that?
 
Anaongelewa Mbowe sio SA. Mambo ya ngoswe muachie ngoswe sisi SA inatuhusu nini? Aache chenga aseme kasoma wapi muda wa kuishi kimagumashi umeisha
CV YA MWENYEKITI.

CV ya freeman mbowe

Member of Parliament CV

GENERAL
Salutation
Honourable Member picture
1260.jpg

First Name: Freeman
Middle Name: Aikaeli
Last Name: Mbowe
Member Type: Constituency Member
Constituent: Hai
Political Party: CHADEMA
Office Location: P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth

EDUCATION
SCHOOL NAME/LOCATION
COURSE/DEGREE/AWARD START DATE END DATE LEVEL
Secondary School Secondary Education - - HIGH SCHOOL

hiii hapa ya mbowe
 
Hahaha kwenye education naona chenga tu. Hamna kitu. Halafu chadema wakiulizwa wanakua wakali kweli. Wanaficha nini?
 
Back
Top Bottom