Mtanisamehe na nawaheshimu sana kwa mawazo yenu ila Mimi siwezi kuwa Mnafiki dhidi ya matatizo yanayompata sasa huyu Mrembo!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,962
109,778
Nimepitia michango ya Watu mbalimbali ya Mitandaoni na hata katika Vijiwe vyangu mbalimbali na leo ndiyo naukamilisha Utafiti wangu usiokuwa rasmi kwamba kama kuna Taifa la Watu ' Wanafiki ' ispokuwa GENTAMYCINE labda na baadhi basi ni Tanzania.

Na hapa wala sipepesi macho, simung'unyi maneno na sitikisi masikio na ' najilipua ' rasmi kwa kusema wazi wazi kuwa kama kuna Mtu ambaye haumizwi wala hamuonei huruma huyu Mrembo Amber Rutty kwa kilichomkuta basi ni Mimi GENTAMYCINE kwa sababu ambazo nitazieleza kwa uchache.

Watanzania tumekuwa ni wepesi sana wa Kuangalia pale tulipoangukia tu na siyo pale ambapo tulijikwaa hadi kupatwa na matatizo. Ni Mtanzania Mpuuzi pekee ndiyo atakuwa anamwonea huruma huyu Mrembo huku wengi wetu tukiambizwa Unafiki wetu na ' Mhamasishaji ' mmoja aliyeko Marekani pasipo hata na Sisi wenyewe kutumia akili zetu Kutafakari kwa Kina.

Hivi nyie ' Wanafiki ' mnaomtetea leo huyu Mrembo Amber Rutty mlikuwa hamumuoni huko nyuma akifanya huo Upuuzi wake huko Mitandaoni? Na bahati mbaya kuna wengine leo hii mnajifanya Kumtetea na Kumuonea bila kujua ya kwamba anaweza pia akawa hata ameshalala na Mabwana, Wapenzi na Waume zenu kitu ambacho ni hatari pia.

GENTAMYCINE sipendi Watu ama Kuonewa au kwenda Jela au kupatwa na matatizo yoyote ila pia ni Mfuasi mzuri sana kama siyo mkubwa wa Maadili na kwa matukio ya huyu Dada si tu amejidhalilisha Yeye pekee bali amewadhalilisha pia na Wanawake wengine wote ( wakiwemo hata na Mama zetu waliotuzaa ) ila leo Watu ' Mapopoma ' na ' Wanafiki ' wanajifanya Kumuonea Huruma na Kumtetea.

Hivi huyu Mrembo Amber Rutty alikuwa hajui kuwa anafanya Kitendo kibaya, cha Kujidhalilisha na pia ni Kinyume cha Utanzania wetu na Maadili? Hivi ' Psychologically ' kabisa mnajua ' negative impact ' ya hayo matendo yake dhidi ya Kizazi za sasa na Kijacho? Msitake kuniaminisha kwamba wengi wa Watu wanaomtetea leo huyu Mrembo ni ' Wapumbavu ' wa Kiwango cha Kimataifa.

Na mlivyo ' Wanafiki ' zaidi mnaacha kubakia katika uhalisia kamili wa Sakata lake ili Kulikemea lisije likatokea tena sasa hivi Kukamatwa Kwake mmeshaanza Kuhusisha na Chuki zenu za Kisiasa kwa Kuwalinganisha na Msanii Wema Sepetu na Kumuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kwakuwa tu sijui Wema na Makonda wote wanatokea Chama cha Mapinduzi ( CCM ) chenye dhamana sasa ya Uongozi wa nchi.

Napingana sana na Mkuu wa Mkoa Makonda kwa baadhi ya Utendaji wake ( na hakuna asiyelijua hilo humu / hapa JamiiForums ) ila katika hili naungana na Mkuu wangu wa Mkoa Makonda kwa hatua za Kinidhamu alizozichukua dhidi ya huyu Mrembo Amber Rutty kwani yawezekana hatua Kali za Kisheria na Kinidhamu zitakazochukuliwa juu yake basi zikasaidia kumaliza tatizo na hata Kukiokoa na Kizazi cha sasa na Kijacho.

Hivi ' Logically ' kabisa tukiacha ' Unafiki ' ukichukua Picha za Wema Sepetu na za huyu Ambaer Rutty ni zipi ambazo si tu zinatia aibu bali pia ni hatari zaidi kwa Mila na Desturi zetu Watanzania? Najua na nakiri kuwa hata Wema Sepetu nae ana mapungufu yake ila angalau basi Yeye ' sometimes ' huwa anajirudi na pengine huwa anakengeka tena kutokana na ' Ulaibu ' wake wa Bange / Bangi za mara kwa mara ila angalau kuna muda huwa anajitambua.

Yaani Mwanamke anapiga Picha kabisa anapigwa ' ndole ' za maana na kufa Mtu huku ' akitambaliziwa unyabeni ' Kwake tena huku akitabasamu na Kuusikilizia ' Mkuyenge ' ukitiririka na kuserereka hadi ' anakunya ' pia hapo hapo kwa malipo ya Pesa halafu kabisa akikamatwa Mimi GENTAMYCINE nijitokeze Kumtetea?

Acheni yamkute kwani amevuna alichopanda kwa muda mrefu na hata mkinichukia kwa haya maelezo yangu ' poa tu ' ila sijaumbwa kuwa Mnafiki na sijazoea kuwa Mnafiki na siku zote nitasimama katika ukweli na uhalisia wa jamba husika. Na nawaomba pia Waandaji wa Mashindano ya Olympic miaka ijayo waweke Kipengele cha Mchezo mpya uitwao ' Unafiki ' ambao naamini na nina uhakika Tanzania tukishiriki basi kila mara tutakuwa tunaondoka na Medali nyingi mno za Dhahabu kwa ' tumetukuka ' kwa Unafiki.

Mwanamume nimeshatema ' nyongo ' tayari.

Nawasilisha.
 
Aise leo umeongea fact, tatizo letu watz n wanafiki au tunaendeshwa na mihemuko ya kisiasa, mtu yuko radhi kusema wizi n mzuri endapo mtu wa chama kingine ataukemea ili tu kuonesha kua kafanya kibaya na kakosea
 
Mkuu nakuunga mkono 100% waTZ wanafiki sanaaaaa kwa uchafu ule kuna watu wanamtetea lkn nafikir hao wanaomtetea either wala tigo au waliwa tigo.
 
Kiuhalisia mimi wa kwanza simtetei, na ningependa apewe adhabu kali iwe mfano kwa wengine,

Hii inatokana na imani ya dini, culture, desturi na miiko nliolelewa kua jambo alilofanya ni dhambi kubwa sana, dhambi yenye laana kubwa ambayo ilisababishia hata taifa la Mtume wa mwenyezi mungu Lot (Luut) kuangamizwa bila huruma na malaika wawili, walioenda kuigeuza ardhi yao juu chini, kwasababu ya uchafu huo.

Ila tu, japo kwasasa ni mtuhumiwa bado na hajapewa hukumu yoyote na mahakama, ningependa apewe haki zake za kisheria na msingi, kwani nae ni binaadamu, na askari wasitumie madhaifu(anaonekana sio mzima kichwani) aliokua nayo kama sababu za kuchukua video na kusambaza mitandaoni, hoja hii ni kutokana na video nlizoziona akiwa mahakamani, nimeona askari polisi wakitumia kosa lake kumdhalilisha kwa kumtolea ukali na kumfanya kituko ili arekodiwe video za vichekesho. Kuna video inasambaa askari polisi akimwambia "usiiname chini, ni kosa kisheria, inuka juu" naye mtuhumiwa akijibu "naumwa, na jana nilipelekwa hospitali", askari akamuuliza "unaumwa sehem gani", mtuhumiwa akaonesha na kusema anaumwa sehem za siri nyuma.
 
WaTz tumezidi unafiki sana,kama wanaona kaonewa mbona hata mahakamani hawajaonekana kumpa sapoti? Nchi yetu saiz kila mtu mjuaji
 
Akatafute hifadhi ubalozi wa Canada. Hakulazimisha watu kuangalia video zake tena alikuwa anafunga na password mpaka umwingizie 10,000 ndiyo unapata access.

Midume ya humu mingi tu imepigia chaputa video za Amber Rutty lakini hapa macho makavu wanamchana
 
Hiki kizazi kinakuwa sawa na wakati wa Sodoma na Gomorrah, watu walikuwa radhi hata kuwanajisi Malaika watakatifu wa Mungu, FATMA KARUME kutetea u Sodoma kwa mwavuli wa TLS hawa ndo wapo radhi kuuza nchi hii kwa mashariti ya kupromote civil partnership rights (same sex family).
Utandawazi unapofusha macho kwa kuruhusu kila aina ya 'mbu' waingie ndani ya chandaua chetu.
Kila mtu akitoa video ya Sodoma na kupost tutakuwa tunajenga nini kwa kizazi chetu?
Laana hii iwatafune wote wanaotetea chukizo hili.
Je, Fatma Karume yupo tayari nae kutoa video chafu kama hiyo?
 
Halafu hii ya kutetea maovu, kuanzia ushoga na kitendo alichofanya Amber ruthy wapinzani wawe makini wasijiingize kwenye mkenge wa kutetea haya mambo, hizo ndo zitakua pointi kwa wenzao 2020 kwenye kampeni, tutaanza kusikia mtu fulani yule hafai ni shoga kwasababu aliwatetea sana mashoga wenzie! Tayari ushachafuliwa cv zako, huu mchezo kuweni makini nao labda kama mmekata tamaa.
 
Hahaaaaaaaa kuna watu maarufu wakitajwa humu sijui nao wataenda polisi kukaguliwa? Maana nitolee mfano kama mteule nae akitajwa vipi atakubali kukaguliwa? Au double standard itahusika?

Umber rutty umekosea sana ila mbinu iliyotumika sio rafiki maana wewe hukuhitaji kupimwa kama ni shoga maana video ipo wazi, sasa najiuliza umeingizwa vitu vya kukuumiza ili wajue nn wakati ulipaswa kuchekiwa akili?
 
Kumtetea huyo dada ya kupasa uwe huna haya " sio mstaarabu uliye kosa busara" tena usiyejua umuhimu wa maadili " Ya jamii yetu "...

niwe mkweli tu katika matukio ya ajabu ambayo nimeshawahi kuyaona katika taifa hili ", hilo tukio la Amber Ruth linashika namba 2 ndani ya top 5 mpaka leo huwa ninakaa nakujiuliza hivi huyo demu akili zake zinanini " Maana kile kitendo kimevuka Utu " yaani mambo kama yale una ruhusu ya fike kwenye jamii " kweli dunia tambala bovu

wanaomtetea wengi na wao ni members expert wa hiyo michezo " wasiukuumize kichwa"..
 
Mkuu nakuunga mkono 100% waTZ wanafiki sanaaaaa kwa uchafu ule kuna watu wanamtetea lkn nafikir hao wanaomtetea either wala tigo au waliwa tigo.
mttetezi wao mmoja wapo ni binti Karume..mwanasheria wa TLS yetu..hahahahha..kazi tunayo nchi hii..tutapata kazi sana..kusonga mbele
 
Halafu hii ya kutetea maovu, kuanzia ushoga na kitendo alichofanya Amber ruthy wapinzani wawe makini wasijiingize kwenye mkenge wa kutetea haya mambo, hizo ndo zitakua pointi kwa wenzao 2020 kwenye kampeni, tutaanza kusikia mtu fulani yule hafai ni shoga kwasababu aliwatetea sana mashoga wenzie! Tayari ushachafuliwa cv zako, huu mchezo kuweni makini nao labda kama mmekata tamaa.
Makondaa naye nilidhani angeanza kuwataja wale wawili kwanza wa chadomo..hahahhaha..lesbians....au hao hawahusiki...pima marinda ya mbele halafu lete majibu..
 
Back
Top Bottom