Je kuna ulazima?

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
573
140
Kristu.....

Kuuliza sio ujinga, ikitokea umeachana na mpenzi wako kisha ukapata mchumba. Je kuna ulazima wa kumjulisha x wako kuwa umepata mchumba? Let say mnaishi mikoa tofauti ambapo sio rahisi kwa yeye kupata habari zako isipokuwa kupitia kwako?

Ukishamjulisha na mipango ikaendelea vyema, can you invite him/her to your wedding ceremony? Vipi kuhusu card ya mchango, unaweza kumpa? Wewe x unaweza kutoa mchango au kuhudhuria harusi/ sendoff ya x wako?
 
Mkiisha achana na mkataba umekwisha wew unataka muendelee kuwasiliana ili iweje, labda kama katika kuachana wote mmeridhia ila ninavyojua mimi katika kuachana upande mmoja unakuwa haujaridhika na maamuzi kulingana na investment iliyofanyika hivyo sio rahisi akahudhuria kwenye hizo sherehe
 
Kristu.....

Kuuliza sio ujinga, ikitokea umeachana na mpenzi wako kisha ukapata mchumba. Je kuna ulazima wa kumjulisha x wako kuwa umepata mchumba? Let say mnaishi mikoa tofauti ambapo sio rahisi kwa yeye kupata habari zako isipokuwa kupitia kwako?

Ukishamjulisha na mipango ikaendelea vyema, can you invite him/her to your wedding ceremony? Vipi kuhusu card ya mchango, unaweza kumpa? Wewe x unaweza kutoa mchango au kuhudhuria harusi/ sendoff ya x wako?
Halafu hiyo salamu imekaa kidini zaidi yaan ni ya kibaguzi rekebisha
 
LoL...nia ya kumjulisha kumbe ni mchango LoL. Ok on serious note kama mna kawaida ya kuwasiliana baada ya kuvunjika uhusiano wenu haiko shida na pia si vyema kutuma kadi ya mchango, mwache yeye aulize. Lakini kama just out of bluemoon unamjulisha, mazee....bora tu usisumbuke.
 
That sickness I have now, (story ndefu lakini) ameoa but I don't want to loose him in communication akiomba tuonane namkwepa lol! Sijui pepo!!!!!! Mi siwez kwenda japo mchango ntatoa
 
Back
Top Bottom