Sokomoko
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,915
- 127
- Thread starter
- #81
Karibu tena naona umejipanga enh lete hoja tabasamu lake la kidini kivipi? na udini wake umedhihirika wapi? kwa kuzuia ruzuku kwa kanisa? au kuhakikisha misamaha ya kodi ya kanisa haitumiki kijanja? udini wake wewe umeuona kwenye nini hasa? kumteua pinda kuwa waziri mkuu labda?Fact ni kwamba jk ni mdini halafu anasingizia wengine wadini ili afiche udini wake, tabasamu lake lina hila ndani yake!