holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 739
- 1,130
Talent na IQ sio vitu sawa na havina uhusiano.Hayo mazao ndio walikuambiwa walime , je unajua kwamba walifika pwani kwanza wakapata resistance kwamba watu walikuwa washajitambua?
Je unajua walitumia njia ya elimu kushawishi watu wajiunge na dini kama sio mkristo hupati elimu!?..Kitu unaongea hakina maana IQ inapigwa kwa mtu hata kuingia darsan...Tabia kubwa ya IQ kubwa inabebwa na kipaji maalumu katika elimu tunaita Genius.
Sasa njoo kweny talent nchi hii kila kona wameshika dini gani?
Kuelewa vizuri IQ soma kuhusu abstract thought, reasoning, creative power utaona utofauti wake na special aptitudes au natural skill (talent)
Sio kila anaecheza mpira vizuri ana talent (wengine wana high learning ability-IQ wamejifunza na wengine wana medium learning ability-IQ tu)
Kuna footballers wana low IQ, abstract thought, reasoning inayotakiwa shule walikuwa hawana wakashindwa shule lakini wanacheza mpira vizuri sana (special aptitude-Talent)