Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Pascal, kwanza huyo Mohamed Said ni mwongo. Sijui hizo takwimu ameziokota wapi.

Ebu tusaidie, hizo takwimu alikuwa anaongelea kitaifa au ni eneo fulani dogo?

Kama ni kitaifa, huyo Mohamed Said ni mwongo mkubwa. Mgawanyo wa population kwa mgawanyo wa dini kwa Tanzania kwa projections zinazotokana na sensa za huko nyuma ambapo dini ilikuwa ni sehemu ya taarifa ya sensa:

Wakristo 63%
Waislam 34%
Dini za asili na nyinginezo ni 3%

Sasa kama mtawanyiko kidini upo hivyo, itawezekana vipi hao walio zaidi ya 60% wawe na watoto 29% kwenye shule. Na wale 34% wawe na watoto 71% shuleni?
Wanazaliana kama panya wale jamaa wa Mudi Muzungu....
 
Kwa kweli unanipa hasira SANA,binadamu mwenye utashi unaambiwa vipi huyu ng'ombe ni Mungu wako na wewe ukakubali??

Au unaambiwa vipi huyu sanamu la kizungu limeveshwa kichupi na kutundikwa kwenye mlingoti kuwa ni Mungu Mkuu na wewe ukakubali??

Mnanipa hasira SANA makafiri
Lakini Mungu wako kukuumba wewe mmatumbi halafu usome kiarabu ndio ujue dini unaona sawa!?? Si angekuumba arabuni hukohuko!?? Kupewa bikra 72 ndio unaona sawa!?? Wanawake watapewa wanaume wangapi!?? Au wao hawana Chao kazi yao ni kukamiwa tu kushonwa tu ...ndio unaona sawa!??
 
Hivi hii chuki uliyokua nayo unarafiki mkristo kweli
Mbona una-chuki kali sana na wakristo yaani unataman tanzania iwe nchi ya kiislamu ila ndo hivyo haiwezekani
Mtaaani mbona wapole tu ...tunakaa nao fresh .... Hakuna muislam kitaa mwenye chuki kama ambazo wanaonyesha Hawa jamaa humu...inabidi tu twende nao vile wanaenenda..... Nimeishi Tanga,Lindi,Morogoro na hata shule na makazi nilipo nna marafiki wengi tu waislamu ...hata sisi kama familia tupo 8 waislamu wa3 wakristo 5 ... Hakuna shida .... Humu tunacharuana tu kiuhalisia mtaani ni tofauti .... Humu ni ule "ujinga" chako kibovu changu Bora ....wengi wao wapo humo....
 
Lakini Mungu wako kukuumba wewe mmatumbi halafu usome kiarabu ndio ujue dini unaona sawa!?? Si angekuumba arabuni hukohuko!?? Kupewa bikra 72 ndio unaona sawa!?? Wanawake watapewa wanaume wangapi!?? Au wao hawana Chao kazi yao ni kukamiwa tu kushonwa tu ...ndio unaona sawa!??
Wewe unayeabudu picha ya shoga Cesare Borgia , mzungu mtaliana, na kuona ni mungu wako ndio unaona ndio sawa ??
 
Back
Top Bottom