Je, Kikwete ni mdini?

Fact ni kwamba jk ni mdini halafu anasingizia wengine wadini ili afiche udini wake, tabasamu lake lina hila ndani yake!
Karibu tena naona umejipanga enh lete hoja tabasamu lake la kidini kivipi? na udini wake umedhihirika wapi? kwa kuzuia ruzuku kwa kanisa? au kuhakikisha misamaha ya kodi ya kanisa haitumiki kijanja? udini wake wewe umeuona kwenye nini hasa? kumteua pinda kuwa waziri mkuu labda?
 
xyz!

ndio hoja yangu!shenzi type!

Chagga Menifest Development hwana hoja maana hata wanayoongea viongozi wao hawayajui maana yake wao wanafikiria wamfukuze Zitto tu mtaishia hivyo hivyo wenzenu wanajenga nyie mbomoana.
 
kichwa cha habari,ni JK kama mdini?afu unakataa isiwekwe kny jukwaa la dini...?
mods hawa mabwiga msingekuwa mnawapa chance ya kupost upupu wao hapa!
limeanza kucount kwanza kuna waislamu wangapi na wakristo wangapi kny jukwaa la mawaziri...afu linakataa lenyewe sio mdini,,,,unaboa wewe sokomoko!
 
Mkuu leo nitaongelea pale kwenye RED

Sijalalamika kwanini waislam wamepewa wizara chache nimeonyesha kuwa JK sio mdini ila tatizo kabana misamaha iliyokuwa inatumika kinyume na malengo kwenye makanisa na ile ruzuku serikali iliyokuwa inaipa kanisa ambayo imekoma ndio sababu ya yeye kuitwa mdini na kujengewa chuki hapa JF.


Mkuu hapa naomba kutofautiana na wewe, si wote kwenye JF ni wadini hivyo hiyo conclusion yako sitaiamini sana!


Pia nimeelezea jinsi chuki zilivyopandikizwa especial makanisani maana huyu jamaa 2005 walimtaja kama chaguo la "Mungu" lakini 2010 wakakaa kimya kwa kuwa biashara zao zimeshtukiwa.


2005 wengine tulipinga hilo neno la chaguo la Mungu, na wengi hamkujitokeza kusema kwamba huo ulikuwa uongo. Je? kwanini usifikiri wamekaa kimya baada ya kugundua kuwa 2005 walikuwa wanasema uongo?


Pia nikaenda mbali nikasema zamani CCM na Mkristo ni kama Chanda na pete ila Kanisa kupitia kile chama chetu kwa kunyimwa ruzuku na serikali kubana misamaha ya kodi isiyo na tija ikakisaidia kile chama chetu ambacho kilisimamasha watumishi wa kiroho wengi kuliko chama chochote.


Hii kauli sioni kama ni sahihi, ningeomba unipe data za wanachama wa CCM. Nahisi hapa unaweza kuwa umeingia kwenye mtego wa baadhi ya viongozi wa ccm wanaodhani kupungua kwa kura za JK ni kutokana na udini. Hili si kweli na wakiendelea kuamaini hivi basi ccm wanakaribia kuona mwisho wao. Wengi tunajua hili, kitu kikubwa kilichopunguza mapenzi kwa ccm na wagombea wake ni USIMAMIZI USIOLIDHISHA KATIKA RASILIMALI ZA NCHI, hii ndiyo ilikuwa nguvu ya wapinzani.





Mwisho nawapongeza MODs kwa maamuzi yenu ya kusikiliza kilio cha Sokomoko na kuacha hii thread katika Uchaguzi 2010 kama alivyoomba.
 
WEWE NDIYE MDINI ,MIMI TANGU BARAZA LA MAWAZIRI LITANGAZWE SIJAWAHI KUHESABU KUNA WAISLAM WANGAPI NA WAKRISTO WANGAPI NDIO KWANZA NAONA KWAKO.

NIMECHUKIA :angry: ,HIVI KWA NINI UNAPENDA LETA MAMBO YA UDINI ?? NA NI NANI ALISEMA KUWA JK NI MDINI?? AU NI WEWE MWENYEWE UMEKAA UKAWAZA PUMBA NA KUJA KUANDIKA UPUPU HAPA JF

KWA NINI WATU WA DINI MOJA TU SIKU ZOTE WANALALAMIKA KUWA WANAONEWA? KWA NINI WA DINI NYINGINE HAWALALAMIKI?

MBONA WATANZANIA WANAISHI VIZURI TU MTAANI NA HAWABAGUANI KWA MISINGI YA KIDINI.

USITULETEE MASUALA YA UDINI HAPA.NYIE UNAOHESABU WAKRISTU WANGAPI NA WAISLAM WANGAPI NDIO WADINI WAKUBWA NA NI WA KUOGOPWA KAMA UKOMA.
Unajua kuna watu wanapenda ku pin point wenzao kuwa wadini wakati mwenyewe hajioni, hizi ni Kikwete type kwa mbele ana anzisha udini akigeuka anaanza kuwaambia wenzake wanaleta udini. Sokomoko kauanzisha hapa sasa anasema eti wengine wadini JK type.
 
Tunahitaji hoja je JK ni mdini? plz lete facts tunakaribisha facts tu kwa wenye fikra pevu hatuhitaji mengine njoo na takwimu kwa maana hiyo katuni yako haijibu kama JK ni mdini au la. Shukran.

Hata kama jk akiteua wakristo kushika nafasi zote serikalini haiondoi ukweli kwamba ni mdini! Unaweza kuteua wakristo unaoweza kuwa-manupulate kama Membe na Pinda wakashabikia upuuzi wa OIC & MAHAKAMA ZA KUKATA WATU MIKONO, ndio maana sishabikii kwamba eti wakristo ni wengi serikalini! Politics is all about manipulations! Ndio maana hata wewe unataka kutufanya wajinga na data zako za kisanii!
 
Kwa maoni yangu, wadau wengi wanashindwa kutoa hoja ya kuhusu huu udini wa kikwete badala yake wanatoa hoja sizizo sahihi, jibu ni rahisi sana mdini au si mdini, haihusu kuwa nani kasoma au nani hakusoma, facts zipo uwanjani tutoe maoni kuhusu hilo, kama huna hoja bora ukae kimya.... NO COMMENT
 

Chagga Menifest Development hwana hoja maana hata wanayoongea viongozi wao hawayajui maana yake wao wanafikiria wamfukuze Zitto tu mtaishia hivyo hivyo wenzenu wanajenga nyie mbomoana.
[/QUOTE

ungekuwa unataka kujenga na sio kubomoa usingeanza kwanza kuhesabu wakristo wako wangapi na waislamu wako wangapi kny baraza la mawaziri....hii pekee inakuonyesha usivyo tolerant na dini za wengine..

 
Nimegundua humu ndani kuna watu(members wa JF) ni wadini sana na ni hao no mashabiki wa CCM/JK nao ni;
1. Malaria Sugu
2. Sokomoko
3. Dar es salaam
..................

Acheni hizo ... msiwabague wa dini nyingine
 
Hivi unajua kilichowakuta wale wenzako waliokuwa wakimkashifu JK kwenye ulemtandao wa Ze Utamu? usijali nitakuletea sabuni ya kuogea na mafuta ya kujipaka segerea.. Usimkashifu mtu toa hoja ili uweze kuwajuza watu Kikwete mdini kivipi?.

Mbona umeshaanza kutoa vitisho? mbona yeye mwenyewe hajatangulia Segerea kwa wizi wa kura?
 
Chagga Menifest Development hwana hoja maana hata wanayoongea viongozi wao hawayajui maana yake wao wanafikiria wamfukuze Zitto tu mtaishia hivyo hivyo wenzenu wanajenga nyie mbomoana.
Usikimbie hoja ya udini kwa leo nitajitahidi sana kukurudisha kwenye hoja yako umehesabu mawaziri waislam na wakristo halafu unasema isipelekwe kwenye jukwaa la dini, sasa ya Zitto yanatoka wapi tena ongelea udini wako tuuone, mtetee JK wako wadini wakubwa nyie.

Hongera MODS kwa kutofuta thread hii ya mpuuzi huyu tumweke peupe na udini wake ili siku nyingine asirudie.
 
kwa hakika nimeendelea kuufahamu uelewa na upeo wa wakongwe wa jamvini (simaanishi wote) baadhi yao wana-uelewa wa kiwango cha 0 kiasi kwamba sipati picha kama ni wana taaluma wanazijua taaluma zao ama walisomea vyeti. ikiwa hoja ndogo tu inamshinda mtu anayejiita msomi, je ikija hoja tata itakuwaje??? hao ndio tunaowategemea kuwa viongozi wa kesho "Mungu atuepushe nao" Hili jambo limenipa picha ni vipi huko vyuoni na shuleni kwao wanachokifanya ni kipi. Ni msiba!! kwa hakika ni msiba wa taifa kuwa na wasomi wasio na upeo, wasiojimudu wala kujitambuwa. Itaonekana kama utani lakini hii ni HATARI, ikifikia mtu badala ya kujibu alichoulizwa akaenda njia tofauti yatupasa kuhoji si ELIMU YAKE TU BALI HATA UTIMILIFU WA AKILI YAKE. Je JF ikiwa sote tutakuwa na AKILI za aina hii JF itakuwaje??? Kuna hata mada moja itabaki hapa??? Je wanaohitaji faida wataipata vipi??? Kuna nyingi za kitanzania zimepoteza mvuto na mwelekeo sasa. kuna baadhi zimeendelea kuwa bora na sielewi tuna matatizo gani Watanzania? Kwanini hawa wenzetu si wavumilivu??? TUNAPASWA KUPINGANA BILA KUPIGANA lakini kwa wao sivyo....

haya na tuendelee..
Ushahidi unatakiwa na Sokomoko ili ukweli ujulikane tupate faida sote kwa ajili ya Taifa. hii nchi ni yetu sote na wala si ya WATEULE fulani
 
Mnazidi kumpa nafasi huyu jamaa mwenye udini azidi kupandikiza mbegu zake, i beleave akikosa wa kumjibu au kulumbana nae atakaa kimya lets keep silence.
 
Hivi unajua kilichowakuta wale wenzako waliokuwa wakimkashifu JK kwenye ulemtandao wa Ze Utamu? usijali nitakuletea sabuni ya kuogea na mafuta ya kujipaka segerea.. Usimkashifu mtu toa hoja ili uweze kuwajuza watu Kikwete mdini kivipi?.
Kwenda huko humtishi mtu hapa kwanza mtetee JK wako na udini wake, wewe ndiye uliyemleta hapa bila wewe tusingaliongelea haya nyambafu.
 
I totally understand why mods sent this thing to the place it deserves.

Hii kitu inawafaa wakina Maxshimba na Tumaini.

Maneno yaliotumika humu ni kama 'Kuna tetesi', 'Nasikia kwamba' kwanini uwe na tetesi na kitu usichokuwa na uhakika nacho ukakishikia bango? Kwanini usizungumzie kitu real kutoka Radio Kheri kuhusu kumchagua Kikwete kisa wanamatch dini?

There is a lot to write lakini hii haina mashiko hata kidogo and I wont be suprised kama mods wakifanya the needful again
 
Kwa maoni yangu, wadau wengi wanashindwa kutoa hoja ya kuhusu huu udini wa kikwete badala yake wanatoa hoja sizizo sahihi, jibu ni rahisi sana mdini au si mdini, haihusu kuwa nani kasoma au nani hakusoma, facts zipo uwanjani tutoe maoni kuhusu hilo, kama huna hoja bora ukae kimya.... NO COMMENT

JK ni mdini sana tu ila anaficha udini wake kwa kudai eti wengine ni wadini! Dhambi hiyo itamtafuna mpaka kaburini!
 
Nimegundua humu ndani kuna watu(members wa JF) ni wadini sana na ni hao no mashabiki wa CCM/JK nao ni;
1. Malaria Sugu
2. Sokomoko
3. Dar es salaam
..................

Acheni hizo ... msiwabague wa dini nyingine
usiwache kuwataja na wale wa upande wa pili... wanajulikana au unawaogopa???:teeth: NILISHAWAAMBIA MKISIMAMA KWENYE UKWELI MSIOGOPE. UKIWA MWOGA KAA KIMYA MKUU.
Mimi watu waniite watakavyo lakini UKWELI nitausimamia... kwa maana ndio NGUZO ISIOYUMBA:A S crown-1:
 
Sokomoko nakusapoti mkuu,
kama kuna mtu ana data na udini wa jk auweke hadharani.
Mi naondoka.:kev:
 
Huyu jamaa ni wakuwekwa kwenye Recycle Bin! Hana fikira zaidi ya ujinga wake na pumba kila siku na habari wanazoziongea kwenye Madrasa al sul
masanilo hata kama wewe nimchungaji lakini mwache mwenzio aseme ukweli hili jukwaa la kutoa maoni tena yaukweli nauwazi kama aliyotoa mtoa mada,tusikwepe ukweli,penye ukweli uongo hujitenga,jk hana udini wala habagui,wala hachagui viongozi kwa udini kama mnavompakazia,mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni.
 
Back
Top Bottom