Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Kwanini unataka TISS ishughulike na Makonda?

Je, tuhuma za kijinai za Makonda zilihatarisha/zinahatarisha national security?

Acha kuwabebesha TISS lawama kwa issue ambayo it is not of their concern.

Makonda's actions or omissions (during his public service) hazijawahi kuwa 'threat' to national security.

Tuhuma dhidi ya Makonda ni jinai kama zilivyo jinai zingine as per our domestic laws ambapo criminal justice system iko wazi kabisa.

Hivyo, lawama zako, nadhani, zielekeze kwa public prosecution office pamoja na jeshi la polisi. Hata hivyo, hawa pia utawalaumu 'bure' tu... Kwa Sheria zetu na mifumo yetu ya utoaji haki nchini, polisi na DPP wanaweza kupigwa 'pini' from somewhere 'high' na wakakausha.

By the way, tusimhukumu Makonda kwa lawama za mitandaoni. Pamoja na mapungufu yake kiuongozi na kibinadamu, nadhani kuna mambo mengi naye ali-sacrifice usalama wake ili kuitumikia nchi. Hivyo, tusubiri, kama itatokea, public imhukumu before the court of law. Otherwise, tuendelee kunywa kahawa vilingeni. 😎

-Kaveli-
 
Unamchagua Polisi kuwa DG wa TISS what a joke
Bahati mbaya sana unaamini TISS hawapo kwenye Jeshi la Polisi hawa jamaa wako kila sehemu kutegemea na mission aliyopewa kwa wakati huo

Sio kila mtu anaweza kuwa TISS ila kila TISS anaweza kuwa kila mtu i hope umeelewa.
 
TISS ilikuwa TISS kweli wakati wa Mwalim. Enzi za Mkapa ilikuwa hovyo kabisa. Iliachia Kikwete na Lowassa wachukuwe uongozi wa nchi kwa kutumia fedha, na wengi wao walinunuliwa wakawa kwenye mtandao.
TISS inaweza ingilia uchaguzi sio kupitisha mgombea ndan ya chama
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )

Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.

Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.

Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.

Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.

Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.

Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!

We jamaaa ni kilaxa kweli,unashindwa kuandika matatizo yanayotukumba watanzania kwa wakati huu kama mlipuko wa bei za bidhaa muhimu kwa wananchi na kupanda kwa gharama za maisha,unakuja kulalamikia mambo ya Makonda hapa?
 
Tatizo kubwa sana la hii nchi Ni hili wimbi la vijana wengi kubugia POMBE KALI na BANGI.

Muda wote wanaona MARUWERUWE na kuhisi his vitu hata ambavyo HAVIPO.

Bashite akimbie kwa ISSUE gani kubwa hiyo?

Serikali mpaka sasa haijaonesha Nia ya KUMSHTAKI.

Clouds wenyewe ambao ndio WAHUSIKA ( VICTIMS) mpaka sasa wamejiweka pembeni, hawatoi ushirikiano Wala KUHUSIKA kwenye KESI.

Kilichopo Ni KUBENEA KUPIGA SIASA na kuuza vipeperushi vyake tu. Hakuna kitu serious chochote mpaka sasa zaidi ya UPUMBAVU na wapumbavu tu kupata vijiagenda vya kusukumia SIKU mitandaoni.

Tulia uone,huyo muuaji lazima atundikwe msalabani hawezi pingana na nature.
 
Unamchagua Polisi kuwa DG wa TISS what a joke
Polisi hakuna Tiss? Diwani Msuya ni tiss wa miaka mingi, labda useme lingine. Ila ni lini tuliwahi kuwa na kitengo imara maana haya ni kila mwaka, Kuna kipindi Rashid othman alikua akiandamwa sana kushindwa kudhibiti raia wa kigeni kuingia kwenye majeshi.
Hadi anaoondoka watu wakajua pengine kitengo kutakua na unafuu, Ila ndio hivyo
Hata ataayekuja baada ya diwani, bado hizi lawana zitakuwepo
 
Makonda hajatoweka, makonda yupo arusha. Unajua Kuna muda naona hata kubenea nae ni kama hili Jambo kaliweka kisiasa tu
 
Wote walioshiriki au kufanikisha kuua watz wenzetu inafaa waondolewe kwenye vitengo hivyo na kufikishwa kuna stahili
 
JPM ALIFANYA KAZI NZURI SANA YA KUSAFISHA NA KUONDOA WATU KWENYE MIFUMO.

SASA JITIHADA ZOTE ZINAFANYIKA KURUDISHA MFUMO WA MAJITAKA KAMA MWANZO.
HUYO MAKONDA HATAFANYWA KITU
Ye ni nani nchi hii
 
We jamaaa ni kilaxa kweli,unashindwa kuandika matatizo yanayotukumba watanzania kwa wakati huu kama mlipuko wa bei za bidhaa muhimu kwa wananchi na kupanda kwa gharama za maisha,unakuja kulalamikia mambo ya Makonda hapa?
halina akili hilo,wananchi wanaishi maisha magumu kutokana na kupanda kwa bei za bidhaaa ,gesi n.k...
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )

Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.

Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.

Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.

Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.

Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.

Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Huu ukweli unatuhusu Watanzania wote.

Narudia kusema kama nilivyosema hapo awali kwamba, wale wote tuliomshabikia JPM kindakindaki hatuna budi kuja mbele ya jamii na kuwaomba radhi. It is political correctness kukubali makosa ili kujenga upya uaminifu na kuwajibika.

Kutengua nafasi za hawa walioinjinia madhila ya mkwamo wa kisiasa dhidi ya Tanzania yetu ni sehemu moja. Lakini as for tranquility ukweli, uwazi na maridhiano vinahitajika sana sana Tanzania.

Ukomavu wetu uendane na misimamo ya utu bila kujali tofauti za kikabila, kidini na kiitikadi.

CCM iombe radhi. Mbona Papa John Paul II aliomba radhi kwa niaba ya Katoliki kwa kuwaua wanasayansi na thinkers akiwemo Galileo Galilei... Obama aliomba radhi kwa niaba ya Taifa la Marekani lwa madhila dhidi ya Wahindi Wekundu....

Radhi iombwe na hatua tuzochukue dhidi ya waliosababisha haya ili yasirudiwe tena
 
JPM ALIFANYA KAZI NZURI SANA YA KUSAFISHA NA KUONDOA WATU KWENYE MIFUMO.

SASA JITIHADA ZOTE ZINAFANYIKA KURUDISHA MFUMO WA MAJITAKA KAMA MWANZO.
HUYO MAKONDA HATAFANYWA KITU
Ye ni nani nchi hii
 
Back
Top Bottom